Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Kwanini MUNGU hakutufanya tuishi maisha yenye usawa wa kila kitu kuanzia imani na mali?
Sasa hii mitihani/majaribu tulinayo ingekuwa ya nani wakati wote tuko sawa kwa kila kitu. Tungeweza vipi kupata kipimo cha mtu kufaulu au kufeli??

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Kwanini Mungu atupime ilihali anajua kuwa yeye ndio katuumba so udhaifu wetu wote yeye anaujua? Je wenye maisha magumu ndio wanatumikia adhabu yao kbs hapa duniani?
Sasa hii mitihani/majaribu tulinayo ingekuwa ya nani wakati wote tuko sawa kwa kila kitu. Tungeweza vipi kupata kipimo cha mtu kufaulu au kufeli??

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Ukiwa Arusha kwenda Dodoma kuna road inaitwaa Dodoma road wakati kuna mkoa wa Manyara pale kati kabla ya kufika Dom
 
Kwanini Mungu atupime ilihali anajua kuwa yeye ndio katuumba so udhaifu wetu wote yeye anaujua? Je wenye maisha magumu ndio wanatumikia adhabu yao kbs hapa duniani?
Ndio maana kuna siku ya hukumu ili akuhukumu kutokana matendo yako kama ulimshukuru kwa alichokupa au ulimkufuru.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Ndio maana kuna siku ya hukumu ili akuhukumu kutokana matendo yako kama ulimshukuru kwa alichokupa au ulimkufuru.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Unajua hakuna binadamu aliemuomba Mungu amuumbe?
 
Unajua hakuna binadamu aliemuomba Mungu amuumbe?
Ndio na ndio maana Mungu ndio kaumba apendavyo yeye, ndio maana kila siku tunaambiwa tusiwacheke walemavu kwani nao hawaomba/kupenda walivyoumbwa bali ni kwa matakwa yake mwenyewe Muumba.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Huoni kama Mungu anatuonea? Sisi ni viumbe alioutuumba kwa mikono yake anatujua kila kitu maana vitu hivyo yeye ndio kaviweka sasa kwanini anatuhukumu kwa kitu alichotuwekea mwenyewe?
Ndio na ndio maana Mungu ndio kaumba apendavyo yeye, ndio maana kila siku tunaambiwa tusiwacheke walemavu kwani nao hawaomba/kupenda walivyoumbwa bali ni kwa matakwa yake mwenyewe Muumba.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Ni kwa sababu alivyokuwa tumboni hakuwa kiumbe kamili,mpaka anapozaliwa ndio anahesabika kiumbe kamili
Kwa nini umri wa mtoto unaanza kuhesabiwa anapozaliwa na sio tangu mimba akiwa tumboni?kwanini tunahesabu akiwa timboni akija kuzaliwa tunaanza kuhesabu upya?
 
futi 6 ndio urefu standard wa binadamu mtu mzima wa sasa,anayefika futi 7 huyo ni ngongoti.
Hivi kwann tukifa,tunazikwa futi sita urefu wa kaburi kwenda chini,kwann isiwe futi saba au tano kwann sita?
 
kwa hiyo mkuu unamaanisha binaadamu mwenye kutenda matendo mabaya tunamtoa kwenye orodha ya watu?
Binadamu ni U'bin,sisi wote ni ubin wa babu mzee Adam

Bin'Adam.

Mtu ni kiumbe chenye ufahamu wa kujua Jema na Baya.
 
Sa kwa nn?
Kwa sababu hiyo barabara ilikuwepo tangu na tangu, na mkoa wa many a ra ulikuwa ni arusha kabla, hivyo baada ya kugawanywa ilitakiwa Barbara ibadilishwe Nina isiwe tena Dodoma Bali iwe Manyar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…