Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka yote hii tokea 1995, zoezi zima la kupiga kura katika uchaguzi mkuu limekuwa ni zoezi la kutimiza wajibu tu, ili nasi tuonekane tuna demokrasia ya kuchagua viongozi wetu ilhali uwanja wa ushindani haupo sawa baina ya washiriki wa mpambano.
Sijaandika leo mbona 🤣🤣katika siku umeandika points ni leo,hata mm baada ya kupiga kura leo nilipata wazo kama hili,katika majadiliano na wana tukaona ni heri kibaki chama kimoja cha siasa kuliko haya maigizo yanaendelea kwenye huu uchaguzi
Hata 2010 walikataa wizi wa kura.
2015 napo walikataa wizi wa kura na wakatishia kwenda sijui kwenye mahakama ya wapi wapi huko.
Hawakwenda. Yalikuwa ni maneno matupu tu.
2020 hao tena, wanashiriki tena chaguzi kwa sheria zile zile, tume ile ile, wakishindana na CCM ile ile.
Kila la kheri.
Shida ipo hapa,Wakishapatikana Wabunge kadhaaa,zikishapatikana kura kadhaa za Rais,mambo yote yanasahaurika,inakuwa wale Wabunge walioshinda wanakula tu posho na vyama vinaendelea kufurahia ruzuku.Ikifika 2025 ndo tunastuka tena kuwa Kuna kutafuta ruzuku nyingine.Hata 2010 walikataa wizi wa kura.
2015 napo walikataa wizi wa kura na wakatishia kwenda sijui kwenye mahakama ya wapi wapi huko.
Hawakwenda. Yalikuwa ni maneno matupu tu.
2020 hao tena, wanashiriki tena chaguzi kwa sheria zile zile, tume ile ile, wakishindana na CCM ile ile.
Kila la kheri.
Tayari kuna watu washaanza vilio vya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kujiuzulu!Nilitaka kufanya 'editing' ili nichukue kile ninachokiona muhimu, nimeshindwa.
Kila mstari umesimama wenyewe na kubeba mantiki yake. 'Big ups'
Vyama vikubwa vya kisiasa vikisusia lazima kutakuwepo na impact.Na
Vyama vya upinzani vyenye nguvu vinaweza kususia uchaguzi bila shaka, hebu jaribu kushauri tunawezaje kuzuia mabranch ya ccm yasusie uchaguzi? Kama mtz mpenda haki tupe mbinu za kuzuia vyama pandikizi vya ccm visishiriki uchaguzi?
Vyama vikubwa vya kisiasa vikisusia lazima kutakuwepo na impact.
Chama cha Hashimu Rungwe kikiamua kushiriki, sidhani kama watu wenye akili zao timamu watakitilia maanani.
Labda umesahau 2015 Zanzibar uchaguzi ulirudiwa, maalim/cuf alisusa, vyama pandikizi vya Msimu vikashiriki je kuna lolote liloishitua dunia?Vyama vikubwa vya kisiasa vikisusia lazima kutakuwepo na impact.
Chama cha Hashimu Rungwe kikiamua kushiriki, sidhani kama watu wenye akili zao timamu watakitilia maanani.
Zanzibar ni kasehemu kadogo sana ka Tanzania.Labda umesahau 2015 Zanzibar uchaguzi ulirudiwa, maalim/cuf alisusa, vyama pandikizi vya Msimu vikashiriki je kuna lolote liloishitua dunia?
Oh well, basi kila siku yatakuwa ni yale yale tu.It's never gonna happen, tumbo tumbo tumbo, kila mtu anaganga njaa, wengi wanautaka ubunge ili iwe rahisi, kupata access na kuongea na mawaziri katika ku facilitate mambo yao binafsi, mikopo mikubwa, posho, kiinua mgongo lumpsum 250M na huwa hakuna kutumbuliwa mpaka miaka mi5.
Seriously, none of them genuinely care about the welfare of the rest of the 55mil Tanzanians.
Everyday is Saturday............................... 😎
Kila ulilosema ni sahihi 💯💯. Kushiriki uchaguzi is the best option.Nyani Ngabu
Kama unavyojua wapinzani walifight sana ishu ya katiba mpya mwaka 2013/14
Rasimu ya Warioba ilipopatikana CCM walifanya uhuni mkubwa kuja na rasimu yao ya mfukoni, ukicheki rasimu ya Chenge ni kama katiba hii hii ya mwaka 1977 ila ina cosmetic changes za kupozapoza watu kama vile uwepo wa mgombea binafsi. Lakini madaraka ya Rais na teuzi zake za kuteua watu wa mihimili nguzo yako palepale
Wapinzani walitoka nje bungeni, bunge la katiba ili kulinda sanctity ya rasimu ya Warioba, kisha wakaunda UKAWA.
Then ukaingia utawala huu dhalimu, ukajiapiza kufuta upinzani, Watu walitekwa, kubambikiziwa kesi, kublackmail watu, kuumiza watu atika sources zao za kiuchumi, kuharibu chaguzi za marudio, kuharibu chaguzi za seerikali za mitaa. Na leo tunaona genge la TISS, NEC na CCM wote wameteam up kumdhulumu Mtanzania chaguo lake
Sasa ni vigumu kusema kwamba Wapinzani wasishiriki mpaka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ipatikane. CCM hawana aibu, wapinzani wakifanya hivyo irshirikiana na vyama mamluki kuupa uchaguzi haramu legitimacy!
Sasa swali la msingi ni kuwa, Wapinzani wafanyeje katika mazingira ya utawala katili kama huu?, Wasusie chaguzi? - Hiyo option CCM wanaipenda sana maana inawapa ushindi kwenye sahani
Watumie civil disobedience? - viongozi wao wataswekwa ndani mmoja mmoja ea makosa ya uchochezi ama walivyofanyiwa akina Lema, Sugu, Mbowe etc
Pia hawa watu wanaouua watu Zanzibar sababu ya power hawaoni tabu kuua hata Watanganyika watakaoandamana.
So unaona ugumu ambao upinzani unapitia.
Hata huu ujio wa Lissu, Lissu amekuwa a blessing kwa upinzani, ameuchomoa kutoka katika mdomo wa simba, ameupa uhai mpya sababu ya ujasiri wake, Intellect yake, Moral authority kutokana na yaliyomkuba and so on
Nimalizie kwa kusema, ni bora washiriki uchaguzi, na waonyeshe dunia na watanzania jinsi CCM isivyo na aibu, hii huenda ikaprompt wananchi ufanya jambo, sijui watafanya nini but I believe people can do something