Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena


Ndo maana inakuwa mishoga. Na huwa inateteana sana.
 
Mkuu siyo hii mifugo ya siku hizi!
 
Lengo utujuze kuwa mkeo ana gari nawewe unalo lakwako! Kaziii kweli yaani kwa akili yako hiyo unasema kweli hayo?
 
Sasa last week nmerudi nmemkuta kakaa sofani na nikamshika kichwani akageuka.. nikamwambia nlidhania ni mke wangu(dada yake)

Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana. Alikasirika akaja sema kwa dada yake. Dada yake hakuniuliza kitu.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Amka ndotoni utakojoa kitandani janja.
 
Hata kama vipo tu sasa ndiyo awe anashinda kwenye tv tu kama mtoto mdogo?
Wasomi hao watafanyaje ? Wengne bado hawaamini kwamba wamemaliza chuo ...Siwezi kumtupa mtu kama ni ndugu ,kwa sababu maisha yanaenda kila mtu anataka mafanikio...

Mimi kukaa na mtu kama nyumba moja haina shida , Kiufupi sijawahi kupushiwa kuhusu maisha ila nina maisha yangu tangu namaliza chuo ,nilipata zali za mishe juu kwa juu .

Nimeishi getto na msela kama ndugu ,zaidi ya miaka 2 na kitu ,nilimjua ni mtu wa Tanga nikaona ni ndugu yangu so mpaka kaondoka kaniacha na sasa ana mishe zake ...Sikuwahi kumletea gubu maana siku nyingine alikuwa analala chini ,maisha yalimchapa kinoma mpaka akawa anaongea mwenyewe....
 
Akili za kitoto na umaskini wa fikara vinakusumbua..
 
Mjuba, uwe na ustaarabu unapokaa na shemeji zako kwako. Ingekuwa ni mimi unanifanyia visa hivyo ningekutwanga makonde kibabe kisha naondoko na sitarudi tena kwako na usinitambue kabisa kuwa mi ni shemeji yako. Approach uliyoitumia kumtimua shemeji yako si nzuri
 
Laki 4 inakutoa ushuzi !? kelele zote kumbe hauna laki nne .. Punguza kuwa na gubu kwa mwanaume haipendezi ,waachie wadada.

Dada njoo nawe nikuoe kama dada yako. Mbona unaumia sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…