Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Ametumwa na nani?

Yeye maelezo yake yamewekwa kwa mtindo wa hoja. Unapojibu, jibu kwa hoja ili kuendeleza mjadala chanya.

Unaposema Uislam umejitosheleza, sidhani kama yeye kuna mahali amesema haujajitosheleza, points zake hazijajikita kwenye Uislam, bali kwa waislam, kwa namna wanayo handle mambo.

Ni kweli waislam wenye elimu wako wengi sana, hata nchi hii peke yake, ukitaja matajiri, orodha itajaa waislam, ila impact yao ni ipi?
kulipo kodi maendeleo yanaletwa kupitia kodi zao barabara nk hata wewe kodi yoko himo humo,

tunakuja mnapo sema nyiyi wakiriso kama wakirisito mmeleta maendeleo tuatajie barabala maji shule hosiptali nk mlio yaleta upitia pesa zenu na elimu yenu

nitajie mliko wengi kama njombe songea mbeya iringa sumbawanga mpanda kirimajaro taja usilete polojo
 
Tariq ibn Shihab reported: Umar ibn al-Khattab, may Allah be pleased with him, said, “Verily, we were a disgraceful people and Allah honored us with Islam. If we seek honor from anything besides that with which Allah honored us, Allah will disgrace us.”

Source: al-Mustadrak ‘alá al-Ṣaḥīḥayn 207

Grade: Sahih (authentic) according to Al-Albani
 
Talaka imepewa kipaumbele utadhani kitu cha maana.

Yaani msisitizo umewekwa kwenye talaka mpaka mabaraza ya kutetea Talaka

Ila uwezeshi wa waumini kiuchumi nadra sana
wewe mshenzi tu ulitaka imani yetu iwe sawa na yako,wewe imani yako aiamini talaka atakama wanandoa watauana wasiachane bali wagawane viumba ss kwentu ndoa ina mwisho kama vitu vingine

haya wewe huo ukirito wako umekuwezeshaje kiuchumi? sababu tuko wote mitaani tunawaona lete uongo wenu tuone
 
Embu taja takataka mlizo nazo kwa jina la uislam,kama sio uchafu kabisa.
unajikweza tu hizo mali unazo jisifia nazo sio zako ni za kanisa anazfaidi mchungaji tu na padiri tu wewe azikusaidii wala ndugu zako mbono tuko wete mitaani tuepauka nayi pia mmchoka kiamaisha tagu lini mali ya kanisha ikamsaidia mkiristo wa kawaida isiwe mchungaji au padiri?we kazi tako kuchangia tu huko ukifa masikini
 
Umeakisi waislamu wengi sana wa Africa ambao sio open minded,hili ni tatzo ambalo waislamu tupo nalo miaka yote ushauri wa kujenga unaonekana ni ukafiri na kinyume na uislamu,sasa sijajua suala la elimu hapa limeingiaje,

Kwa ufupi kama hujamuelewa ni kwamba kuwa na visima vingi vya maji katika jumuiya ya waislamu ni bora zaidi kuliko kuwa na misikiti minne ya kisasa katika eneo hilo..
Islamic Foundation wale jamaa wa Morogoro naona na wao kwa sasa wamestick kufanya hivi baada ya kujenga misikiti mingi kwa miaka yote waliyokuwepo..kwa sasa wanajenga mashule,visima vingi sana kuliko misikiti
wewe usikodoe macho wewe kama wewe umeleta maedeleo gani kijijini kwenu hata kwa wazazi wako ndugu zako kazi kusifia mali za watu
 
Nilitaka nikuzodoe lakini nilikuwa sijakusoma hadi mwisho nimegundua umeandika bonge moja la point.
Mtume muhamad aliwaasa waumini wake sana kuhusu elimu kuna usemi unasema someni hadi mfike Uchina.Miaka mingi iliyopita inasemekana Uchina walikuwa wana maarifa mengi sana ndio huo usemi ukatokea.

Ni ukweli ulio wazi Waarabu hawa hawa hasa wa Mashariki ya kati ndio wamechangia sana kuturudisha sisi nyuma angalia kwa ukaribu sana mahali popote Muarabu alikopita hakuna maendeleo ya maana sitaki kutoa mifano maana nitaumiza watu.

Waarabu pamoja na kuja kueneza dini lakini walileta biashara ya kinyama sana ya utumwa hivyo wakawafundisha waumini juu ya elimu Ahera peke yake hawakutaka kuwafunza mengine.

Hapa ndio wenzetu wakristo wanapotupiga bao.Kuna nchi za kiislam ambazo zimesonga mbele sana kitecknolijia mfano Misri,Morroco,Iraq,Pakistani n.k

Sisi huku Tanzania tuamke tuanze kutembea hata kama wenzetu wameshaanza kukimbia.Kuna usemi japo haupo sahihi wa utani lakini ni ukweli mchungu unaingia kwenye roho.Mtu mjinga hawezi ingia peponi.
Maana ya utani huu japo maana yake ni kwamba sasa wewe unasali sala tano sawa huu muda mwingine kwanini usikae au mkae mpange mikakati ya kimaendeleo ila ni kupiga majungu,uswahili mwingi,kucheza bao.

Ahsante sana mwandishi nisamehe nilivyokuwazia vibaya kabla sijafika mwisho
 
Yani ni pande zote mbili tujitafakari,mada nzuri sana kwa wakristu na waislam pia
uzuli wake nini? kusifia mali za kanisa ambazo hazina tija hata kwa wakiristo,na kuwa wabeza waisilamu kuwa awana maendeleo mada hii uzuli wake ni upi haswa ulio uona wewe?
 
Na nukuu!

Ifake wakati sasa misikiti iyanze kuhudumia watu na kuwafanyia watu mambo yaliyo mema, nasio watu siku zote kuihudumia misikiti. Moyo wa mtu umeumbwa kukipenda na kukithamini kile kitu kinachomjali, na moyo umeumbwa kukichukia na kukidharau kile kitu kisichomjali.



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
wewe huko kanisani kwenu tangu umeanza kuchangishwa umehudumiwa nn?????
 
Maendeleo ya uislam kama taasisi.

Hata zahanati imekosekana sheikh.
wakirisito kweli mazo hospitali nyinyi je mnatibiwa bule? au unasifia mali za wachungaji wanao nufaika huku wewe ukiishia kuchangia tu!!!!!!!
 
Hujanielewa wala sio lazima uelewe!

Ni kwamba anafikiria kwamba sisi sio wasomi kama wao kwamba tunapinga na mentality zetu ni za ivyo.

Sikia jinsi mnavyotuchukulia na nyie tunamichukulia kama washamba ,vichwa ngumu ,wajinga msioelewa wala kuwa na hofu zaidi kuendeleza maslahi mbele kwa njia yeyote hata kutapeli ,kudhulumu haki.
We Mbondei una tabu sana aisee!
 
We Mbondei una tabu sana aisee!
Screenshot_20230213-091526.png

Kazi huko wana wamakusanya na wakitoa izo huduma wanafanya biashara.
 
Back
Top Bottom