Tupike nyama pori mzuri kwa ugali


Afadhari aisee tule ugali maana Gavoo imetusumbua Dar.

Ila mwiko kama umeisha hivi,nunua mwingine mkuu
 
Haraka kuna mmoja atapika kwa haraka unakuta nyama au nyanya haiivi au anaunguza lakini naamini katika kipaji upishi nao ni sanaa ni kipaji na mkono wa mtu
Mbona kama unanikatisha tamaa mwanafunzi wako unavyoongelea kipaji maana me najua sina mkono wa kupika sijui sina kwa kweli
 
Afu bro kula lile sotojo la biriani Unapika lini.

Natamani unifundishe mzee,nilienda kwa Rafiki yangu mke wake alipika mpaka nikajiramba.
Nilipika sikuu hapa live ila nitarudia tena weekend moja maana siku ile tanesco walinizingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…