Tusilaumu mabinti wanaokwepa wanaume maskini, ndoa za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, upo tayar binti yenu aolewe na maskini?

Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28

Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito kama huku kwetu, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka.

Shida inakuja kwetu Afrika

1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake wamesomeshwa shule private, hawajawai kulala njaa, parking ina gari kadhaa, n.k.

ndugu wengine nao hasa wa upande wa baba kina baba mdogo / mkubwa nao wapo vizuri

binti anaona kabisa familia yake na ndugu zake wana status ya juu, wewe ulie na hali ya chini ni kama unaenda kuweka doa.

mwanaume huna hata pikipiki, binti wa watu kalelewa mambo safi, hao kaka zake watakuelewa kweli umtoe dada yao ushuani umpeleke uswazi ?
Kwanza ukioa familia ya hivyo, ni ngumu sana kwa ndugu kuamini kuwa dada yao amekupenda kwa dhati. Hufikiri kuwa umemroga dada yao. Upinzani kwenye ndoa yao utakuwa sio wa nchi hii.
 
Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28

Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito kama huku kwetu, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka.

Shida inakuja kwetu Afrika

1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake wamesomeshwa shule private, hawajawai kulala njaa, parking ina gari kadhaa, n.k.

ndugu wengine nao hasa wa upande wa baba kina baba mdogo / mkubwa nao wapo vizuri

binti anaona kabisa familia yake na ndugu zake wana status ya juu, wewe ulie na hali ya chini ni kama unaenda kuweka doa.

mwanaume huna hata pikipiki, binti wa watu kalelewa mambo safi, hao kaka zake watakuelewa kweli umtoe dada yao ushuani umpeleke uswazi ?
mabwawa jaman mabwawa yanatesa nyie
 
Maji hufwata mkondo huna hela alafu unataka binti aende kwa wenye hela watawadharau Sana
 
Tatizo sio hela tatizo ni mindset inayotengenezwa na hali ya kiuchumi. Nina mademu wawili mmoja familia inajiweza na mwingine familia ya kipato cha chini sana. Huyo wanaojiweza kwao mapenzi hajui ila yuko real, nikitaka kuoa kuhusu yeye sijiulizi mara mbili. Ana akili ya maisha kuliko maelezo, ana uzoefu na shughuli za nyumbani kwao na akishauri kitu unajua hapa kuna uhai wa akili. Nimeanza kumuona tupo sekondari, form four kapiga Div. 1 ya 10 serikalini, dip kamaliza na 4+ GPA.

Huyu mwingine mrembo zaidi, bright future behind her, ngozi nyororo na mapenzi anayajua sana. Huyu nimemkamata anacheat mara mbili, mara moja na mbaba mtu mzima kama sponsor. Tatizo ni umaskini hadi kodi ananitegemea wakati yuko chuo. Wadogo zake wote hawajafika form four wanakataa shule, yeye tu ndio kapiga diploma kwa mbinde na penyewe kasoma mwaka mmoja wa ziada kisa akili chache kichwani na kuendekeza starehe akafeli mtihani (sababu kwao huwezi pata starehe, na elimu sio kipaumbele ukoo mzima). Mdogo wake aliumwa familia ikashindwa kumpeleka hospitali baadae mara mapepo mara malaria imepanda kichwani.

Kuna muda wote nilitaka kuwaacha, huyu matako makubwa akasikitika kwanini namuacha wakati natakiwa kumlipia kodi mwezi unaofuata.
Huyu mwingine alidai anajifunza kunizoea maana namkaripia na mimi ni mkorofi (ni kweli), kwanza niko mpenzi wake wa kwanza.

Huyo mmoja kasoro zake zote nikitafuta chanzo ni hali duni ya nyumbani kwao ambayo imemuingia akilini na kwenye lifestyle. Anapenda sherehe kama MC, kuchangisha birthday parties, kwenda harusini kiholela na beach parties. Familia yao ina matatizo ambayo ukizaa naye tu lazima watoto wayaridhi na siko tiyari. We unaunganisha familia ambayo wajomba walikataa shule, binamu alijiua kisa umaskini, kule walikosa hela ya kwenda hospitali wakampeleka kwa mchungaji kuombewa. Tafrani tu.

