Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Bahati mbaya wengi mnaotoa hoja humu sio Wana CCM. So, inakuwa ngumu kiwajibu. Ngoja tuendelee kuwaangalia tu.Haupo objective, wewe unaongelea hisia zako sasa. Swali ni kuwa mawaziri wote wanaingia kwenye vikao vyote vya chama? Na wakiingia wanaingia kama nani mawaziri au wanachama ? Na kama wakiingia kama wanachama ukiangalia structure wa CCM kipi ni kipi na nani ni nani?