Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unataka ushahidi gani zaidi ya kuona chawa wa Kikwete waliofukuzwa na Magufuli wote kurudishiwa kazini Baada ya Samia kushika usukani wa nchi!
Usiniulize majina yao kwani wazaledo wa nchi hii wanawajua!
Mkuu ni Rais yupi kwenye awamu yake ambaye hakurudisha viongozi kazini ambao walifukuzwa kazi na rais aliyepita.

Nitajie kwanza!!
 
Kwa hiyo samia baada ya kuwarudisha machawa ya Magufuri akina Makonda Kabudi,Charamila jiwe ndo ana muongoza mama kutoka kaburini?
Sukuma gang wana nguvu sana katika hiki chama cha mashetani!! Magufuli kokote aliko Anamuongoza Samia kwa kupitia genge hili!
 
Kwa hiyo kujiunga jf siku nyingi ndo kipimo cha kujua maarifa ya mtu?

Nimekuuliza kuna kiongozi iliye asisi mambo ya hovyo ndani nchi hii kama jiwe?
Huyo Rostam si alikaribishwa ikulu na jiwe zaidi ya mara tatu?
 
Watanzania tunapenda kulaumu wengine na kutaka wao ndio wabebe msalaba. Ndugu yangu anza wewe kwanza wengine watafuata.
 
Kikwete atafika 'padag' akiwa amechoka sana kwakweli. Kuna watu wanamchukia so mchezo....hata wakinyimwa "mixx by yas" na wake zao basi humsingizia kikwete. Kawafanya nini haswa huyu Mzee wa watu mbona mnamsakama sana?!!!!
Uelewa wako wa mambo uko chini sana!
 
🀣 🀣 🀣
 
Anaropoka kuwa wachawi wamekufa (Mkapa,Mwinyi,Magufuli,Lowasa,Membe.et) amabaki yeye,kweli anahitaji wataalamu wa psychology kumuweka sawa..
Kwa halipo hana sababu ya kuja hadharani isipokuwa kama mambo hayaendi sawa tu,

Mengine ni siasa za viongozi wa CCM,

JK akianguka kesho labda watu wenye shida ya urithi wake ni mtoto wake wa mwisho, rubani wa ndege na Daktari (labda) maana mumewe tajiri.

Wengine waliobaki ni matajiri kwa biashara zao; yes baba yao ni billionaire. Lakini mtu kama Ridhiwani na Miraji; urithi wa mali ya baba yao ni haki tu. Lakini wao wenyewe ni matajiri independently.

Unataka nini tena
 
Sukuma gang wana nguvu sana katika hiki chama cha mashetani!! Magufuli kokote aliko Anamuongoza Samia kwa kupitia genge hili!
Sasa tushike lipi mara kikwete ndo ana muendesha mama mara sukuma gang ina nguvu ndo inamuongoza mama,sasa kuelewe lipi?
Nyinyi wafuasi wa Magufuri mna matatizo sana.
 
Huyu Mr. Smile file lake la hukumu kwa Mungu li tayari. Linasubiria aitwe tu kusomewa hukumu yake na kibaya ni kwamba makosa yake yapo wazi hatatakiwa kujitetea,hivyo ni moja kwa moja motoni. Maana kutubu kwake ni ngumu. Hawezi kurudisha kwa watanzania vyote alivyofisidi au hasara yoyote kwa taifa iliyotokana na kuhusika kwake.
 
Sasa tushike lipi mara kikwete ndo ana muendesha mama mara sukuma gang ina nguvu ndo inamuongoza mama,sasa kuelewe lipi?
Nyinyi wafuasi wa Magufuri mna matatizo sana.
Tuna kuonesha kuwa Samia sio kiongozi thabiti, anapelekwa mara Huku mara Kule , yupo yupo tu na hiyo sio ishara nzuri kwa nchi!
 
Kikwete atafika 'padag' akiwa amechoka sana kwakweli. Kuna watu wanamchukia so mchezo....hata wakinyimwa "mixx by yas" na wake zao basi humsingizia kikwete. Kawafanya nini haswa huyu Mzee wa watu mbona mnamsakama sana?!!!!
Hatumchukiii. Kikwete ndiye mtesi wa taifa hili.
 
Mkuu ni sawa kabisa, ila ujue mamlaka ni jambo moja na Michezo ya siasa ni jambo lingine kabisa.

Kama kweli mamlaka anayo Rais Samia kwanini atumie mchezo wa siasa kuengua wenzie kwenye kugombea urais kwenye mkutano mkuu wa chama ambao hiyo haikuwa ajenda ya mkutano huo.

Ndio maana wanasema siasa ni mchezo tena mchafu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…