Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa


😆😀
Ndio nasisitiza watu huweza kuji-tune usikariri mambo au watu.
 
Umemaliza?

Mimi nadhani tatizo liko kwako kushangaa hawa kuitwa wakati ni kawaida, maana upande wa utetezi ndio unawaona ni mashahidi...

Na unataka Tundu Lissu ajiandae kwa lipi hasa wakati tayari Yuko kazini akiwasubiri hao waje? Nilidhani ulipaswa umpe hii taarifa ya kujiandaa Samia Suluhu Hassan..

=======

Na kwa taarifa yako tu, Samia Suluhu Hassan hawezi kufika mahakamani, trust me..!!
 
Wewe kumbe ni kipofu kabisa.

Lissu kakutwa na kesi ya kujibu sio kwa sababu za kisheria, ni sababu za kisiasa, kumkomoa.

Kwa ushahidi upi wa kumtia hatiani uliotosha kumpa kesi ya kujibu? Wale mashahidi waliokuwa wanaingia mitini mawakili wa serikali wanahangaika kutafuta wapya mpaka wakaamua kumaliza kutoa ushahidi wao!.

Hili jambo hulijui.
 
Usimkadirie mtu aiseeh!
Hasa kwenye mambo kama haya ya kuwekana nyuma ya nondo. Watu wanabadilikaga unabaki unashangaa tuu mahakamani😆😀
Mkuu hakuna kitu rahisi kumshinda mtu mahakamani kama mtu anaepaniki na mropokaji...mwenyekiti wangu hana pumzi katika kutetea hoja zake pia ni mwepesi sana kusahau
 
Nakubaliana nawe 100%
 

Mimi naona unachokiona ila wewe ndio huoni ninachokisema.
Kama amekutwa na kesi ya kujibu kisiasa unafikiri haiwezekani kukutwa na hatia kisiasa. Na haohao mashahidi aliowaita wakiwa wamefika na akawahoji atakavyo?
 

Wewe umefikiri kwa upande hawezi kufika.
Mimi nimefikiria vipi akifika. Je Tundu Lisu amejiandaaje?

Kwamba hao mashahidi ndio walioshirikiana naye kufanya kosa l lililofanya ashtakiwe? Je walikuwa mashahidi? Walipanga?

Au anahoji kuhusu udhaifu wa serikali na vyombo vya dola. Maanq huko ndiko atakapojihusisha zaidi.

Samia hawezi kujipanga kwa sababu yeye ni shahidi tuu sio Mshtakiwa
 
Hivi wale Commonwealth sijui SADC , sijui ICC,, sijui Ted Cruz, vimeishia wapi?
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Samia huyu huyu? Huyu hawawezi kubali apelekwe pale akadhalilishwe. Nyie mnataka adhalilishwe tu. Mna chuki naye sana.
 
Ajipange kinamna ipi?
-kumuona Samia kizimbani?
-kumuuliza maswali na ufafanuzi shahidi/Mpango au Majaliwa?Au kivipi yani?
 
Siwaoni akina Samia, Mpango hata Majaliwa kuweza kujibu maswali ya dodoso ya TL. Wasichokijua huo ni mtego wa kuwadhalilisha kwa namna ambayo uma hauta amini
 
Kumbe na wewe huwa siku mojamoja ni huwa hufai yaani lisu kamwita samia kwa bahati?

Mimi mtu akishakuwa mhanga huwaga simpi asilimia zote za kumwamini.

Lisu ni binadamu kama mimi na wewe.
Isijekuwa alisema hivyo kwa kujua watu hao hawatakuja mahakamani lakini sio kwamba kuna implications yoyote
 
wanaodai kwamba walitaka kupinduliwa wanakuja kwenye kesi kama mashaidi katika kumtetea mshitakiwa...very interesting case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…