Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
7) Teofilo Kisanji(teku) UniversityHahaha... Wewe Huwezi kusoma wakati humo kwenye hivyo vyuo Waislam wenzako wamejazana kibao!!!
Na kwenye list yangu nilisahau kutaja chuo kikuu cha sita.
6. Sebastian Kolowa Memorial University
Na nimekuuliza swali naona unajifanya hulioni, ukitoa MUM morogoro (ambacho mlipewa na Mkatoliki Mkapa), Waislam Mna chuo gani kingine hapa Tanzania?
8) Ruaha Catholic University
9) Catholic University of health and allied sciences ( bugando)
Hapo bado karibu kila mkoa kuna branches za hizo universities. Kwenye suala la elimu na afya tuwape pongezi wakristo wote hasa Catholic