Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Mwaka juzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Waulize saint Anne na heaven sent, au mahondaw, zilirushwaa hoja toka Utamaduni, Asili, sayansi akaja kujichanganya kwenye Dini ndo nilim maliza kabisaaa.

Huna habari iliwekwa poll ya mie kuondolewa mazima JF, kura zilipigwa ikawa sawa sawa, nkaondolewa kwa muda baadae nkarudishwaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naenda kuchukua Tuzo ya jukwaa la Celebrity kutoka kwenye Ban wee huogopiiii?

Nimeshavuka level hizooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It's a heroic history now
 
Ohoo toto zuri Bantu Lady chino yu salama.

Hofu kwako mrembo maana wasije wakakutoa ngeu, maana sikuhizi vita ni nyingi sana.

Mzee wa hall v figo anaendeleaje aiseee
😂😂😂😂
Yupo salama kabisa.

Inabidi usicheze mbali bwana Umlinde BL dhidi ya vijana wahuni WA humu
 
Back
Top Bottom