Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

Status
Not open for further replies.
Hongera kimsboy mmefanikiwa
 
Twaha Mwaipaya ni mkiristo

Naona jina Twaha limekuchanganya
 
Katika hao uliowanukuu, hakuna aliyekemewa sababu ya dini yake, bali sababu ya matendo yake. Tofauti na waaanzisha mada hizi za leo, hawa hawaangalii utendaji wa mtu bali wanataka watu wawe disqualified sababu ya dini zao. Kwamba kwa kwa kuwa waislamu wamepatapata vinafasi, wanatamani wawe wachache zaidi au eti tubalance, wakati huko zamani wakati Magufuli anawajaza Wakiristo wenzao serikalini walikaa kimya hawakumkemea Magufuli kwa teuzi zilizokuwa zomejaa taswira ya udini.

By the way, hawa watu wa sasa wamepigiwa kura na wana CCM wenyewe, hawajateuliwa na mtu!
 

Hakuna mtu anayesema mtu awe disqualified kwa sababu ya dini yake. Huu nao ni upotoshaji. Kinachoongelewa ni kuchaguliwa kwa sababu ya dini yake. Hata hivyo sera ya niwa dini yetu ilikuwepo ipo na itakuwepo ni mjinga tu asiye likubali hilo.

Mapungufu mengine ni kutolea mfano wa CDM. CDM tangu dunia ianze haijawahi kutawala na kuunda serikali. Hatari iliyopo na ambayo kuna wanao taka eti ipuuzwe ni pale wanachama wa CCM WaKristo watakapo ngamua kumbe sisi ni wasindikizaji katika kukiongoza chama chenye serikali wakaamu kutowapa ushirikiano viongozi wa juu wa CCM. Unafikiri hii itakua afya kwa CCM na nchi?
 
Duh! Sikujua hili!

Yaani kweli ina maana huko CCM, wakristo wote wameonekana hawana sifa za uongozi? Mbegu mbaya sana inapandwa.

Japo ni uongozi wa chama na siyo nchi, lakini jambo hili linatakiwa kuchukiwa na kukemewa, kwa sababu mwishoni litaingia maeneo yote.
 
Wapiga kura ni watu wa dini zote, Sasa kama unataka kusema kuwa wanachama wa CCM waislamu ni wengi kuliko wakiristo na hivyo labda walikuwa wanapigia kura waislamu hayo ni maoni yako tu, na si kweli. Kumbuka kwamba wanachama haohao ndo waliichagua timu iliyofanya kazi na Magufuli na timu hiyo ilikuwa na Wakiristo wengi zaidi kuliko waislamu, Sasa sijui unataka kusemaje hapo!
 
Kamruka Katibu mkuu wa CCM kimkakati
 
Mkapa usimweke kapu moja na Magufuli.
 
Kwani hatujui vitisho mnavyopeana huko CCM wakati wa Uchaguzi? Kimsingi hakuna Demokrasia ni maagizo tu toka juu. Wadanganye Chawa wenzako.
 
KAMA MNATAKA TUWE TUNABALANCE, HUO UTAKUWA MWISHO WA WAKIRISTU KUDOMINATE KATIKA TEUZI NA AJIRA ZA SERIKALI, BORA MTULIE TU MUENDELEE KULAMBA BUYU LA ASALI LA UPENDELEO MLIOPEWA NA NYERERE, MKAPA NA MAGUFULI PAMOJA NA BAADHI YA MARAIS WAISLAMU WALIOOGOPA KELELE ZENU
 

Kumbuka wapiga kura si watoa maelekezo nini kifanyike. Kura sehemu nyingi zimetumika kama kiini macho tu cha kutimiza matakwa ya watoa maelekezo.
 
Nimependa sana ulivyoandika mkuu.Hii ndiyo maana halisi ya kua great thinker.Hata viongozi wote wakiwa Wakristu,mradi wanatenda haki na kuwatetea Watanzania hakuna tatizo.Naandika kila siku huu udini tunaouendekeza karibuni tuta
Kitu muhimu siyo watakavyotenda bali ni namna walivyopatikana.

Kama uchaguzi kuanzia maandalizi, uteuzi mpaka uchaguzi wenyewe, vilifanyika kwa haki kabisa, bila mizengwe, upendeleo au ubaguzi, na watu wa dini fulani au kabisa wajawa ndiyo wengi waliochaguliwa, hakuna tatizo kabisa.

Tatizo kubwa linakuja kwenye minong'ono kuwa wagombea ambao walipitishwa kugombea, walipitishwa kwa mtizamo wa dini. Na hivyo wapiga kura kutokuwa na machaguo waliyoyatarajia. Na wapo wagombea na baadhi ya wapiga kura waliolilalamikia jambo hilo.

CCM waunde kamati kuchunguza jambo hilo ili kujua kama lilikuwepo au halikuwepo.
 
Mkapa usimweke kapu moja na Magufuli.
Usichokijuwa ni kwamba Magufuli ni zao la Mkapa, na Mkapa ndio alisimama Kidete kwenye vikao vya Ccm kuhakikisha Magufuli ndio anateuliwa kuwa mgombea wa Ccm.
 
Hii orodha inatosha.

Sasa Weka orodha za nyuma za Nyerere, Mkapa na Magufuli za baraza la mawaziri, majaji, wakurugenzi wa mamlaka zote, wakuu wa vyuo vikuu, wajumbe wa halmashauri kuu ya chama, wakuu wa jeshi, wabunge, wakuu wa mikoa na wa wilaya ili tulinganishe vizuri.

Ukiweza kumtia mtu kijiti cha jicho usisahau kutoa na boriti lako.

Unajua kwanini tunatumia namba za mitihani badala ya majina kama awali? Unajua ilibidi tubadili majina yafanane na yenu ili tuchaguliwe vyuoni na kazini? Mf Aziz James Juma!!

Hii ni nchi ya mfumo ulio na maelekezo ya vatican!

Tulia dawa iingie! Acha udini!
 
Sifa ya Kwanza ya uongozi wa Bibi Tozo ni MITALA, na USHUNGI.
Kuwa na adabu mshamba wewe ...Toa hoja usikashifu mtu kwa tamaduni zake Wal jamii.

Tukianza kejeli hapa nyie wapumbavu wote mtarudi kwenu muache dar nyeupe.
 
Kama ni kweli ni jambo la kukemea ..ila naomba tufike mahali kama mtu kachaguliwa akiwa na sifa tusijadili dini, kabila wala ametoka wapi...Hili swala kwa bongo kuisha sidhani kitu kidogo mtu ukimuona unataka kumjua dini na kabila lake ili iweje? Mimi yeyote yule despite ni muislamu ila raisi wangu Bora wa mda wote ni MAGUFULI..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…