Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Ila ulipo mshika matako inaelekea unayasujudu masuala ya upinde kwanini uangaike hivyo wakati unatakiwa uweke ratiba kwako
Hapo kwenye kumshika matako siungi mkono kumbukumbu haifutiki mkuu atakuea anajisemeaga moyoni mpaka kesho hii inshu nmeiona live ndugu zangu Fanya vitimbi sio kudhalilisha utu wa mwenzako


Fullstop,kwishaaa
 
Ulifikiria ikija tokea dogo akatusua life alafu uko uzeeni,, Kuna bro alikuja ka wewe mkuu mambo ualimwendea kombo maradhi na nini akaanza lalamika watu hawaendi mtembelea, mara wamemtelekeza, Huwa nikimuangalia namuonea huruma


Fullstop,kwishaa
Hakuna ajuae kesho..in short ukikaa kwa shemeji au kwa ndugu jitahidi kutokua mzigo.

Hawa madogo wa chuo wanashida sanaa na for sure it's not easy kuishi nao ila ndio ivyo tutafanya JE.
 
Hapo kwenye kumshika matako siungi mkono kumbukumbu haifutiki mkuu atakuea anajisemeaga moyoni mpaka kesho hii inshu nmeiona live ndugu zangu Fanya vitimbi sio kudhalilisha utu wa mwenzako


Fullstop,kwishaaa
Kwa kweriiiii kutenda wema/ kumnyima mtu ajenda wewe mtendee yaliyo mema
 
Familia yangu iposalama kabisa aise.ila mama sita anastahili urambo ameipendezesha sana yani nilienda mwakajana aise urambo imebadirika.
Rami kila mtaa.
Sijaenda long time mwaka juzi alikuja msibani kwetu. Nikaonana nae piga piga story. Yule mother ni brainy amejifunza kuishi na watu yupo very humble na anatembeaga bila ma bodyguards anapendwa sana pia msikivu sana
 
Haukuwa muungwana, kidato cha Nne ukashindwa kumlipia hata VETA?. Unamshika makalio shemeji yako, huo NI ujinga haupaswi kujitangaza
 
Sijaenda long time mwaka juzi alikuja msibani kwetu. Nikaonana nae piga piga story. Yule mother ni brainy amejifunza kuishi na watu yupo very humble na anatembeaga bila ma bodyguards anapendwa sana pia msikivu sana
Alisoma alama za nyakati baada ya kifo cha mmewake aise akaona sasa ni muda wa kusimama yeye kama yeye.

Sasahivi urambo mataa ya barabarani kama yote, rami kila mtaa ,mabomba yw maji. Tena panafaa kuwa makao makuu ya mkoa
 
Dah imenisikitisha sana mwanzoni nilimchukia huyo dogo ila lilipo fikra jambo la kumshika matako ni udhalili


Fullstop, kwishaaa
Mimi sinaga moyo wa visasi kikubwa jamaa achukue Hilo kama motivation na kupata hasira ya kupambana na maisha ili atoboe.

Mimi Huwa napenda sana NEGATIVE MOTIVATION na for sure UKISEMA siwezi hiki , matusiii, kejeli DHARAU VIBURII UGOMVII Mimi kwangu ni motivation ndio hunipaga nguvuuuuuuuu ya kupambana
 
Alisoma alama za nyakati baada ya kifo cha mmewake aise akaona sasa ni muda wa kusimama yeye kama yeye.

Sasahivi urambo mataa ya barabarani kama yote, rami kila mtaa ,mabomba yw maji. Tena panafaa kuwa makao makuu ya mkoa
Sema wengi wameondoka aisee ivi st. Vincent de Paul still ipo?
Nakumbuka stendi ipo kule urambo mjini niliendaga mpaka hospital ya SOKO
KWELI HOMEBOY YAAN EAST OR WEST HOME IS THE BEST.
 
Inge tokea dogo ni msela akakichoma kisu ukafa halaf akiulizwa nini chanzo aseme shemeji yake alitaka kumuingilia kinyume na maumbile, alikuja anamshika matako na shaidi ni dada ake, nishashuhudia shemeji mtu anasukumiwa fisti za kutosha,


Fullstop, kwishaaaa
 
Sio vyema kumshika kijana matako na KUSEMA kafanana na dada yake πŸ˜”πŸ˜΄

Jamaa kazingua kwa kweriiiii 😊 πŸ˜ƒ
 
Ni roho mbaya na uchoyo, mwanaume hutakiwi kuangalia vitu vidogo kama hivyo, manake hapo kikubwa ulichofanya ni kumlisha na kulala tu ambapo haipunguzii kitu. Sasa unaombwa laki 4 ya udereva unamnyima wakati anataka apambane ajiokoe na ajira,
 
Brother sio ujanja huo ni upumbavu. Kama ulikuwa na nafasi ya kumtafutia chochote cha kufanya akakataa sawa. Ili ulikuwa unamchukulia sana poa.

Alafu maisha yanabadilika faster sana. Hutakuja kuamini mzeee. Alafu kumbuka huyo ndio mjomba wa watoto wako.

Kumbuka kuna kufariki na uzeee pamoja kufukuzwa kazi.

Doto anasema mtu sio nyau.! Muda ni mwalimu mzuri


Ulichofanya ni upumbavu na kisha unajisifia mbele za watu
 
Sema wengi wameondoka aisee ivi st. Vincent de Paul still ipo?
Nakumbuka stendi ipo kule urambo mjini niliendaga mpaka hospital ya SOKO
KWELI HOMEBOY YAAN EAST OR WEST HOME IS THE BEST.
Visent ipo ila imepoa sio kama zama zile za brother james ilikuwa ya moto.
Wanafunzi wapale walikuwa wanambwembwe sana yani ilikuwa watoto wa visenti ni wamabosi halafu wanajisikia sana, ukombozi ilikuwa inamasista du kibao huku kwetu day ilikuwa kwa wavutabangi
 
Daah dogo kwel alizingua kwa kujisahau..
Huwez kwenda kuishi kwa dada ako na kuweka kambi.

Ila nawew boss ulizingua kumfanyia vile ujue, kumshika tako. yule ni ndugu yako tiari, ameenda na bifu moyoni, Na wanao cjui atawachukuliaje.
atakuja kuwabaka kabxa kwa kisasi make wew hauna undugu.

KAMA unavimali vya kuwanyanyasia ndugu wa mke wako boss,
tegemea litakukuta jambo siku za uson. mkeo hajapenda

Ungemwita ukamkalisha kikao na kumwambia ukweli.

Au ungempa kazi ngumu au kumtafutia kazi ya kufanya.
 
Hatimaye story za Gudume zimerudi rasmi, mambo ya kugegedana yatafuata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…