Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

Bahati mbaya wengi mnaotoa hoja humu sio Wana CCM. So, inakuwa ngumu kiwajibu. Ngoja tuendelee kuwaangalia tu.
 
Hapana...Itifaki ya vikao vya Chama haiko hivyo..Meza Kuu ni
1.Mwenyekiti
2.Makamu wa Mwenyekiti
3.Katibu Mkuu
Wengine wote kukaa kama wajumbe wenye hadhi sawa akiwemo huyo Mwenezi.
Sawa mkuu,ILA tunakubaliana kuwa serikali iliyopo imeundwa na ccm?,kama hili nalo hatukubaliani it's okay bcs we have the right to disagree
 
Kwani Mawaziri wote wanaingia kwenye hizo vikao vya Chama? Pia tueleze Makonda anaingia kama nani na hao mawaziri pia wanaingia kama nani...then tuanze kujadili
Bwashee acha ujuaji wa chagga za vitanda jibu swali sio swali juu ya swali
 
Kwani ni msemaji?
Au katibu wa itikadi na Uenezi?
 
Drama za wanasiasa ni hadaa ya kupata vyeo na mamlaka kwa manufaa binafsi na si kwa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…