Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Kuna Majimbo FISIEMU wakileta WIZI wao basi watasababisha MAAFA!! Mbeya , Kanda Maalum(TARIME) ,Arusha ,Hai hayo majimbo sio ya kuwaletea Mchezo wapiga kura wa huko!!Umenena ukweli kabisa, sioni namna Dr. Tulia atatoboa hapa Mbeya, yaani sioni kabisa labda wakimbie na masanduku kama Kinondoni.
Uwezo huo mkuu huna; Kama umeshindwa kitu kidogo tu, kama Kutumia Jina lako Halisi Humu; Tutajuaje kama kweli hauli mwezi mmoja? Na je hujui utaratibu wa Ban humu? yaan upigwe ban kwa kauli yako tuu?? Ban inafanywa professionally sio kihisia.Ikitokea Dr. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia wana Mbeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Uwezo huo mkuu huna; Kama umeshindwa kitu kidogo tu, kama Kutumia Jina lako Halisi Humu; Tutajuaje kama kweli hauli mwezi mmoja? Na je hujui utaratibu wa Ban humu? yaan upigwe ban kwa kauli yako tuu?? Ban inafanywa professionally sio kihisia.
Demu mbaya mume wake lazima anamchepuko tu.Sisi mbeya hatuwezi mchagua flat screen
Tangu miaka 5 ya sugu,li.eangamizwa kwa namna gani?Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Nasikia Amber Rutty, Nabii tito na Harmorapa nao wanataka kugombea kwa ticket ya sisiem?Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Ile agenda yenu ya kurudisha viroba imefikia wapi?Nasikia Amber Rutty, Nabii tito na Harmorapa nao wanataka kugombea kwa ticket ya sisiem?
Na kuna fununu kuwa watapitishwa kwa vigezo mnavyovijua ninyi
Ukistaajab ya stiv nyenyere..............
Ambaruty anagombea Mtera,Nabii Tito anagombea Kinondoni na Harmorapa anagombea Tunduru wakurugenzi wameshapata maagizo ya kuwatangaza kuwa wameshinda.Nasikia Amber Rutty, Nabii tito na Harmorapa nao wanataka kugombea kwa ticket ya sisiem?
Na kuna fununu kuwa watapitishwa kwa vigezo mnavyovijua ninyi
Ukistaajab ya stiv nyenyere..............
Mkumbushe asome hizo sheria na kanuni zenuHili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.
Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.
Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia Wanambeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Tukiipata trillion 1.5 yetu mliyoichukua kimabavu tutaitumia kununulia hivyo viroba vya unga, siyo vibaya watanzania masikini wakipata kiroba kimoja kimoja, maana Milion 50 kila kijiji mliamua kutuongopea na kutuona sisi maboyaIle agenda yenu ya kurudisha viroba imefikia wapi?
Pamoja na kuwa mwanasheria anatumika kuivunja hiyo hiyo sheria kwa nafasi yake na tumbo lakeEti msomi
Usomi wa ukibaraka kutumikia mabwana wanaokutuma hata kama it's against the laws and ethics?
Hapo ndipo kilipo kipimo cha uimara
Usifanye hilo kosa kubwa la kumu-undermine Sugu, very weak politically, but very strong socially. Kwenye Ubunge, mtu ambayo ana strong social ties, huwa ana asilimia 90 ya uwezekano wa kumshinda mtu ambaye yuko politically strong but with moderate social ties. Mimi siyo mwanasiasa lakini kwa sababu ninaishi na kuyaona maisha kutokana na experience, naweza kusema hivyo.Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.
Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.
Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia Wanambeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Usifanye hilo kosa kubwa la kumu-undermine Sugu, very weak politically, but very strong socially. Kwenye Ubunge, mtu ambayo ana strong social ties, huwa ana asilimia 90 ya uwezekano wa kumshinda mtu ambaye yuko politically strong but with moderate social ties. Mimi siyo mwanasiasa lakini kwa sababu ninaishi na kuyaona maisha kutokana na experience, naweza kusema hivyo.
Hata hivyo mimi pia natamani Dk. apate kiti cha Ubunge wa kuchaguliwa, kwenye Bunge lijalo