Hujamaliza tu chuki zako...acha ku spin taarifa.
JPM hakuwahi kukopa kwa Mturuki...Awamu ya kwanza zilikua pesa za ndani, awamu ya pili ni mkopo wa standard charted mturuki anatoka wapi?
Now tuje kwenye mahesabu.
Contract za awamu ya 5.
1. Phase I Dar - Moro 300km cost 1.2$B
2. Phase II Moro - Makutopora 442km cost 1.9$B
3. Phase V Isaka - Mwanza km 249 cost 1.3$B
Total km 991 total cost 4.4$B
Contract za awamu ya 6.
4. Phase IV Makutupora - Tabora 294km cost 1.9$B
5. Phase VI isaka - Tabora 130km cost 0.9$B
Total km 424, Total Cost 2.8$B
Ukifanya tathimini ya Haraka utagundua yafuatayo.
1. Bei ilipanda awamu ya sita...kipande cha Tabora-Isaka na Moro - Makutupora vina tofauti ya km 18 ila price diff ni $900m.
2. Pamoja na bei kuongezeka awamu ya 6 ila bado total price ni 7.2$B, 400B less compared to bei aliokua ame offer mchina ya 7.6$B
Link:
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
After hayo maelezo nlitaka kujua hizo 9% umezitoa wapi? Au ndo unahisi humu ndani wote vilaza unatuletea story za vijiwe vya kahawa?
Nimekudharau sana aisee.