Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Yaani ujute milele kwa masai kukaa ngorongoro kwenye makazi yao, badala ya kujuta milele kwa kufanya dhambi ambazo zinaweza kukupeleka jehanamu!?

Kwa hiyo unamaanisha tunaweza jikuta tumeingia jehanamu kwa masai kuendelea kukaa ngorongoro? au sijapata logic yako unaposema tutajuta milele.........
 
Hao wanyama mbona karne zote hizo hawajawahi kupotea?!!
Jomba, wanyama walikuwa kila sehemu hata huku tunakoishi. Shughuli za kibinadamu zimewafanya wapungue sana. Hii sio issue ya kisiasa. Hii ni issue ya kisomi, kwa wale waliosoma na kuelimika. Tuangalie pande zote za shillingi, bila kumuonea wala kumkomoa mtu.

Taifa letu kwanza. Tusipende kuendelea kufanya mambo kama vile kila kitu kinaisha leo
By the way, machinga wamehama mjini, unaona kulivyopendeza? Yale mambo ya kukataa ukweli yalitugharimu sana
 
Utakuwa umechanganyikiwa wewe! Serikali imalize wanyama Ngorongoro? Watu tunazungumzia wanyama kulindwa ili utalii uwepo wewe unazungumzia wanyama kumalizwa! utakuwa umewehuka wewe
Tumewehuka kwa sababu hatuwezi muwa victimized bila sababu za msingi halafu tubaki normal. Tuna mbuga nyingi sana. Tuna Serengeti, Lake Manyara, Tarangire, Ruaha, Selous, Katavi, Gombe, Mkomazi, Kilimanjaro(Kinapa), Saadan, Rungwa, Burigi, Saa nane.
Kama zote hizo hazitutoshi hadi tuwadhalilishe binadamu wenzetu, basi tukubali nchi hii hatuna akili wote. Viongozi, Civil Servants na Wananchi.
 
Jomba, wanyama walikuwa kila sehemu hata huku tunakoishi. Shughuli za kibinadamu zimewafanya wapungue sana. Hii sio issue ya kisiasa. Hii ni issue ya kisomi, kwa wale waliosoma na kuelimika. Tuangalie pande zote za shillingi, bila kumuonea wala kumkomoa mtu. Taifa letu kwanza. Tusipende kuendelea kufanya mambo kama vile kila kitu kinaisha leo
By the way, machinga wamehama mjini, unaona kulivyopendeza? Yale mambo ya kukataa ukweli yalitugharimu sana
Machinga wamehama mjini ya wapi labda?

Mbona wanatembeza biashara zao kama kawaida bwashee.

Halafu nani kakudanganya Tanzania kuna wasomi?

Au hizo PhD za Jaffo na Biteku?

Tanzania watu wanahudhuria tu shule kama unabisha angalia Kibatala anavyowageuza kama chapati.

Uwe na siku njema na uwapendao meku!
 
Kwa nini wanaharakati wanafurahia binadamu wenzetu kuishi kama wanyama? Mwanadamu amepita stage nyingi za maendeleo kuanzia
Dryopithecus,
Ramapithecus,
Australopithecus,
Homo Erectus,
Homo Sapiens na hatimaye
Civilization

Kwa nini tunapenda watanzania wenzetu wabakie kama Sanaa ya kutazamwa na watalii? Wamasai watoke tu Ngorongoro
Naunga mkono hoja wamasai wahamishwe, watafutiwe eneo jingine na walipwe fidia
 
Mkuu mimi sijui chochote Kuhusu hili,
Ila Naomba Nikuulize!
1.Kwanini haya Mambo yanatokea sasa hivi?
2.Hapo Zamani Hao wamasai walikuwa hawaishi hapo na Wanyama?
Nijibu haya Mawili tuu inatosha!
Mkuu lile eneo la ngorongoro haliongezeki ukubwa ila wamasai na mifugo yao wanazaliana daily, wanyama wa mwituni nao wanazaliana ila wanazidiwa nguvu na binaadam kwahiyo wanaamua kukimbia, kwahiyo ipo siku mule ngorongoro kutakuwa na binaadam na mifugo yao tu, bora waamishwe ili tuwe na hifadhi ya ngorongoro pamoja na wamasai waliohamishiwa sehemu nyingine
 
Mkuu lile eneo la ngorongoro haliongezeki ukubwa ila wamasai na mifugo yao wanazaliana daily, wanyama wa mwituni nao wanazaliana ila wanazidiwa nguvu na binaadam kwahiyo wanaamua kukimbia, kwahiyo ipo siku mule ngorongoro kutakuwa na binaadam na mifugo yao tu, bora waamishwe ili tuwe na hifadhi ya ngorongoro pamoja na wamasai walihamishiwa sehemu nyingine
Kwa hii nchi inaongezeka Ukubwa? Mbona mnazaliana hovyo kuliko hata Wamaasai? DSM inaongezeka? Mbona population yake inaongezeka kila mwaka? Mnatoa sababu uchwara sana. You cannot establish facts.
 
