Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Katika maelezo yako yote hakuna sehemu umesema ulimtafutia dili fulani akakataa! Alikuomba pesa ya udereva ukakaa kimya.

Tenda wema nenda zako. Si vijana wote wana stadi za maisha za kujiongeza bali wengine wanahitaji kufosiwa. Kwa mfano, ndugu kabla hajaja mjini unandaa mazingira kabisa, akifika tu siku ya kwanza, ya pili then unampeleka mchongoni hata kama ni vibarua.

Kitu kingine, usikae kimya kijana anapozingua. Kwa mfano, unaosha magari halafu unamuacha sebuleni badala ya kumchana. Huko ni kumuharibu!
 
πŸ˜…πŸ˜…
 
Chakula tu hicho na sehemu ya kukaa unayo ,dunia tunapita , Punguza roho mbaya ni ushamba haujui kesho yako...

Hata sihitaji kuijua kesho. Wewe unayeijua unataka ukakae kwa shemeji yako. Mnaolewa wote. Nimeoa mtu mmoja sijaoa wote. Mtoto wa kiume unataka alelewe? Kwa wewe mwanamke angalau unaweza lelewa si unakuwa unamsaidia dada yako. Nawe inatakiwa uolewe nyie watanga mna shida sana.
 

Mimi sikutafutiwa dili na sina dili la kumtafutia mtu. Nimsomeshe udereva ana gari? Yaani kwa kulala na kula nikamsomeshe udereva? Hapana. Mtu mzima nimwambie kazi za kufanya aseme namtesa? Aendelee kukaa.
 
Wasambaa tunabebana sana ila kazi tunapiga ,...Ukiona watu hawaji kwako mpaka unajishtukiaπŸ˜‚πŸ˜‚...Mzee kalea watu ambao kwa sasa wanamsaidia sana hapa town , vijana wanekuja na miaka 15 wanapiga kazi ...Sasa wana maduka mjini hapa ,akikohoa tu anapesa pesa .
Ukioa msambaa jiandae ndugu wa mke watajaa sana nyumbani malapa yatajaa mlangoni kama msikitini
 
Umekosea ungeacha aje uinganishe katika gemu
Siku moja unajifanya mgonjwa wife akienda job huku nyuma unampiga ile staili ya dada yake usiku utakuja kunishukuru
Hakikisha hadi apate mimba
Kwenye kikao waeleze mazingira ya makazi yenu
Siwezagi kukaa na kitu rohoni mkuu nitakitema muda huo huo
 

Wewe upo smart sana. Vijana wa siku hizi wapuuzi sana. Tena sana. Ndo maana wanakuwa mashoga
 
Labda sisi kwetu mpaka mzee anaita watu waje kukaa ,sisi hatuna roho ya kutu ..Tunajitambua , hatuna chuki za kishamba ...Maisha ya kawaida ila kama kula chakula kipo ,mashamba yapo na bajeti ya kula ni ndogo ,tuko wachache so mlete hapa.

Tutamuunga na vijana ,sharti asilete malaya maana nyumbani yetu ni salah 5..Chakula tunashare mpaka na majirani na hamna noma.
 
Mimi sikutafutiwe dili na sina dili la kumtafutia mtu. Nimsomeshe udereva ana gari? Yaani kwa kulala na kula nikamsomeshe udereva? Hapana. Mtu mzima nimwambie kazi za kufanya aseme namtesa? Aendelee kukaa.
Hapana, elimu ya kujitambua kwa vijana wa sasa ni muhimu sana hasa kwa ndugu anayekuja kuishi kwako, haijalishi mke au wazazi wake wanalalamika vipi lakini mwisho wa siku mhusika ataona faida kwa sababu ataweza kujitegemea.

Vijana wa zama za sasa wanahitaji busta, unafanya tu kama msaada. Tafuta mchongo huyo! Tenda wema nenda zako!
 
Mashamba ya nini tena wakati unaambiwa ile ng'ombe haijui kushika jembe. Hata kwa GuDume kama ingekuwa hata inapalilia bustani naamini isingeondoka kinyonge!
 
Chakula tu hicho na sehemu ya kukaa unayo ,dunia tunapita , Punguza roho mbaya ni ushamba haujui kesho yako...
Hii nitakupinga mkuu mitoto ya sikuizi ni mibwenyenye Sana

Yani hawajishughulishi kabsa na kazi za nyumbani unakuta hata mtu katengewa msosi atakula akimaliza ataacha hapo hapo hata kutoa vyombo tabu. Wakati tunakua tulikuwa tukienda kwa watu tutaosha hadi vyombo asubuhi hata kama ni wanaume na tutafagia uwanja na kuchota maji sio vijana wa sasahivi sio wa kike wala wa kiume
 
Baadhi ya watu ni watu tu, hawana utu.
 

Njoo ukae hapa na dada yako. Maana naye ni mtu wa huko huko Tanga
 
Mashamba ya nini tena wakati unaambiwa ile ng'ombe haijui kushika jembe. Hata kwa GuDume kama ingekuwa hata inapalilia bustani naamini isingeondoka kinyonge!
Hamna mshika jembe kwetu ,mashamba yanalimwa na vibarua ,yako mbali huko michungwani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..So anajua mzee abalance vip , mzee atamlimisha nan kila mtu ana maisha yake ..Kiufupi tuko wachache na mzee umri umeenda ,mimi nina kwangu na maisha yangu .

Mzee kalelea watoto vijana wengi mpaka kawaozesha ,anaona faida sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…