Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

Asante sana mpwa wangu fimboyaukwaju
Unajua kujua kupika raha sana.
Unakula chochote utakacho.
Karibu sana siku moja nyumbani tupikiane.
Huwa nawashangaa sana wanawake ambao wamevuka above 25+ ila hawajui kupika.
Nia aibu mno!
 
Nilikuwa na bia 1 na kvant chupa ndogo 2.
Nimejilaza kidogo kwanza natafakari maisha yangu 🤔
Next time ukifanya ako kachezo ka kujipikilisha na vipombe pembeni usisahau kunikaribisha, mwisho tutafakari wote aya maisha.


Lakini bia moja na kachupa kamoja ka kvant kalitosha kabisa 😅
 
Next time ukifanya ako kachezo ka kujipikilisha na vipombe pembeni usisahau kunikaribisha, mwisho tutafakari wote aya maisha.


Lakini bia moja na kachupa kamoja ka kvant kalitosha kabisa 😅
Yaani huwezi amini, muda huu ndio natoka in da party niko chupkilemba!!
Nimejitupa kitandani kama nilivyozaliwa ili kila sehemu ya mwili iingie hewa nipate angalau ahueni.

Mie naogopa profile yako mpwa🫣
 
Kamfuate kwenye post zake.
Kwani nimempikia yeye au!
Kama unataka kuja kula wewe njoo mwenyewe.
Sitaki timu wala mpambe😏
ila dada umeniwashia moto wakati nilimuita tu bwana mwachiluwi kwa kuwa naonaga hua anapost sana misosi 😎
 
Hapo ungenipata kwa hilo harage na kachumbari, ningeomba unisongee na dona kdg 😇.
Miguu ya kuku hapana, sijawahi kuitia mdomoni na hata kuona tu hivo kwenye sahani huwa napata shida naonaje sijuj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…