Mpka upotee njiaWe champion.
Tunakuraร a alafu tunakula tenaa
SawaMpka upotee njia
Katavi nilikuwa bado zipokuna kipindi walianzishaga mabucha ya nyama pori sijui bado yapo au yashajifia.
Utakuja kula sumu shauri yakoNajaribu vitu kikiwa kitamu naishi nacho haha!
we ni mke wa mtu? ๐Utakuja kula sumu shauri yako
๐๐๐ tumefikaje huku?we ni mke wa mtu? ๐
Hata wewe unaweza kulipia maliasili ukapewa kibali cha kuwinda nyama pori.Aisee
Vya wazungu hivyo maana wao huweza kuwinda kitalii
๐ naogopa sumu moja tu, (mke wa mtu sumu)tumefikaje huku?
Haya endelea kuogopa kama ukoma๐ naogopa sumu moja tu, (mke wa mtu sumu)
kwenye jambo la mtu me nakaa mbali ๐Haya endelea kuogopa kama ukoma
Nje ya mada.Haya endelea kuogopa kama ukoma
YesNje ya mada.
Una raster kichwani yani dreadlocks?
Avatar zako kadhaa nimeona picha ya dreadlocks nikahisi unazipenda sana.
Onhoo Shukran Sana ๐Avatar zako kadhaa nimeona picha ya dreadlocks nikahisi unazipenda sana.
Usishangae kwanini nimekufuatilia Avatar zako. Siyo kwa nia yoyote.
Napenda sana wanawake wakiwa na dreadlocks hasa zikiwa safii au afuge afro kubwa linawaka mafuta.
Sijui kwanini ila wananivutia sana na nachukia wig na nywele za bandia bora anyoe low cut hair.
No disrespect kwa wenye wigs na weaving.
Had muda wa kula jamn๐๐Kupika tupike lakini
No reforms no election
Njoo tupike kalimati aunt sijawah ๐๐hivi wanaita hivo hivo eeh๐Sipendi karoti zitengenezwe hivyo, inakua km minyoo au kamba, Lol
Nweiii nyama iko vizurii.
Namzingua Chef tu na Jukwaa lake la misosi.Had muda wa kula jamn๐๐