Turudi nyuma kidogo mgogoro wa DP World

Kumbe na Bunge Bwana Yule aliliandaa kwa mambo kama haya yapite bila kupingwa.
 
Well
 
5% ya kiasi gani na 9% ya kiasi gani?
 
Wewe unamsifia mtu anayepindisha ukweli?
 
Kuna uongo ambao huandikwa vizuri, lakini uongo kama huku haudumu Kwa sababu kuna hard reference. JPM kuwakaa wachina kujenga SGR ilikuwa purely costs /gharama. Wachina walitaka wajenge Kwa zaidi ya billioni 12 dollar, akaja Mturuki na Mreno Kwa bei ya chini billioni 7 initially. JPM akachagua Mturuki. Mchina alikuwa atoe financing, aliposhindwa tenda akaondoa financing yake, kumbuka Wang Yi alikuja kuongea na JPM na akakataa masharti ya Mchina.

Kuhusu Bandari ya Bagamoyo ni kweli JK na group walichukua down payment lakini ni uongo mkubwa ati JPM aliona wivu hakukatiwa. Same thing JPM hakuridhika na masharti ya investors.

mwongo Wewe
 
Wanaoturudisha nyuma Tanzania sio wamachinga au mama ntilie.
Ni watu wasomi kabisa wanaojua kusoma, kuandika na kufikiri.
Imagine MTU anaeaini mkataba usio na ukomo, usio weka wazi sisi tutafaidika namna gani katika mkataba huo.
Mpaka Sasa serikali imeshindwa kujibu swali la ukomo wa mkataba au ugawanaji Mali.
Ni serikali hii hii iliyo waruhusu makaburu kuja kuchimba tanzanite na kuondoka nayo bure.
Wakati Fulani unamuangalia waziri unatamani umpige makofi.
 
Inaelekea Samia hautaki mradi wa bandari ya Bagamoyo pia ila mwanzoni mwa utawala wake alijifanya kuutaka ili kumridhisha Jakaya. Sasa hivi ameshakizoea kiti ndo maana kaingia huu mkataba wa kugawa bandari zetu zote zilizopo na zijazo ili kuondoa uwezekano wa mwekezaji serious kujenga bandari ya bagamoyo.

Na hii inalenga kusaidia bandari ya Zanzibar inayokusudiwa kujengwa ili ichukue nafasi ya bandari ya bagamoyo.
 
Mzee huyo ni muongo acha naye
 
Some guys already saw this just earlier before. I was not even aware if us is in behind the game through dpw duh. And it's true if u connect dots there was a time r. ostam was seen sign the docs alongside przdent in us before this engagement. Who knows may be it's related.
 
Hahaha. Ni vitu vinavyohusiana. Unatumia understanding ya global intelligence kunufaisha au kuathiri national strategic economic intelligence.
Sisi hatutaki hiyo global yako sisi tunaenda na NATIONAL ECONOMIC INTELLIGENCE.
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Ni kama unatafuta uteuzi indirect .

Your browser is not able to display this video.
 
Wewe unajijua kuwa ni Mpuuziiiiiii
 
Ma Brass yanashainiwa tu, Viaatu polishi kwa wingi ndevu hadi masikioni....wamekaa tu.
 

Huyu jamaa anajionaga ana akili ya kupekua mambo ya ndani.

anakaa anatunga uongo wa kuja kuwahadaa wabongo.


ACHA KUDANGANYA WATU KIJANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…