Tupike pamoja chapati za maji, zenye mayai, maziwa, nazi na hamira kidogo.

Tupike pamoja chapati za maji, zenye mayai, maziwa, nazi na hamira kidogo.

Nimependa wazo la hamira. Labda nitajaribu baking powder instead, muda wa kusubiri ziumuke ndo kipengele. Chapati maji kwangu naonaga ni ile fursa ya kuandaa na kupika hapo hapo. Ila nazo ziliwe kwa hamu tu maana hazikawii kukinai.
Chapati ikipoa huwa ile ladha ya mayai ndio inasikika na kufanya wengi kukinai.

Hamira ya hapa wala husubiri ni kama dk 5 tu unaanza kuchoma.
Baking powder sikuwahi kujaribu.

Unaona hapa, hii imeumuka huku inachomeka
20250406_205328.jpg
 
Mi chapati nanunua Ebenezer na maziwa nanunua hapo hapo naweka korosho pembeni naokoa gas
Mtungi mkubwa unakaribia kukata mwaka.
 
Mi chapati nanunua Ebenezer na maziwa nanunua hapo hapo naweka korosho pembeni naokoa gas
Mtungi mkubwa unakaribia kukata mwaka.
Ukiwa mpishi usiwaze gesi kuisha.
Mimi nina mitungi 2.
Mdogo na mkubwa.
Sisi wapenda kupika huwa tushazoea hio hali mkuu
 
Nje ya mada, wanawake wanaojua kupika mara nyingi pia ni wajuzi kitandani! Case study: Wanawake wa pwani plus Tabora! Vipi bibie hutokei Pwani???????
😅 Pwani tunafundwa na kufundishwa mambo mengi ya ndoani.
Na katika hizo nyago pia tunafundiswa upishi.
Mie msambaa na mfipa japo bibi ni wa Kaliua Tbr.
Siku hz wanawake wenye makalio makubwa ndio kipaumbele cha wanaume wengi.
So sad🤧🤧

Au mdogo wangu Bantu Lady una nyongeza kwenye hili swali la enzo1988 ?
 
Umemaliza yote dada yangu kipenzi, nikikumbuka jukwaa la wakubwa 🙌🙌🙌🙌🙌 wewe umefundwa ukafundikika kweli. Uko full kwenye kila nyanja. Leo nimeona na kwenye mapishi ni wow. Sijui nini hukiwezi, shemeji anafaidi 🥰
enzo1988 za siku, nimekumiss ni jana tu, nilikukumbuka humu sijakuona.
 
Back
Top Bottom