Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Namkumbuka mwalinu ndossy...
Muhimbili primary. Akikohoa tu shule nzima kimyaaa.korokodilo....
ndio tusi lake. Mkaliiii aisee. Fimbo zake akikupiga lazma mikono upitishe kwenye matundu ua ukuta ka umekumbatia ukuta Ila alisaidia sana kufaulu
 

....

Ha ha ha Mkuu kama ndo huyo Mwl Dungu comb ya PCB pale shy bush Shinyanga sec ilikuwa balaa na Mwingine aliitwa Ndege hapa bora ugongwe na semi !!!!
 
Mzee mzima.....KINJINO!

Uyu ticha kipindi chake mafront-bencher tuliisoma namba. Alikuwa anashusha risasi za mate zikisindikizwa na viparticle vyeusi na vya njano vyenye harufu ya kumtoa mende chooni. Mnoko aibu.

hahaha! bila shaka huyu alikuwa smoker mzuri sana.
 
Ngonyani teacher wa jamhury secondary school ipo dodoma...
Alikuwa mnoko huyoooo na anakata mabanzi ni balaa.
 
Kwa udsm...kuna jamaa anaitwa dr.gamba...yupo conas,ni mnyama balaa. Kwa sekondari,..miaka ya 2002 kurudi nyuma njombe sec. School aka njoss,kuna mwl. Alikuwa anaitwa kasalile mwingne tyson(rip) walikuwa katili mbayaaa..
 

Hahah...dr.sa8 bado anatupelekesha huku,utaskia comm mboooov kabisa!lol
 
mwl donge mwenge high xul,mwl kitoko tarime high xul,mwl malilika korogwe primary xul kahama,mwl doto old shy

Kitoko Mk*ndu alikuwa noma sanaaaa pamoja na mwenzie Mwl. Gamba Tarime Sec hiyoooo.
 
Hujakosea ila umemsahau Kashushula

Umechanganya madesa, kashushula alikuwa wa pamba sec huyu ni wa mwanza sec
kwanza kashushua hata hakuwa mnoko
alikuwa mkali ili tusome shule za mjini ndo inatakiwa hivo la sivo
kila mwaka shule itakuwa ni 4 na 0 tu....
 
Mama Nkya Jangwani sec na Sista Mfuse Benjamin Mkapa.
Hao ukiwakuta getini lazima wakuuzie kesi.
Cc; kichunafk

hahahahh, aisee mama nkya noma sana.
Kuna siku mama matee alinibamba niko na shati nyeupe ila si ya shule. Ananiita, nkampimia nataman nimkimbie na ile miguu yake imevimba najua asingenikimbiza ila ndo hvyo nikaemda.
Bila kumsahau uncle mbowe (Rip)
 
Last edited by a moderator:
mr katunzi huyu alikuwa mwalim wa michezo, msipoenda ground anakuja kuwafata kwa fimbo na kidimbichi huyu alikuwa mkamataji simu maarufu kilakala secondary school bila kumsahau headmistress mama mkiramweni
 
hahahahh, aisee mama nkya noma sana.
Kuna siku mama matee alinibamba niko na shati nyeupe ila si ya shule. Ananiita, nkampimia nataman nimkimbie na ile miguu yake imevimba najua asingenikimbiza ila ndo hvyo nikaemda.
Bila kumsahau uncle mbowe (Rip)

RIP Mr Mbowe, ilikuwa ukimkuta anapiga Colabo na Mama Nkya lazima ukae.....hahahaaa wakikukuta huna kosa shukuru.
Super Tall nae unamkumbuka? Full unoko.
 

Kilikuwa kinataka misifa kwa mademu, kilinitoa nisisome geograph, afu ati kinafundisha huku kimekaa juu ya meza, nilisusa somo lake lakini nilifaulu vizuri
 
RIP Mr Mbowe, ilikuwa ukimkuta anapiga Colabo na Mama Nkya lazima ukae.....hahahaaa wakikukuta huna kosa shukuru.
Super Tall nae unamkumbuka? Full unoko.

hahahha, mr kunga mzee wa makonzi. Pole yao sana kwa watu wa biashara. Mie nlisoma sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…