Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
Hivi sifuri ni mduara ama ni mzunguko?
Hivi mstatili ni pembe au ni mraba?
Kwanini kinyesi hakichomi lakini ukikikanyaga lazima uchuchumie?

Jr[emoji769]
 
5250
Juma ni boya
 
5250
Juma ni boya
👏👏👏👏👋👋👋👋👍
Hongera bosi maana wengi naona wamelikwepa
Juma alitoka kwao na tsh 5250
Kwa mjomba 1
Katoa getini tsh 2000
Kabakiwa na tsh 3250
Mjomba kamuongeza ths 3250
Jumla tsh 6500
Katoka kalipa getini tsh 2000
Salio 4500
Kwa mjomba 2
Katoa getini tsh 2000
Kabakiwa na tsh 2500
Mjomba kamuongeza ths 2500
Jumla tsh 5000
Katoka kalipa getini tsh 2000
Salio 3000
Kwa mjomba 3
Katoa getini tsh 2000
Kabakiwa na tsh 1000
Mjomba kamuongeza ths 1000
Jumla tsh 2000
Katoka kalipa getini tsh 2000
Salio 0
Kuna formula yeyote umetumia? Kama ipo iweke hapa
 
anzia chini kurudi juu, kwenye kutoa weka jumlisha, kwenye kuzidisha gawanya
+2000 (getini3 exit)
2000/2=1000 (mjomba3)
1000+2000=3000 (geti3 entry)
3000+2000=5000(geti2 exit)
5000/2=2500 (mjomba2)
2500+2000=4500 (geti2 entry)
4500+2000=(geti1 exit)
6500/2=3250 (mjomba1)
3250+2000(geti1 entry)

5250
Njia ndefu labla kuna nyepesi
 
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
Masikio boss
 
Yeye ndie kaviweka lazima avijue,

[emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Keep on tryin swirly [emoji1]
The poison was in the cup of victim but both pills were poisonless
Poison was in victims glass and not in the pills (pills were harmless)
Hugs [emoji8]
Siamini mimi ndio kilaza pekee humu ndani kila swali nakosa,
[emoji24][emoji24][emoji24]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…