Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

Uko sahihi kabisa mkuu, Nchi nyingi sana za kusini wenyeji ni wavivu kufanya kazi.Nenda Zambia,Malawi,South au Mozambique utakuta wageni kibao na wametoboa. Watu wanafikiri waethiopia au wasomalia ni maskini wanavyokamatwa hapa bongo,jamaa wanahela. Huko wanaenda kuendelea tu maisha mengine wanayoona kwao ni mazuri
inasemekana, kuanzia ethiopia hadi south, garama kiujumla hufikia hata 6m. hii ni zaidi ya ticket ya kwenda na kurudi Marekani. okota wabongo wa kawaida hapa waambie wanunue tiketi ya kwenda na kurudi marekani, uone. kutoka ethiopia hadi mpaka wa kenya huwa wanaandaa pesa ya kutosha, toka mpaka wa kenya waingie Tanzania hadi mnpaka wa zambia au malawi, toka pale waende hazi zimbabwe na kuingia south, kote huko kuna fungu lako. ni kama biashara ya madawa ya kulevya, vilevile walivyo kwenye mafuso wanakuwa wametoa pesa ndefu tu si chini ya milioni kila mtu ndio maana watu hawaachi hata wakamatwe vipi. Na ukikamatwa, wanasheria tunajua, kifungo au faini 20m. wanasevu kwa muda mrefu hiyo hela na nyingine wanatumiwa na jamaa zao ambao tayari wameshafika kule na wametoboa, na wakifika wanafanya kazi kwenye mikahawa na maduka yao. na kule wakifanikiwa huwa wanapanda ndege kirahisi kwenda ulaya na marekani.
 
Hawa majamaa inaonesha ni mafighter halafu wana umoja wa kuitana kwenye nchi yoyote duniani, sio kama wabongo tumekariri kutafuta maisha hadi wote tujazane Dar na bado kutoboa ni ngumu.
 
binafsi nilijua duniani kuna maisha mengine zaidi ya haya baada ya kutoka nje ya nchi. hapo ndio nilithibitisha maisha ni zaidi ya haya tunayoyaona kwenye tv, mtu akiishi DSM anaona ameshatoka. kuna nchi watu wameboreshewa maisha na kuna fursa za kupata pesa hadi unashangaa, unatamani wabongo wote waende huko. kuna nchi wanakupa hadi pa kuanzia maisha, makazi. nenda nchi kama Finland, Norway, Denmark, uwe na nidhamu na ustaarabu halafu useto ukiwa na cha kufanya. achana na hizo marekani na kwengine ambako fujo ni nyingi.
 
Naona ushatimba mkuu,aya uwanja wako shusha matusi kwa Samia na serikali ili kumtetea jiwe,maana nyie wakosoaji maarufu
Wewe unahangaika na Jiwe ambaye yuko mbinguni anaongoza malaika!! Una akili kweli mkuu?
 
Watz bwana yaani hizo.ajira 7000 ambazo Magufuli hakutoa ndo zimesababisha tatizo la ajira hadi leo, Chuki tu labda mlikuwa na vyeti feki lakini pia haiondoi ukweli kuwa Mwamba ataendelea kuwa mmojawapo wa viongozi bora hapa Tz.
 
Acha ujinga pumbavu wewe ulitaka uajiriwe na li cheti lako feki jinga kabisa magufuli ni kiongozi Bora Sana ambae taifa lilipoteza halitokuja kumpata mtu Bora kama jiwe ila nyie matapeli lazima mumchukie
Na kweli ndugu yangu ni bora taifa lilimpoteza huyu mtu bora,na asije akapatikana kiongozi kama yeye abadani,nikikumbuka nilivyopukutishwa na police wake mil 25 kwa tuhuma za kuuza dawa za kulevya wakati mimi nilikua muuza alizeti nilisota lumande miezi 6 kuja kutoka police mmoja ananiambia tulikua hatuna jinsi kosa huna ila kesi waliishikilia wakubwa ww na jamaa wengine 6 mmelipa jumla mil 92. Nikikumbuka hili natamani hata kaburi lake lisambaratishwe na radi lisionekane.
 