Kinachokataliwa sio umaskini ni madhara yatokanayo na umaskini. Sasa nije kuoa miaka 5 au 6 baadae niambiwe nimebagua si kunisingizia, kwanza huyo matako makubwa najitahidi kumuacha. My worst nightmare ni itakuwaje nikimpa mimba? Maana habari za hubby na kunitajia majina ya watoto zimeanza.

Lazima utazaa nae tu
 
Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28

Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka.

Shida inakuja kwetu Afrika

1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake wamesomeshwa shule private, hawajawai kulala njaa, parking ina gari kadhaa, n.k.

ndugu wengine nao hasa wa upande wa baba kina baba mdogo / mkubwa nao wapo vizuri

binti anaweza kukuelewa na kuzimika kwako lakini kuhusu suala la ndoa sahau kabisa, familia yake na ndugu zake wana status ya juu, wewe ulie na hali ya chini ni kama unaenda kuweka doa.

mwanaume huna hata pikipiki, binti wa watu kalelewa mambo safi, hao kaka zake watakuelewa kweli umtoe dada yao ushuani umpeleke uswazi ? Hawataamini kuwa dada yao kakupenda bali umemroga na watakuona mchawi.
Hivi miaka 25 ni mabinti pia ?
 
Alipomaliza hayo ! Makutano wakamgeukia... bwana bwana ni nani awezaye kuozesha bintiye kwa kapuku? Naye akajibu.." la hasha labda bintiye awe amerogwa ya hakika nawaambieni vijana tafuteni pesa, mwente masikio na asikiye"
 
Umasikini ni sababu nyingine mtu anaweza zaniwa hana mapenzi ya dhati.
Unaonekana tapeli,
Kumbe wala.
 
Yani mimi na baba yao tukutane pangu pakavu then tupambaaane damu na nyama kuvunja generational poverty na kuiweka familia katika status flani.
Kiuhalisia watoto wetu inabidi waendelee pale tulipoishia. Siwezi toa baraka kijana wangu kuoa fukara wala binti yangu kuolewa na fukara.
Sana sana tutawatengenezea mazingira ya kukutana na watu wa level inayowiana na yetu
 
Na hiyo ndio tofauti ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea!.
Hiyo ni kama Imani tu watu wakipendana na wakiamua lao wameamua.. unataka ukute penye fedha ili we ukapate urahisi tu!!.. umasikini ni vile utautafsiri maskini sio kukosa tu mali bali kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mali!.
Binti anaweza kuolewa penye mali na akaitapanya mali bure ikaisha na ndoa ikafa!.

Nafikiri Kuna namna malezi fulani ama elimu fulani inakosekana kwenye jamii yetu na ndio maana tunakutana na haya mambo pamoja na mikwamo mingi yakiuchumi!,yote kwa yote ukiwa kama mzazi ukiona watoto wako hawapo vizuri kiuchumi ni jukumu lako kuwainua ili wafurahie kidogo maisha yao mafupi waliyonayo.
Wazazi wapi hao ndugu yangu?😂😂

Ndio kwanza wataungana kuanza kukusema
 
Huyo nikishalala nae hata story hatuna. Ananikera tu, kuna siku tukabishana Diamond anadate na Zuchu, nilikuwa nabisha kumbe sijui. Yule good upstairs hawezi leta habari za hivyo
Kuna usemi wa ki-slavic unasema.... "Kto nie ma w głowie ma w nogach" tafsiri yake, " Kama kichwani hamna akili,kwa vyovyote zitakuwepo miguuni".... 😂
 
kwamba baba wa binti aliridhia kirahisi binti yake anaelala kitandani aende kuanza kulalia kwenye mabox ?

