Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Una jenga swali huku ukijijengea majibu yako kichwani, swali lako mwanzo halikusema hivi Kama ambavyo unasema sasa. Jihadhari na tabia ya ukinyonga kubadilika badilika.
 
CCM itaondoka kwa uwezo wa Mungu siku atakayotaka kufanya hivyo. kwani hata jiwe kulikuwa na mtu wa kumshinda? never, ila yupo Mungu anayetawala, na yeye sio tu huwa anajibu maombi, bali huwa anawatetea wanyonge na wanaonyimwa haki, ambayo ni pamoja na wizi wa kodi zetu tunazokatwa kuanzia kwenye tozo hadi hospitali tunaponunua dawa, ili watu fulani wakanunue mabehewa ya zamani yaliyopakwa rangi na kuwekwa viti vipya. ipo siku Mungu atajitukuza tena.
 
Hasira hazina nafasi ndani ya moyo wangu, wenda una jenga tafsiri isiyo sahihi juu ya yale nililo andika kutokana haya furahishi roho yako.
 
Una jenga swali huku ukijijengea majibu yako kichwani, swali lako mwanzo halikusema hivi Kama ambavyo unasema sasa. Jihadhari na tabia ya ukinyonga kubadilika badilika.
Huna uwezo kijana. Rudi kwa yule aliyekufundisha.
 
Maandamano yataanzia posta kwenye mnara wa askari mpaka magogoni ikulu. Kula, kunywa na matibabu ni juu yangu.

😂😂😂🙌
 
Hasira hazina nafasi ndani ya moyo wangu, wenda una jenga tafsiri isiyo sahihi juu ya yale nililo andika kutokana haya furahishi roho yako.
Wewe unadai unataka ukombozi nimekuuliza ukombozi gani!? Unazunguka tu.
 
Huna uwezo kijana. Rudi kwa yule aliyekufundisha.
Ni mara ya pili hii una nitafsiri katika mhono usio sahihi, wewe ndiye unapaswa kujiepusha na kujenga tafsiri zisizo sahihi juu ya mtu au watu usio fahamiana nao. Utaweza kujiepusha na mambo mbalimbali hasi uya toayo
 
Sihitaji kujuana na wewe. Unarukaruka tu. Hujui kujenga hoja.
 
Wananchi wanapiga kura mnaishia kupora, unataka watu waendelee kuwachekea? Mbadala nyie CCM ndio mnaamua au ni kura za wananchi. Hapo Kenya KANU ilikuwa inasema haina mbadala, leo KANU haiko madarakani na Kenya ina uchumi mzuri kuliko sisi.

Kawaambie wajinga kuhusu CCM kukosa mbadala. Kama CCM imeweza kuongoza nchi hii, hakuna chama kitashindwa. Machafuko pekee ndio yataruhusu mwenye ridhaa ya umma kukaa madarakani.
 
Huko walikuwa watu lakini hapa upofumo. CCM ni mfumo.
Watu kwa ZANUPF ya Mugabe! Huo mfumo mliolishana wezi wa nchi hii mtakambiana siku hiyo. Kenya hapo baada ya machafuko leo wanaheshimiana. Machafuko pekee ndio njia iliyobakia.
 
Watu kwa ZANUPF ya Mugabe! Huo mfumo mliolishana wezi wa nchi hii mtakambiana siku hiyo. Kenya hapo baada ya machafuko leo wanaheshimiana. Machafuko pekee ndio njia iliyobakia.
ZANU PF Bado kipo madarakani sijui unaongelea ZANU PF ipi. Au unahororoja tu?
 
Hoja ipi unayo hitaji mimi kujenga zaidi ya Kujibu swali lako ulilo niuliza nami kufanya hivyo ?
Nimekuuliza tangu mwanzo unataka ukombozi gani dhidi ya CCM? Unazunguka tu.
Kitu kidogo tu hicho kimekushinda.
 
CCM wamekuaminusha kuandama ni kosa na ukiandama utauawa. A shithole country.

..mwaka 1945 Watanganyika wa maeneo ya wilaya za Same na Mwanga waliandamana kupinga kodi ya Muingereza.

..Muingereza hakuua raia hata mmoja ktk maandamano hayo ambayo yalidumu kwa miezi zaidi ya 3.

..Sasa linganisha na ukatili wanaofanya Polisi wa Ccm ktk mikusanyiko ya vyama vya upinzani.

..Kwanini ndugu zetu wa Ccm watutendee vibaya unyama kuliko tulivyotendewa na Wakoloni?

Cc Nguruvi3
 
Sasa mambo ya mwaka 1945 unayaleta leo 2022. Huu ni ushamba na upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…