Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

7) Teofilo Kisanji(teku) University
8) Ruaha Catholic University
9) Catholic University of health and allied sciences ( bugando)

Hapo bado karibu kila mkoa kuna branches za hizo universities. Kwenye suala la elimu na afya tuwape pongezi wakristo wote hasa Catholic
 
Exactly... Wakristo kwa pamoja wana Vyuo Vikuu visivyopungua TISA (9). Hivyo vyuo vina branches almost mikoa yote.

Na hapo kila dhehebu la kitaasisi lina Chuo kikuu chake (RC, Lutheran,Anglican,SDA)

Waislam bado wapo na chuo kikuu kimoja toka kipindi cha Rais mkapa( tena kile waligawiwa majengo ya tanesko)

Tunaposema Waislam wana matatizo when it comes to Huduma za Jamii na Elimu, Ushahidi ndio kama huu.

9 Universities Vs 1 University (cha toka enzi ya mkapa)... Hii ni aibu kwa kweli
 
Hapa mtaani kwetu Kuna miskiti mitano. Wanaanza kuita watu saa kumi na nusu usiku. Sawa wanatuamsha kupata kile kimoja Cha asubuhi ambacho Ni kitamu Sana , lkn wamezidi,. Wangekubaliana imam mmoja ndio afanye Ile amsha amsha.
 
Rufiji kuna misikiti mikubwa na mizuri tu, lakini maendeleo ya waumin ni duni. Waliojenga hiyo misikiti wangeweza ku finance miradi mingine mikubwa ya kiuchumi ikawanufaisha waumin walioko hapo.
Akili fupi hiyo,ibada kuu ya muislam atakayoulizwa siku ya hesabu ni swala
Sasa sijui we na mtoa mada mmetumia kigezo gani kuwa watu wasijenge msikiti bali wajenge vinginevyo!
 
Nyie mna takataka ipi kati ya vyuo vikubwa zaidi ya upumbavu?

Ndo unavyodanganywa zaidi ya kuzalisha mapandre wasiozaa

Yani,wewe hoja yako kuu ni mapadri kutokuoa na kuzaa,hao mashehe wanaozaa hovyo hovyo au wewe unaezaa hovyo hovyo kuna nini cha maana umekifanya kwa taifa hili,

Anyway ukizaa wewe inatosha sana,mapadri wamefunga ndoa na kanisa na wanazaa matunda ya kanisa.
 
Mada nzuri sana,mikoa au maeneo yenye waislam wengi kuna hali duni za maisha hali iyo maranyingi huwa inazaa vibaka,singeli,vigodoro na wazazi kupuuzia malezi na elimu kwa watoto wao.

Shida kubwa ni ule utaratibu wa hovyo wa kuzaa zaa hovyo bila mipango,kitendo cha uislamu kurahisisha suala la ndoa na talaka wajinga wengi wamelitumia vibaya,hivi sasa si vijana wala wazee wakiislam wanashindana kuoa na kuacha,wanawake wanatelekezwa punde tu akizaa,kwa namna hiyo huwezi pata familia imara wala jamii imara.
 

Swali lako kawaulize wayahudi.
 
Mimi nimepata fursa ya kuwa Msaidizi wa fundi pale Kimara Korogwe kuna kanisa limetumia sadaka za waumini wake kuwarudishia maendeleo, yani pamekua kama taasisi, pana Shule ya Chekechea, primary na sekondari, wamejenga pia hospitali kubwa ya Kisasa kama unavyoona Aghakhan vile, wana mpaka kituo cha watoto yatima isitoshe juzi wakati nafanya kibarua pale naambiwa wanajenga chuo kikuu cha madaktari na manesi pamoja na nyumba ya wazee na watoto wa mitaani.
Kusema kweli hapa hata muumini anakua na moyo wa kutoa. Kweli ndugu zangu Waislam tubadilike Wafadhili wetu toka nje wanatupa misaada mikubwa ilibidi viongozi wetu wawe na fikra za kujenga msikiti na kitegauchumi pia
 
Naona akili zimeanza kuwakaa sasa

Dini bila nguvu za kiuchumi n sawa na kumpigia kelele muumini kwan maisha yake yote ataishi kwa hofu Uhuru wa nafsi hatokuwanao

Katikat ya swala atakuwa anawaza atakula nini na familia yake

WEKENI MJADALA WA KITAIFA KUTENGUA KITENDAWILI HIKI
 
Washamba hao point yao watakuja na MWENGE catholic na hospital ya Muhimbili kama unabisha ndo defensive mechanism yao ...Wakati ni wajinga wanawachangia mapandre na maaskofu then wao ndo wamiliki wa izo shule na vyuo
Mkuu usibishe wakristo kiujumla wanavyuo na hospital zilozokamilika na zinaitwa hospital za rufaa kabisa

Kwa uchache

Bugando ..kina chuo Cha afya had PhD

Kcmc Kuna chuo Cha afya had PhD

St Francis ifakara ..Kuna chuo Cha afya hadi Masters

St Benedict hospital ..peramiho sjui Kama chuo Bado kinatoa shahada

Hizo n hospital kubwa znazotoa huduma kwa mataifa bila kujar dini

Naomba nitajie hospital ya rufaa ya kiislamu yenye chuo kinachotoa walau shahada au astashahada
 
Hicho Morogoro Muslim University chenyewe Ni msaada toka kwa kilichokuwa Chuo cha TANESCO
 
BAKIIF Islamic hata huku kwenye ukristo hasa PENTECOSTALS kazi yetu kubwa kilasiku tunawaza kufungua makanisa na kufungulia mziki Kwa fujo ....ufike muda walokole nao wajenge hospital,shule na huduma zingine za jamii kama ilivyo Kwa katoliki na kkkt

Waapentekoste wanatoa huduma zote,kiroho,kielimu na kiafya,kwa yale makanisa yaliyojitanua. Na ndio sera kubwa ya ukristo.
 
The way unavyotetea ujinga kwenye hii mada, hata mtoa mada ambaye ni mwislam mwenzako atakuwa anakushangaa sana.
Unaonekana mjinga lzima nikupuuze endelea kula mangurue yakuharubu akili..
 
Nakuambia mfumo wa uchumi wetu hatuufuati ndo maana izo pesa zinatoka wapi za kujenga .


Ivyo vyuo watu wanasoma bure au wanapewa huduma bure.
 
Utajua mwenyewe sibishani mshamba ,pita kushoto
 

Inferiority complex,wakisikia neno ukristo wanatetemeka sana,ndiomana hukimbilia kujiripua na kukataza ukrito katika maeneo yenye waislamu wengi ndio defense mechanism yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…