Turudi nyuma kidogo mgogoro wa DP World

Haka ka ngedere kamekuja na "intelligence adimu" mpya ya somo lale "bobezi" la "ujasusi wa kiuchumi"? Dubai Expo 2020 ilikuwa siku 182 kuanzaia Oktoba 1, 2021 hadi Machi 31, 2022.

 
Huyu jamaa ana vistori vya vijiweni vingi sana,JPM alikuwa kichwa,alikuwa anafanya uamuzi baada ya kufuatilia jambo kwa kina yeye binafsi na kupitia vyombo vya usalama.Nadhani ukiacha wakati wa Nyerere,JPM kaitumia TISS kwa kiwango kikubwa sana!
 
Mvaa kobazi katika ubora wako

Hata umtaje Pengo mara elfu, Pengo mwenyewe au Kanisa kwa ujumla haliwezi fyata mkia 'na unalijua hili kwani hamjaanza leo hizo harakati'
Anapambana na watawala wa Dunia, Vatican.Hajui ata USA mwenyewe anawajua michezo yao ya hatari!
 
Kwa hiyo JPM kabla hajafa alisaini mkataba wa milele na DP world na kuwakabidhi moja kwa moja maziwa mito na bahari zetu?

Na kabla hajafa JPM aliandaa muswada wa kubadilisha umiliki wa rasilimali za taifa kwenye katiba?
 
Kwani Dubai Expo 2020 ilikuwa enzi za Urais wa Magufuli?
Huyo kwakuwa ameona imeandikwa 2020 basi akajua imefanyika 2020!🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪

Yericko ni mtu wa kuokoteza vijarida hahahaha na kujiita jasusi …jasusi gani hajui hata Dubai expo ilifanyika lini?
 
Kwani Dubai expor ilifanyika 2020?

Kwani mkataba na Dubai alisaini marehemu aliacha amesaini kabisa?

Yeye ndio aliandaa kabisa muswada kabisa wa rasilimali za taifa kwenda bungeni kabla hajafa?

Maswali kwanini hayajibiwi? Hahahaha😝😝😝😝
 
Huyu jamaa shida anapenda kuchanganya siasa za CCM na CHADEMA kwenye mambo ya kitaaluma.Yaani chuki yake kwa JPM anaileta mpaka kwenye issue za kitaalamu!
 
Uko vizuri.
 
Mkuu hizi taarifa ni Public information na zinapatikana kutoka vyanzo mbali mbali, ikiwemo magazeti mitandao, Youtube, wikipedia e.t.c...uki google tu utaziona maana hii mikataba ilikua inafanyika mbele ya waandishi & inasainiwa mbele ya Raisi kila mtu akiona...

Ht mkopo wa awamu ya pili ulipokelewa na MH Philip Mpango mbele ya waandishi, uki google utaipata hii...bt alie finance hizi phase za awamu ya 6 ndo sijawafahamu bado.

So anapotokea mpuuzi mmoja ana spin taarifa kwa ajili ya kumchafua mtu hua sielewi. Watu wahukumiwe kwa makosa yao, ila sio kwa yasio wahusu.

Siwezi muhukumu Mama kwa issue ya demokrasia bt kwa ufisadi na maendeleo i will. the same to JPM siwezi muhukumu kwa Ufiadi na maendeleo bt kwa demokrasia i will.
Kila mtu ana eneo lake amefanya vzuri na kuna eneo kaboronga. Ukweli utabaki hivyo, na ukweli utakuweka huru why spining?
 
Hata hauoni aibu!
 
Kwahio JPM alimtokea Samia Ndotoni akamshikia Bunduki aka-sign alichosaini ?!!!!

Hii mbona tunazunguka na kuacha hoja za msingi na kupoteza muda ? (Tuseme kweli JPM alikuwa Jambazi asiyefaa) Au hajafa na anaturubuni kwa urubuni wake na ni yeye aliyepo leo Ikulu
 
Chitola matumbo [emoji16][emoji16]
 
Kwahio Mkataba ni Mzuri au Mbaya ?

Je kama JPM ndio alihusika anaufanya kuwa mzuri au mbaya au ubaya au uzuri wa JPM unabadilisha vipi huu Mkataba ?

Sahihi iliyopo kwenye haya Makubaliano ni ya JPM, au ni Mizimu ya JPM ndio ilishinikiza wasaini ?

Mbona tunatoana kwenye reli kwa story za Alfu Lela Ulela
 
Huyo kwakuwa ameona imeandikwa 2020 basi akajua imefanyika 2020!🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪

Yericko ni mtu wa kuokoteza vijarida hahahaha na kujiita jasusi …jasusi gani hajui hata Dubai expo ilifanyika lini?
Inasikitika sana kama hata kitu kidogo hivi hakujua!
 
Kwan Lissu na Mbowe ndio nini katika watanzania milion 60?
Wametokea wapi hapa lisu na huyo mbowe katika mamilion ya watu wanaopinga issue ya Dp world!?
 
Kila mtu anaeo lake amefanya vzuri na kuna eneo kaboronga. Ukweli utabaki hivyo, na ukweli utakuweka huru why spining?
It's as if you're my identical twin brother in your thoughts.

This is a big deal for me in admitting this publicly.

HESHIMA TENA MKUU.
 
Kweli
 
Huyu katoa hisia na mtazamo wake tu,ila analazimisha ionekane ndio ukweli wenyewe.

Ila umemjibu kisomi zaidi,safi sana.
 
Huyo kwakuwa ameona imeandikwa 2020 basi akajua imefanyika 2020!🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪

Yericko ni mtu wa kuokoteza vijarida hahahaha na kujiita jasusi …jasusi gani hajui hata Dubai expo ilifanyika lini?
Ndio hivyo kashapata likes za wasomi wa pori. Tena hadi The boss!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…