Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naungana nawe aisee, huyu mzee shabaha zake ni za mbali mno!
Moja kati ya watu wa kukaa nae kwa tahadhari sana ni huyu mzee, anacheka na tabasamu sana lakini itoshe kusema anapaswa kuogopewa.
Sio kuogopewa tu waulize CCM wenyewe nan amebaki kwenye chama aliyeandaa katiba ya ccm ya sasa baada ya vyama viwili ASP na TANU kuungana kuizaa CCM. Kama sio Kikwete au wanasahau akisema chama cha mapinduzi anamanisha. Sio kama akina professa mkumbo kitira. Kikwete ni CCM na CCM ni Kikwete kwahyo hawezi kubali kabisa Chama kimfie mikononi wakati Taifa linaitaji busara ziwe mikononi mwake.
 
Ajabu kweli ww umejuaje kama mimi sitamchagua Samia nabeba familia yangu tunaenda kumchagua Samia halafu sikia ww usifikiri watanzania wote hawampendi Samia wapo wengi tu mi nilivyoanza kusoma huu uzi wako nikajua umeandika kitu cha maana kumbe
wote mnaomkandia JK hamjielewi, huyo mwamba alipaswa kuongoza Tz mpaka umauti wake
Kabisa
 
Kipindi nyerere anawakataa wasishike wadhifa wa uraisi watu walikuwa hawajamuelewa ila sasaivi wataelewa nyerere alikuwa anamaanisha nini
Nyuma ya Kikwete yupo mchwa hatari anaitwa Rostam Aziz.. huyu yupo nyuma ya hujuma zote za vifo vya viongozi wengi akiwemo Magufuli na Membe .. mipango mingi ya ufisadi ndani ya nchi mingi ina mkono wake..ila kila kitu kina mwisho...
 
Ninachompendea huyu rais ndiye kiboko ya m23
 
Huyo mzee ana tamaa balaa kajimilikisha vitalu kibao vya madini, familia yake hairidhiki tu juzi mkewe kapendekeza wake wa marais wastaafu walipwe 60% ya mshahara wa rais huku yeye akiwa mbunge. Wengine wanamwamini Mungu yupi mbona hata hofu hawana?
 
Hebu unoe vyema ubongo wako kabla ya kukurupuka na maneno mbele za watu.....

Lawama za kitoto si kwa mtu wa umri wako....

Get life mzee....inhale and exhale vigorously.....
 
Jiwe kaingiaje hapa? Acha kubwabwaja ndugu kwa kumtetea kiongozi aletaye shida kwa taifa....

Kamata hii..
"rais fisadi hawezi kudhibiti mafisadi."
 
Mmmmh, ama kweli !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…