Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam bunch of idiots hereUjinga tu, badala ya kusema tupige Kura kuhusu bajeti kuu ya serikali. Nchi ipo kwenye jambo nyeti
Hiyo kazi tumewapa wabunge wetu waifanye.Ujinga tu, badala ya kusema tupige Kura kuhusu bajeti kuu ya serikali. Nchi ipo kwenye jambo nyeti
Dogo nilikushauri kwenye uzi huu uache kuvamia vamia watu hovyo utumie hio time utafute dawa ya nguvu za kiume baada ya kuona unalalamika bila vumbi mashine haiwaki kabisa haukunisikiliza. Umeyakanyaga kwa wahuni wamekushona mmae, wamekukamia kushezi , pigwa pasi za makwapa kama zote. and 100 others safi sana kamanda, ban ikiisha endeleza pasi za makwapa dogo anapenda kutukana watu hovyoWw ubwabwa naona bado huelewi unachofanya, mm nakuambia unapotengeneeza tumia canva huwa ni the best kuliko hiyo unayotumia
Dogo wewe famba kweli unabisha nini sasa. Wewe haukuvimba ile picha ys avatar ilikuwa kwenye ile id yako ya kike unayojidai ni demu wako kwamba yule kwenye picha ndio demu wako mwenyewe? Ukavimba demu wako ni mali safi anajiamini hadi anaweka avatar picha yake? manzi akalike na kukubali kwamba ni yeye ? mtu akazama chimbo akakuletea source ya ile picha ni black Americanwa huko mambele ukazuga zuga pale kwa aibu?Ww ubwabwa naona bado huelewi unachofanya, mm nakuambia unapotengeneeza tumia canva huwa ni the best kuliko hiyo unayotumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea haki sawa weyeeeeKo vidume vya Jf mmeamua kusutana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbonaa huniiti jamaniii nawee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivi hakuna sehem ya kuweka pin huu uzi ili nisipitwe[emoji18][emoji18][emoji18][emoji23]
HornetNdugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.
Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.
Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.
Twende kazi…..
👇👇👇👇👇👇
😂😂 Ooh Kumbe newew umoMbonaa huniiti jamaniii nawee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante luv ephen_ lazima kutakuwa kumekucha. Namalizia kakazi hapa kidogo nakuja mazima. Kazi na dawa 😁😁😁Bantu Lady usiache kupitia huu ukurasa😂🤸
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf naiona Jela, sijui imekuajee aaaah!! Inaboaa tyuuh[emoji23][emoji23] Ooh Kumbe newew umo