Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Mwl kk ..mwadui seco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,wenyewe mnapaita china,long time sana,Ipo chinangali bwana
Mongate ni balaa sana huyo jamaahuyo muhuni ni habar nyingine kabisa wanafunz wa ndanda boys(ndanda jkt ) wamekuwa wapole kama wamemwagiwa maji ya baridi. miongon mwa event kubw aliyofanya ni kumfukuza mwanafunz ambaye alibakiza mitihan mi3 (PCM) kwa ajili ya wizi.
mkuu huyo mwalimu amefundisha mukendo pia alikuwa mwalimu wa hesabuMwalimu Marwana mtakuja b musoma mara
hahaha munibi alikuwa bonge hivionanda baadae alihamia j.w. bukanga high school ila hakua mnoko sana kama Yongo na bila kumsahau Munibi
Mwalimu tpaulKatika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na kujikumbusha vituko walivyowahi kuvifanya.
Mimi shuleni kwetu Mara Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja aliyeitwa Jigge. Basi siku moja kuna wanafunzi walitoroka kwenda mjini bila ruhusa. Na kibaya zaidi, walipokuwa huko mjini wakafanya fujo na kuharibu mali za wananchi.
Taarifa zao zikafika shuleni. Ilikuwa jioni na kiza kilikuwa kimeanza kukolea. Mwalimu Jigge akapiga kengere. Wanafunzi wote tuliokuwepo shuleni tukakusanyika bwaloni na akaanza kuchuka roll call.
Ili kumkomesha mwalimu huyu, pamoja na kuwanusuru wale wanafunzi 'wahalifu' waliokuwa wamefanya tukio mjini, wanafunzi wakapanga kuzima umeme main switch na kumpopoa kwa mawe. Ghafla tu, umeme ulipozimika, mwalimu alichomoka kama mshale na kutokomea kizani. Wanafunzi walimtupia mawe lakini, kwa ile speed aliyochomoka, hakuna jiwe lililompata. Ana bahati sana.
Haaahaaa...bora aliondoka kazi yake ilikuwa kudaka watu cl
Mhhh! Ngoksi umemuonea bhana. Masatu, Ngoksi na Mwaipaja walikuwa na mikwara tu ila hawakuwa wanoko kihivyo! Walimu wanoko walikuwa Mgimwa, Baba Kadoda (RIP) na Masebo.mwalimu Mwangoka, baba Kadoda, Masato, Mwaipaja wa mkwawa complex and casino iringa, sitawasahau hawa viumbe
Ukiona malecturer wanoko ujue walianzia kufundisha primary, hivyo wamekuwa na tabia zao za kiualimu hadi Chuo Kikuu...walimu wa type ya Dr Burner wa UDSM. Wewe unamuonaje yule baba? Undefinable!Haaahaaa...
Kukamatia mademu kwenye ngaziii
Hawa malecturer chaa!
Sent using Jamii Forums mobile app