ngumu kumesa
Umasikini ni hali ya kawaida yoyote anaweza kupitia kinachoangaliwa ni mtazamo wako,kuna mtu unamuona kabisa ni potential amesoma vzr,anachakarika hqta kwa kazi ndogo,ana heshima ana vision,siyo mtu wa starehe ila ni channel tu ndo amekosa.
Ila kuna wale wenzangu na mm,kwangu pakavu tia mchuzi,hana shughuli ya maana anayofanya zaid zaid atakuambia msanii,anazengea apate mtoto wa tajiri ndo atusue kimaisha,anashinda maskani,tabia zote mbovu anazo kazi yake kushinda gym kutunisha kifua,hana potential yoyote zaidi ya kufuga rasta,hata ukimpa mtaji milion 50 unajua kabisa hautomfikisha popote,shule aliacha kama alimaliza basi alifeli vibaya,marafiki zake wavaa hereni unaona kabisa hawana mtqzamo wowote,na wanajua kushwishi watoto wa kike, na hawa kundi la chini ndo wanaolalamika wamekataliwa kuoa kwa matajiri,hata mm sikupi binti yangu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
A
Tatizo sio hela tatizo ni mindset inayotengenezwa na hali ya kiuchumi. Nina mademu wawili mmoja familia inajiweza na mwingine familia ya kipato cha chini sana. Huyo wanaojiweza kwao mapenzi hajui ila yuko real, nikitaka kuoa kuhusu yeye sijiulizi mara mbili. Ana akili ya maisha kuliko maelezo, ana uzoefu na shughuli za nyumbani kwao na akishauri kitu unajua hapa kuna uhai wa akili. Nimeanza kumuona tupo sekondari, form four kapiga Div. 1 ya 10 serikalini, dip kamaliza na 4+ GPA.

Huyu mwingine mrembo zaidi, bright future behind her, ngozi nyororo na mapenzi anayajua sana. Huyu nimemkamata anacheat mara mbili, mara moja na mbaba mtu mzima kama sponsor. Tatizo ni umaskini hadi kodi ananitegemea wakati yuko chuo. Wadogo zake wote hawajafika form four wanakataa shule, yeye tu ndio kapiga diploma kwa mbinde na penyewe kasoma mwaka mmoja wa ziada kisa akili chache kichwani na kuendekeza starehe akafeli mtihani (sababu kwao huwezi pata starehe, na elimu sio kipaumbele ukoo mzima). Mdogo wake aliumwa familia ikashindwa kumpeleka hospitali baadae mara mapepo mara malaria imepanda kichwani.

Kuna muda wote nilitaka kuwaacha, huyu matako makubwa akasikitika kwanini namuacha wakati natakiwa kumlipia kodi mwezi unaofuata.
Huyu mwingine alidai anajifunza kunizoea maana namkaripia na mimi ni mkorofi (ni kweli), kwanza niko mpenzi wake wa kwanza.

Huyo mmoja kasoro zake zote nikitafuta chanzo ni hali duni ya nyumbani kwao ambayo imemuingia akilini na kwenye lifestyle. Anapenda sherehe kama MC, kuchangisha birthday parties, kwenda harusini kiholela na beach parties. Familia yao ina matatizo ambayo ukizaa naye tu lazima watoto wayaridhi na siko tiyari. We unaunganisha familia ambayo wajomba walikataa shule, binamu alijiua kisa umaskini, kule walikosa hela ya kwenda hospitali wakampeleka kwa mchungaji kuombewa. Tafrani tu.

Kinachokataliwa sio umaskini ni madhara yatokanayo na umaskini. Sasa nije kuoa miaka 5 au 6 baadae niambiwe nimebagua si kunisingizia, kwanza huyo matako makubwa najitahidi kumuacha. My worst nightmare ni itakuwaje nikimpa mimba? Maana habari za hubby na kunitajia majina ya watoto zimeanza.
Acha ufala fanya maamuzi mapema kabla maji hayajamwagika
 
Kwa ground mambo ni tofauti ndoani, huyo wa kishua ni rahisi kuvunja ndoa au kuwajeuri na visasi ila huyo kapuku ataendelea kuwa mtiifu maana hana pakwenda au option nyingine so kila upande una faida na hasara zake
 
Bottom line oa/olewa na wa level yako, umezaliwa na watumishi wa umma, kanyumba kamoja ka wazazi, chai ya asubuh kiporo cha wali na maharagwe, unataka uchumbie binti wa waziri kasoma IST(international school of Tanganyika), mashemeji na ma WiFi wapo ulaya! Hapo ni kutafuta ugonjwa wa moyo! Just stay in ur lane nigger!
Rafiki yangu tuliyesoma nae,alipoona kwao wanamletea dharau kwa vile hana ka kitu, (wahaya Hao) akasema ata hustle vibaya Sana ili apate mkwanja, na akiupataa, kwanza ataoa msichana atakae,na ndoa atafanyia Mbeya, ili wahaya jeuri awatembeze kutoka Bukoba to Mbeya, waje kwake kushuhudia anaoa.
 
Hata zamani masikini waliepukwa. Ndiyo maana ya kuwekwa mahari. Tujitahidi kutafuta chochote.
 
Back
Top Bottom