Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Hatufanyi biashara izo basi ...Tunafanya biashara za bidhaa nyingine .

Vyuo kibao uanze sijui cha dini ili iweje na hizo ni biashara kwani wanasoma bure? Si unaona mchanganyiko ..

Unapenda kucompare kila watu na Iman zao ...hatuko kibiashara zaidi shule za st. Zote ni biashara, maji ya upako sijui ni zote ni biashara
 
Here u are...

Kingine mkienda ninyi wenye upeo na elimu ya sasa mkileta hoja kama hizo za maendeleo mnapingwa na kuonekana kama mnauharibu Uislam

Hili nimelishuhudia sana, yaani ukute msikiti unamuajiri Accountant hasa na CPA yake... NO

Wazee wa kiislam na Masheikh ni Conservative sana [emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa ndio waislam mtoa mada anao wazungumzia.

Kwa mentality hii, Waislam mna kazi kwelikweli kujikwamua kutoka hapo mlipo
Kazi ipi hakuna wasomi wa kiislamu au umadanganywa au unangojea wateliwe useme kwamba Kuna upendeleo wa dini ..kwa taarifa yako tukisema raisi achague waislamu tu tunaweza kucover nafasi zote serikali mpaka mwenyekiti wa kitongoji.

Ilihali sisi sio washamba wamajivuni kama nyie washamba show off ushamba mzigo
 
Kwa hiyo ni hamna vyuo vikuu miaka yote hii (zaidi ya kile cha mkapa)???

Twende kwenye huduma za Afya.

Nitajie Hospitali yoyote inayoeleweka inayomilikiwa na Taasisi yoyote ya Waislam inayotoa huduma kwa jamii.
 
Umeshachanganyikiwa.Hapa hatuzungumzii Teuzi...

Kama waislam ndio kama wewe na wengine wa aina yako, basi mtoa mada (mwislam mwenzako) yuko sahihi sana.
 
Migogoro haswa kama ni taasisi ni lazima hata Bakwata unaona wanasumbuana ...better kuwa muislamu kuliko kufuata makundi ni madhara maana yanaleta utengano.

Tambua jamii za watu kweny mchanganyiko na pakawa na maslahi lazima patakuwa na chuki ..izi taasisi no hatar sana maana Kuna misimamo ya dini ya misimamo ya watu binafsi hapo ndo balaa linaanza.

Madarasa kubwa zote angalau Zina nursery na dispensary hii yangu Mimi ni mdogo nimeshuhudia kwa maeneo niliyokaa ila still huduma tunatoa ila kama msaada hata kama ni ada ni ya chini ,ila tambua huwezi fananisha na watu kama feza wanaolipa mamillion
 
Hili wazo lilipaswa kufikiriwa zaidi ya miaka 50 iliyopita. Washukuru Nyerere alitaifisha shule za Kikristo vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana kwa ndugu hawa.
 
Umesema hamfanyi hizo biashara za vyuo?

Nyie waislam na taasisi zenu Mnafanya biashara gani???

Nb: (Sitashangaa ukitaja biashara za Bakhresa na Mo Dewi hapa [emoji1787][emoji1787])
 
Umeshachanganyikiwa.Hapa hatuzungumzii Teuzi...

Kama waislam ndio kama wewe na wengine wa aina yako, basi mtoa mada (mwislam mwenzako) yuko sahihi sana.
Hujanielewa wala sio lazima uelewe!

Ni kwamba anafikiria kwamba sisi sio wasomi kama wao kwamba tunapinga na mentality zetu ni za ivyo.

Sikia jinsi mnavyotuchukulia na nyie tunamichukulia kama washamba ,vichwa ngumu ,wajinga msioelewa wala kuwa na hofu zaidi kuendeleza maslahi mbele kwa njia yeyote hata kutapeli ,kudhulumu haki.
 
Umesema hamfanyi hizo biashara za vyuo?

Nyie waislam na taasisi zenu Mnafanya biashara gani???

Nb: (Sitashangaa ukitaja biashara za Bakhresa na Mo Dewi hapa [emoji1787][emoji1787])
Sijataja hapa maana hata ukitaja matajiri nyie hamupo utasema nn?

Hao jamaa Wana impact gani kweny dini ?

Nimewataja wapi hapa hao jama unaanza shobo wala sikuwahi kufirkia hayo .

Sinaga zile mambo sijui sisi matajiri then nikutajie mtu fulani ,ntakumbua Mimi ni tajiri kama utajiri ni wangu au mzazi wangu.

Unaweza kuseme nyie wasomi kumbe wew ni zero hiana impact ,fanya kuongelea hali yako halisi.


Vyuo vipo kibao nenda nijeria ,misri, ivyo ni vyao na ni uwekezaji wao hapa bongo still vilivyopo vinatosha
 
Ndio maana nimesema Umechanganyikiwa.

Mada umeielewa kweli? Hii mada imeanzishwa na muislam mwenzako.

Mada haihusu wakristo...Mada inahusu Waislam kutokujenga misikiti tu badala yake wageukie huduma za jamii kama Shule/Vyuo na hospital.
 
