Tupike pamoja chapati za maji, zenye mayai, maziwa, nazi na hamira kidogo.

Chapati nzuri sana πŸ˜‹πŸ˜‹.
Hicho kiporo Cha maini hizo Nyanya na vitunguu mbona kama bado zinahema?πŸ™„
Asante dear.
Huwa mimi si mlaji wa mafuta.
Hivo napika kama mchemsho flani hv.
Maini yakiiva nakaangia kila kitu kisha natupia.
Huwa napikiaga kwenye vyungu.
 
Aisee walishi mpooo njoo uwe chef wangu mshahara 1.5mil kwa mwezi.
Nataka vyakula vyakukuza kibamia na kulinda afya maana mie hiv
 
Asante kwa chakula kizuri.. ila binafsi hapana sipendi chapatti hizi niwe muwazi
Wengi nimegundua hawazipendi kutokana na kupikiwa na mayai.
Binafsi mimi huwa si mpenzi wa mayai ila yakipikiwa kwenye chakula nakula.
 
Mambo mrembo..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…