mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Mkuu hata hapo kwenye demokrasia mpe credit.Mkuu hizi taarifa ni Public information na zinapatikana kutoka vyanzo mbali mbali, ikiwemo magazeti mitandao, Youtube, wikipedia e.t.c...uki google tu utaziona maana hii mikataba ilikua inafanyika mbele ya waandishi & inasainiwa mbele ya Raisi kila mtu akiona...
Ht mkopo wa awamu ya pili ulipokelewa na MH Philip Mpango mbele ya waandishi, uki google utaipata hii...bt alie finance hizi phase za awamu ya 6 ndo sijawafahamu bado.
So anapotokea mpuuzi mmoja ana spin taarifa kwa ajili ya kumchafua mtu hua sielewi. Watu wahukumiwe kwa makosa yao, ila sio kwa yasio wahusu.
Siwezi muhukumu Mama kwa issue ya demokrasia bt kwa ufisadi na maendeleo i will. the same to JPM siwezi muhukumu kwa Ufiadi na maendeleo bt kwa demokrasia i will.
Kila mtu ana eneo lake amefanya vzuri na kuna eneo kaboronga. Ukweli utabaki hivyo, na ukweli utakuweka huru why spining?
Angalia nchi aliipokea vipi kutoka kwa Kikwete?
Migomo,maandamano,wanasiasa kususa na kutoka bungeni,mapigano polisi na raia wakichonganishwa na wanasiasa kwa mikutano ya kila siku.
ILIMLAZIMU afanye vile ili kutengeneza hishma kati ya serikali,wananchi na wanasiasa.
TO me the man was right kwenye demokrasia japo kama mwanadamu hakukosa kasoro