Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Ya Lutheran inaitwa Tumaini. Ina matawi autonomous kwy Ma-dayosisi e.g. Dayosisi za Kaskazini, Mashariki na Pwani na Iringa.Serious?
Makumira ni ya Lutheran
Hubert Kairuki ni private Institution
Tatzo jingine ndungu zangu waislam wakiafrika (sisi weusi) wanaowaona waarabu ni ndugu zao, ndio maana anajitetea hivyo!!! Hayo masheli maviwanda yote unakuta ni waarabu...muulize muislam gan mwenyeji itikad kali kama yake anamiliki maviwanda, masheli nkMuoneni huyu!
Hayo masheli umeshawahi kumuona Big Bon pale Kariakoo akipima gauge kwenye tank kuangalia kama mafuta yamefika kiwango gani au kushika pump?hizo kazi si wanafanya losers waliokosa ajira rasmi au kukosa elimu?
Hiyo kazi saratani nje nje hata akiwa na ndugu mtoto wa dada yake hiyo kazi hawezi kumruhusu aifanye kwenye hivyo viwanda vyao mnapewa kutwa elfu tatu tatu mnafanyishwa kazi za manamba vifaa kinga vyenyewe hampewi mwaka 2014 yupo jamaa yangu baba yake mdogo alitumbukia kwenye chemba ya kuchemshia vyuma kwenye kiwanda cha Muislam mwenzenu wakaishia kupewa ubani Tsh 500,000/=.
Unapozungumzia vitu serious kama hivi huo utajiri utoe kabisa hawana maana hao.
Sasa huko mwanzo walikuwa wanasambaza ujinga
Dah pole Sana [emoji23][emoji1787][emoji1787] Leo umekula za uso , najua apo ulipo unaweweseka
Ila waislamu mjenge hospital, shule na vyuo
Jifunzeni pia kutoa sadaka nene
Umekaa wiki unafanya kazi inafika ijumaa unaenda kutoa jero
Mtuwache tupumue, ondoeni majeshi yenu ya Uvamizi huku Zanzibar kwanza.
Sasa kwa nini wajenge hospitali wakati zipo!?..labda Kama wanataka kupiga pesa za wagonjwa Kama wenzaoKwa wakristo na serekalini
Najua inachoma lkn lazm tuambiane ukweli....!!! Waislam tubadilike
Wewe unataka vurugu,nenda vilabuni kiloleni na kachomaMie naongelea in general..na mzunguko wa fedha mkuu...mm tabora napaona pamepoa
Formalities zipi ? Wakati ilikuwa umati unaangamia kwa matapeli kama kule kaweNi formalities tu,kama kuamua kupika chakula kutumia gas badala ya mkaa,kwani kabla ya gas chakula kilikua hakiivi na kuliwa??
Hatuondoi.
Nilikuwa na mqoute mokit ni muongo sana jamaa yuleNajua inachoma lkn lazm tuambiane ukweli....!!! Waislam tubadilike
Formalities zipi ? Wakati ilikuwa umati unaangamia kwa matapeli kama kule kawe
Inasambaa wapi? Nyie ndo mnakuwa na wivu kama wewe kuona hatuna shobo wala time na nyie ,mnapenda kutufuatilia ila hatuna time na nyie .Hakuna kitu kina waumiza waisalm kuona wakristo wanahubiri injili na injili inasambaa kwa kasi sana,ngoja ni kwambie kitu injili itahubiliwa iwe kwa njia ya ukweli au utapeli kama unavyodai,chamsingi hawamuhubiri na kumtangaza shetani bali anayehubiriwa ni Yesu kristo,
Pia kama unaona ni utapeli wanao fanya nenda mahakamani kawashitaki,
Msabato huyo amejipa offer ya chuo.Serious?
Makumira ni ya Lutheran
Hubert Kairuki ni private Institution
Sio tu nchi hii bali duniani kote,na ahadi ya Allah na Rasulullah ni kuwa kabla ya siku ya mwisho basi uislam utatawala ulimwengu Kama ilivyokuwa hapo kabla kumbuka himaya ya Banu Ummaya (Umayyads caliphate) ilitawala mpaka Iberian na western Europe ndio ukakuta Leo ukienda Andalusian, Spain miji Kama Cordoba au Granada utakuta athari yakeDuh,unaamini hilo.lotatokea nchi hii?
Hili ni zao la ile wanaita i-lim akhera huyo ukimwambia akuandikie kiarAbu yale maandishi ya kutoka kulia kurudi kushoto atakushangaza ila lugha mama yake kuandika inamsumbua.Dah😆🙌..sikufahamu
Basi msilalamike na misikiti
Atunge kwa manufaa gani?huyo naamini ni Muislam mwenzako yupo open minded tatizo wengi mnaamini wote ni wajuzi wa kila jambo.
Maendeleo, kwani misikiti inazuia maendeleo ??Hakuna aliyelalamikia misikiti,ila iendane na maendeleo katika jamii husika.