Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Hee juzi shem wangu tumelonga hapa. Dahamekosa fursa ya kaliona gharama ilikuwa nilipe kwa niaba ya broHuoni kama yuko banned🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee juzi shem wangu tumelonga hapa. Dahamekosa fursa ya kaliona gharama ilikuwa nilipe kwa niaba ya broHuoni kama yuko banned🤣🤣
🤣🤣🤣Hee juzi shem wangu tumelonga hapa. Dahamekosa fursa ya kaliona gharama ilikuwa nilipe kwa niaba ya bro
Kama kunamwibgine mstue aende ,hela isiende bure 🤣🤣
Binafsi sijajua chanzo ni nini ila nadhani kaamua tuuNani kamuudhi humu ili nikamchape
Najaribu kuangalia km bado unapumuaTangu ujue kutag sipumui yani
Nipo gado ondoa shakaNajaribu kuangalia km bado unapumua
Sawa siku hizi tumepunguza kugombana nipe vibe basiNipo gado ondoa shaka
Hujanivuruga vizuriSawa siku hizi tumepunguza kugombana nipe vibe basi
Ngoja nikulie timing tubilingishane kwenye nyasi za JF atakaeingilia yatamkuta makubwaHujanivuruga vizuri
Jaribu kwa yule jamaa anatoa vyote🤣🤣🤣🤣🤣
Vip Una dawa zakuongeza mjegejo? Tusaidiane
Unauliza vita kwa Mkurya? Mzee wa Hall 5, sijambo hofu kwako.Unaweza vita kumbe?
Hujambo
Mimi napenda unavyompenda mwanangu, paka namuonea wivu sometimes.Mkwe nakupenda sana☺️
Kiasili hatupo kinyonge, hata waliozaliwa nje. Wastaarabu ila usimguse 😊Oh kumbe, sema kuna wakurya wa daslam hapa...
Ila wakurya wakali ana Kwa ana, kumbe pia behind the keyboard.
Hapa jf mbabe wa vita ni cocastic...