25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
kulipo kodi maendeleo yanaletwa kupitia kodi zao barabara nk hata wewe kodi yoko himo humo,Ametumwa na nani?
Yeye maelezo yake yamewekwa kwa mtindo wa hoja. Unapojibu, jibu kwa hoja ili kuendeleza mjadala chanya.
Unaposema Uislam umejitosheleza, sidhani kama yeye kuna mahali amesema haujajitosheleza, points zake hazijajikita kwenye Uislam, bali kwa waislam, kwa namna wanayo handle mambo.
Ni kweli waislam wenye elimu wako wengi sana, hata nchi hii peke yake, ukitaja matajiri, orodha itajaa waislam, ila impact yao ni ipi?
tunakuja mnapo sema nyiyi wakiriso kama wakirisito mmeleta maendeleo tuatajie barabala maji shule hosiptali nk mlio yaleta upitia pesa zenu na elimu yenu
nitajie mliko wengi kama njombe songea mbeya iringa sumbawanga mpanda kirimajaro taja usilete polojo