No, namaanisha sema, mfano VIONGOZI WETU NI.......Hakuna maneno ya kuandikwa yakatoshea kuelezea usumbufu alioupata. Kuna interviews zake YouTube anaelezea, alipokea hadi meseji za vitisho
Sera ya Taifa ipo na wananchi walishirikishwa kama Chadema mnataka kutunga sera yenu na kuita ya Taifa shindeni uchaguzi kwanza.Umesahau na uchama. Hakuna sera za taifa kuna sera za chama halafu sera za chama zipo nyingiii, kila kiongozi anajichagulia tu ipi ina manufaa kwa wakati husika.
Hahaha, dah. Aisee. Huyo ni mwekezaji kaja kuleta uwekezaji? Hahaha.Alisumbuliwa,alitukanwa,alipewa maneno ya kejeli,alitishiwa maisha.
Wewe na nani? usinijumuishe mimi na familia yangu.Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Unapotosha. Mexico wanavutia kwa cheap labor intensive investment tu peke yake. Yaani uwekezaji unaohitaji cheap unskilled labor. Na hiyo cheap labor wana export kwa wingi sana Marekani kwenye mashamba ya matunda na mboga. Marekani ni wa kwanza duniani kwa kuvutia uwekezaji unaohitaji mitaji na teknolojia kubwa.Huu ni uongo mwingine
Kwenye manufacturing wanaangalia cost of production kama kipaumbele
Mexico inavutia viwanda vingi kuliko marekani kwa sababu wana cost of production ndogo
Acha kuongea vitu ambavyo huvunji. Kwenye uwekezaji huo kikubwa zaidi kinachosngaliwa ni ROI, halafu fahamu Dangote wanajenga refinery ya kudumu hata miaka 100, mafuta yenu ya Uganda tu yataisha ndani ya miaka 20, Kenya nao wana mafuta na wataanza kuyachimba.Huu ni uongo mwingine
Kwenye manufacturing wanaangalia cost of production kama kipaumbele
Mexico inavutia viwanda vingi kuliko marekani kwa sababu wana cost of production ndogo
Sera ya taifa inaathiriwa vipi na ilani ya chama tawala?Sera ya Taifa ipo na wananchi walishirikishwa kama Chadema mnataka kutunga sera yenu na kuita ya Taifa shindeni uchaguzi kwanza.
Unalalamika nini hapa?Sera ya taifa inaathiriwa vipi na ilani ya chama tawala?
Epuka mahitimisho usiyo na uhakika nayo, unless unataka kuyatumia kama kichaka cha kukwepa hoja. Mfano hilo la chadema.
Tena ndani ya nchi yake.
Hakuna malalamiko, jikite kwenye hoja. Sera ya taifa inaathiriwa vipi na ilani ya chama tawala?Unalalamika nini hapa?
Watu wanapayuka tu kuhusu Kenya na Dangote ila hawafahamu jinsi mazingira ya biashara yalivyo magumu Tanzania kuanzia urasimu uliopitiliza, miondombinu duni, ukosefu wa wafanyakazi wenye weledi na usumbufu wa wanasiasa wa chama tawala wanaodai michango na kuja kujidai kwenye uwekezaji binafsi.Umesahau na uchama. Hakuna sera za taifa kuna sera za chama halafu sera za chama zipo nyingiii, kila kiongozi anajichagulia tu ipi ina manufaa kwa wakati husika.
Vyote hivyo vinapigiwa hesabu kwenye uwekezaji kisha vinafanyiwa comparison kwenye cost benefit analysis.Niliwaza hivi pia, ila Wadau wanasema hiyo si factor, factor ni gharama za uzalishaji.
Kasema viwanda vingi kuliko Marekani. Viwanda gani? Mexico wanavutia kwa viwanda vya cheap unskilled labor tu. Tena siyo peke yako. Wanashindana na China, Vietnam, Pakistan, etc.Hata yeye mkuu si amesema hapo wanavutia uwekezaji mkubwa kwenye viwanda ? Hajasema uwekezaji wa aina zote
Stroke hajajibu hoja, kaja na kichaka cha nyie chadema mje na sera yenu. Uchama umetukaa, hatuwezi tena kukaa tukajadili jambo lenye manufaa bila vita ya kichama. Sijui tumlaumu Nyerere au nani.Watu wanapayuka tu kuhusu Kenya na Dangote ila hawafahamu jinsi mazingira ya biashara yalivyo magumu Tanzania kuanzia urasimu uliopitiliza, miondombinu duni, ukosefu wa wafanyakazi wenye weledi na usumbufu wa wanasiasa wa chama tawala wanaodai michango na kuja kujidai kwenye uwekezaji binafsi.
Kenya ni mshindani wetu wa fursa miaka yote, tatizo letu sisi ni nchi ya rushwa sana kuliko Kenya, sisemi kuwa Kenya hamna rushwa hapana, nchi zote za watu weusi maslahi ya mtu binafsi yanatangulia kuliko nchi.Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Mngekuwa na sera ya Taifa msingehangaika hata kwa mambo madogo tu kama ya ujenzi wa barabara. CCM haikuwahi kuwaza kama kuna siku Dar es Salaam itahitaji mwendokasi au treni za mjini ndio maana inabomoa barabara za lami kila mahali ili wajenge mwendokasi na kusababisha upotevu wa mabilioni ya walipa kodi usumbufu mkubwa.Sera ya Taifa ipo na wananchi walishirikishwa kama Chadema mnataka kutunga sera yenu na kuita ya Taifa shindeni uchaguzi kwanza.
Ok, una hoja. Dennis Robert Shughuru and Strong ladg and YodaVyote hivyo vinapigiwa hesabu kwenye uwekezaji kisha vinafanyiwa comparison kwenye cost benefit analysis.
Kwa mfano muwekezaji anajiuliza maswali yafuatayo:
1.Gharama za uzalishaji ni kubwa lakini je nikimudu hizo gharama za uzalishaji nikaanza uzalishaji soko lipo?
2.Na kama soko lipo je bei nitakayouza itamudu kurudisha gharama za uzalishaji na kupata faida?
3.Je wakati huo nimeshaanza kuzalisha na kuuza nikipata changamoto yoyote itatatuliwa kwa wakati au hadi nitoe rushwa tena ndio uzalishaji uendelee?hapa Kenya wametupiga gepu
4.Je nikihitaji wafanyakazi professional kwa haraka bila uzalishaji kusimamishwa nitawapata kwa haraka au hadi nikatafute watu ulaya niwalete?hapa ndipo Kenya wanapotupiga gepu
5.Je kuna malighafi zilizo tayari kwa matumizi au hata mpango tu wa miaka michache mbeleni kwamba kutakuwa na projects za kuandaa malighafi?jibu hapana
Sasa kuna mtu kakutaza kulima? Nenda kalime upate utajiri.Tuko kwenye vita lakini Mungu katupendelea sana Tanzania.
Kila siku najiuliza kwa nini Tanzania ni masikini?
Kwa ardhi yetu yenye rutuba inatosha kutufanya matajiri