Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

uzuri wana mchango mdogo sana kwenye uchumi wa nchi...😂
Uko sahihi. Mengi ni mazezeta hawajui wanataka nini. Wanadai role model wao ni Magufuli!!!. Wana tabia za chuki za kutotaka mtu afanye maendeleo aendelee. Hovyo.
 
Na bado utasema! Hao wajinga utaenda kuwaomba kura badae! Nyumbu nyinyi hamjawahi kuwapenda Wasukuma na wana kanda ya Ziwa!
Usitukane ongea kwa staha. Yani, nchi imsikilize form four failure? Hamna hata chembe ya aibu? Hamjui Mwenyekiti alishawadharau kuwateulia Mgalu feki?
 
Sisi ndo tulimuangusha Membe 2015.Na 2030 sisi ndo tutawachagulia Rais.Kuigawa Mwanza na Shinyanga lilikuwa kosa kubwa sana.Maana wajumbe NEC na mkutano mkuu Baada ya kutoka Mwanza na Shinyanga, sasa wanatoka Mwanza,Shinyanga,Geita na Simiyu. Hawa ndo wanaleta Rais. Walimchagua Magufuli 2015 Kikwete hatawasasahu kwa kumwangusha Membe.
 
Usitukane ongea kwa staha. Yani, nchi imsikilize form four failure? Hamna hata chembe ya aibu? Hamjui Mwenyekiti alishawadharau kuwateulia Mgalu feki?
Nimekwambia na bado utaongea yote! Hujui hata Samia alikuwa na Certificate kwa maana alifeli form four lakini leo ndo Rais wako!
Kesho yuko Mwanza Jitahidini kufatilia vizuri ili uendelee kuumia!
 
Siasa ni maisha ya kubahatisha kuna watu walikuwa na nguvu kubwa sana serikalini leo wanagongea bia baa. Kuna watu walikuwa mabosi wakubwa sana huko leo hii wanategemea wapangaji katika nyumba zao. Cha msingi ni kuikomboa familia yako katika umasikini, Ukitoboa haijalishi Rais awe nani bata lazima ulile kuna msemo " cash is king everywhere you go ". Hao unaowaongelea wanashinda kununua magari na kuzaliana kwa sana utaweza kukuza kizazi cha maana kweli. Kuna yule waziri wa maliasili hela zote alizopiga aliishia kufanya biashara ya kuuza na kununua mazao kweli ? Yaani ni sawa mtu ana milioni mia bank anasema anafungua biashara ya mama ntilie. Hapo hio ndio hela aliyonayo bank bado ana uwezo wa kukopesheka. Wasukusu bado sana.
 

Nabado tunahitaji mkoa wa chato na nzega[emoji28]
 
Hainess Kiwia alikuwa mbunge wa Ilemela ni mchaga mbona naye ni Kapuku tu!
Mafanikio ni mtu binafsi acha kukariri maisha!
 
Nimekwambia na bado utaongea yote! Hujui hata Samia alikuwa na Certificate kwa maana alifeli form four lakini leo ndo Rais wako!
Kesho yuko Mwanza Jitahidini kufatilia vizuri ili uendelee kuumia!
Wasukuma. Duuu.
 
Mara vijiji mara mji! Wewe na wenzako mnapenda sifa za kijanga tu! Wewe unadhani Geita vijijini watu hawajengi nyumba nzuri nyinyi ndo mnajua kujenga peke yenu? Kama unazungumzia Mabilionea wa hela za Kibongo njoo Katoro Geita vijijini uwaone!
-Tangu awali mimi nilikuwa nazungumzia GEITA VIJIJINI, labda hukuwa makini kwenye kusoma,
- Mmeanza kujenga nyumba nzuri miaka ya hivi karibuni.
 


Wasukuma ni 16% ya Watanzania wote ni kubwa ndiyo lakini tusikuze hivyo😂

Mfano watu wa kaskazini hatupo wengi kwenye siasa lakini uchumi unatuhusu

Wamasai, wameru, wachaga, wasambaa, wapare, wazigua na waswahili wetu wa Tanga mjini tupo vizuri sana kwenye uchumi. Tunachangia.

Kanda ya kusini inakuja juu
Watu waliotokea kule Mbeya, Iringa , ….. nao wanakuja kasi kiuchumi.

Kanda zilizolala ni kule Mtwara, lindi…. na kigoma huko wamajaa wavivu yupu. Utamaduni wa wao ndiyo tatizo huko

Hivyo tuache ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…