Umesema nyie waislam hamfanyi biashara za vyuo. Nina maswali 2 kwako.

1. Pale MuM morogoro, watu wanasoma bure?

2. Umesema nyie waislam hamfanyi biashara za vyuo, MNAFANYA BIASHARA GANI?
 
Ndio maana nimesema Umechanganyikiwa.

Mada umeielewa kweli? Hii mada imeanzishwa na muislam mwenzako.

Mada haihusu wakristo...Mada inahusu Waislam kutokujenga misikiti tu badala yake wageukie huduma za jamii kama Shule/Vyuo na hospital.
Huduma za kijamii we ndo haujaelewa kaongelea ishu za uchumi ..Mara usharuki university wangapi wanaweza kuafford ada za vyuo ? Wangapi wameshindwa kusoma kwa kukosa ada na wamefaulu vizuri?

Wewe mwenyewe huwezi kusomesha wanao pale st .Francis kwa vile ada huna si wakristo wenzio wapelekee wanao kama watawakubali bila ya ada then leta ngonjera zako.

Unajua ishu ya mikopo imeletwa kwa nn ? Ni kwamba 70% hawana uwezo wa kusoma vyuo kama wangekosa mikopo .

Point hapa mambo ya kiuchumi Kuna mikopo ndo maana Kuna bank za kiislamu dhidi ya riba, uanzishwaji wa elimu kama misaada kufadhili mashule kupitia sadaka ili ziwe hata kama zinatoza ada iwe chini sana.

Kusaidia watoto mayatima katika mahitaji yao.

Kutoa zaka kwa wasiojiweza
 



[emoji817]%!!

Hapo kwenye “mabinti na wanawake “ wa ki Islam panahitaji msisitizo mzito zaidi!

How I wish!

Umenena vyema sana!
 
Hakuna mtu anayeiingia ukirisito kwa kupewa msaada. Morogoro tuna chuo na shule nyingi tu. Na hospital zipo nyingi tu. Sijajua lengo lako nini. Uislamu unaongoza kwa maendeleo mengi nchini
Atafute kiwanja ajenge japo kituo cha watoto awe mfano, sio machapishwo mitandaoni na lawama..
 
Jengeni Hospitali na Mashule (including Vyuo vikuu) muhudumie jamii na sio kujenga misikiti tu.

Hizi ngonjera unazoimba hapa haziwasaidii
 
Umesema nyie waislam hamfanyi biashara za vyuo. Nina maswali 2 kwako.

1. Pale MuM morogoro, watu wanasoma bure?

2. Umesema nyie waislam hamfanyi biashara za vyuo, MNAFANYA BIASHARA GANI?
Umueelewa mtoa mada kaongea nn ishu ni uchumi tambua ..Kaangalie fees structure ya pale then uje hapa then fananisha na vyuo vingine.

Kama Kuna ada kubwa na mtoto wa kimaskini akashindwa kusoma kisa ada na chuo cha kiislamu je iko chuo kitakuwa msaada gan kwake?


Unashindwa kuelewa point sisi waislamu tuna mifumo yetu ya kiuchumi kama vile nchi ambazo huduma za afya ,elimu na mambo kibao hutolewa bure ndo point yetu haswa kutokana na uchumi..

Kwamba watu watoe sadaka na zaka instead ya kujenga misikitini zipelekwa kusaidia kama ruzuku(subsides) kweny afya , elimu watu wasome bure ..pia iwe sehemu ya mikopo ili watu wajiinue kiuchumi with zero interest huoni kama itakuwa msaada .

Ukiwa na pesa na uchumi hata PhD cha mchongo utapata ila uchumi kwanza na mkono uende tumboni huwezi kusoma bila ya kula
 
Jengeni Hospitali na Mashule (including Vyuo vikuu) muhudumie jamii na sio kujenga misikiti tu.

Hizi ngonjera unazoimba hapa haziwasaidii
Huelewi izo pesa zinatoka wakati source ya uchumi wetu ni zaka na sadaka kwa vile bongo sio nchi ya kidini so hatuwezi kukusanya kuanzia juu..watu wanakusanya kupitia Taasisi ambazo ndo wamiliki wa misikitini usione Yale majina sijui masjid "Tawqa" zile ni taasisi.

Tambua lengo lenu kuinua mtu kutoka chini kabisa tukuwa na cycle yetu nzuri ya ukusanyaji mapato na kufikisha kwa walengwa kama special groups sio biashara .

Wewe mwenyewe kumsomesha mwanao st Francis unashindwa na unataka je unanufaika na nn na ile shule wakati uwezo wako mdogo 😂😂 na wanataka pesa.
 
Jibu nililokuuliza, Acha mameno mengi
 
Jibu nililokuuliza, Acha mameno mengi
Maneno mengi yapi? Huelewi hata uambiwe vip mtoa mada kasema tuna uchumi wetu ..haya wewe unajua huo uchumi wetu au shobo 😂😂umekuja na list .

Unapewa moja mviliy tatu unakurupuka mla nguruwe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…