Pumbavu wewe ni mwizi ndio maana ulichezea msoto nyie wezi mlikiona Cha mtema Kuni safi sana magu aliwakomesha
 
Na kweli ndugu yangu ni bora taifa lilimpoteza huyu mtu bora,na asije akapatikana kiongozi kama yeye abadani,nikikumbuka nilivyopukutishwa na police wake mil 25 kwa tuhuma za kuuza dawa za kulevya wakati mimi nilikua muuza alizeti nilisota lumande miezi 6 kuja kutoka police mmoja ananiambia tulikua hatuna jinsi kosa huna ila kesi waliishikilia wakubwa ww na jamaa wengine 6 mmelipa jumla mil 92. Nikikumbuka hili natamani hata kaburi lake lisambaratishwe na radi lisionekane.
Magufuli alikuwa shetani kabisa ila kwa watu wajinga, wapumbavu na watu walioibiwa akili na shetani hawawezi kujua
 
Inaumiza sana nduguyangu nilisota zaidi ya miaka 8 kujikusanya afu jasho langu linakuja kupotea ndani ya miezi 6 tu,walikamata canter yangu mashinezangu mbili za kukamua alizeti mbaya zaidi wakawa wasumbua mpaka wale niliokua nafanyanao biashara.
Nilipoachiliwa kuanza kufuatilia malizangu police daaah nilisumbuliwa mwezi mzima nakuja kukabidhiwa gari haina injini badala ya kurudishiwa mashinezangu za kukamulia alizeti napewa injini mbili za pikipiki aina ya king lion naambiwa ndio malizangu nilizoqndikisha Daaah.
Lakini yote hayo yalisababishwa na kichaa mmoja ambae aliwaaminisha wajinga wengi kua umasikini ni jambo la sifa na mtu mwenye hela ni mwizi.
 
Ethiopia ina miundombinu mikubwa na shirika la ndege kubwa Africa. Lakini kila kukicha Raia wake wanakamatwa wakikimbilia Afrika kusini akili kumkichwa.

Hivi tatizo la ajira limeanza lini? Covid pekee imeleta majanga makubwa dunia nzima. Nalo ni tatizo la JPM?

Tunajisahau kuwa kila mtu amezaliwa apambane na hali yake. Hata aje nani uzoefu unaonyesha baada ya Mwinyi na Nyerere, kila mtu anaanza yeye kwanza wengine mpange mstari nyuma.

Halafu, hivi marehemu huwa anasimangwa? 😂 😂 😂 😂 😂 Tuendelee kumsema marehemu pengine itapunguza machungu yetu
 
Mimi huyu simsimangi ila namsema kutokana na maumivu aliyoniachia nikiwa raia mwema kabisa,nitamsema nikiwa hai nitamsemea kaburini nikifa nitaiamrisha miti iliyo jirani na kaburi langu ipige kelele kila siku ya tarehe ya mwaka aliozaliwa Mungu amuongezee moto na azidi kujaza magogo juu ya mwiliwake uungue bila kuisha afanye hivyo kila mwaka.
Na nitamsifu Mungu kila nikiona akiongeza moto juu ya mwiliwake huku yeye akilia kwa uchungu,nami nikiwa pembeni yake nitamwambia naaam lia sana ili kupunguza maumivu lakini nakwambia maumivu hayo unayoyapata ndio uliyotupatia sisi tuliokuunga mkono kabla ya kukujua vizuri na baadae ukatuumiza bila huruma.
 
Zaburi 128 (Swahili - Union Version)​

  1. Heri kila mtu amchaye Bwana,
    Aendaye katika njia zake.
  2. Kwa kuwa utakula kazi ya mikono yako,
    Utakuwa heri, nawe utastawi.

Psalm 128 (English - New International Version)​

  1. Blessed are all who fear the Lord,
    who walk in obedience to him.
  2. You will eat the fruit of your labor;
    blessings and prosperity will be yours.
 
Back
Top Bottom