Umesahahu nyingine mleta mada. Wamasai hasa wanaume hawatumii vyoo. Wanakunya hovyo porini na kiharibu malisho ya wanyama pori. It’s now or never. Fukuza Masai wote Ngorongoro.!
 
Ndivyo ulivyofundishwa kwenye dini yako?
Hao wanaotaka kuwaondoa wamasai ndivyo wanavyoamini kwenye dini zao?
Kuna wamasai wako Handeni, Mvomero, Chalinze, mbona wanaendelea na maisha? Wengine wako Dar na Zanzibar wanafanya ulinzi, ususi wa nywele na kuuza sandals. Watoke tu
 
Wewe binafsi Wamasai wakiondolewa unafaidika nini?
Tusifuate tu mkumbo!
John usijibu au kuuliza kama kijana mdogo.

Issue ya maasai ni nyeti sana, huwezi kuijua kama hujawai kufika hata karatu, hapa kuna wakenya, wafanyabiashara, matajiri nk, so unaposema unafaidika nini you mean you're brain plain about ngorongoro.

Hili jambo ukiwa hapo iringa unaweza kujibu kirahisi namna hiyo bali unapaswa kupiga picha yenye mustakabali wa nchi kwa siku za usoni, isiwe kwa faida yako wewe bali kwa dunia yote.

Mfano; Msitu wa Amazon ulipokuwa unaungua, kwa nini Mmarekani alitaka kutoa msaada kwenda kuzima moto uliokuwa unateketeza?.
 
Kwani mustakabali wa nchi hii unategemea nyumbu wa Ngorongoro tu?
Inaonekana hela za NCAA zimewachanganya hadi mnaona nchi katika muktadha wa km za mraba 8000 tu.
Na Je, watu sio mustakabali wa nchi?
 
Kwani mustakabali wa nchi hii unategemea nyumbu wa Ngorongoro tu?
Inaonekana hela za NCAA zimewachanganya hadi mnaona nchi katika muktadha wa km za mraba 8000 tu.
Na Je, watu sio mustakabali wa nchi?
Uelewa wako unaonekana ni mdogo, kama umeshindwa kujustfy issue ya Ngorongoro kwa mustakabali wa nchi.

Hujasoma mfano wa Amazon forest umekimbia kurepply!.
 
Uelewa wako unaonekana ni mdogo, kama umeshindwa kujustfy issue ya Ngorongoro kwa mustakabali wa nchi.

Hujasoma mfano wa Amazon forest umekimbia kurepply!.
Kwanini hamtaki kukaa meza ya majadiliano? Hamna hoja za maana zaidi ya kutekeleza mnayoambiwa na masponsor wenu.
Ingekuwa mnakuja na ushahidi kwamba Wamaasai wanaua wanyama au wanakata miti au wanalima kinyume na makubaliano. Sasa hamna lolote nduo maana mmeona muwadhalilishe kupitia media za Wapumbavu.
Wamaasai hawali nyamapori hovyo hovyo, ni aibu pia kuwinda. Kuwinda kwa mmasai tunaona ni laana.
 
Watoke waende wapi sasa wakati wamezaliwa hapo wamekulia hapo watakwenda wapi nahiyo ndio nature ya maisha yao [emoji1781][emoji1781][emoji1781]
Kati ya watu wanao hama hama ni wamasai, ukienda moro wameamia, ukienda kilindi na turian, kilosa utadhani wao ndio wenyeji wa Kule, ukienda pwan, mtwara wamasai wameamia kwanza kwa Fujo na ukijifanya mjuaji unapigwa panga ya kichwa, Hapa ngorongoro wanapubguzwa na wanapewa maeneo rafiki kwa binadamu, yaan hana huduma za kijamii km maji, hospitali, shule kuliko hivi sasa Kule kwenye hifadhi hamna shule, hamna maji wala hospitali zilizojengwa Kule, Ngorongoro wanaiita Hifadhi kwa maana kwamba inaifadhi eneo ikiwa ni mimea na wanyama, kwa maana hiyo bas shuhuli za binadamu, ongezeko la watu, ongezeko la mifugo, ujenzi, kilimo, kinaondoa Zana nzima ya hifadhi, endapo watu wataruhusiwa kuendelea kukaa mle basi tutegemee ten year to come tutawaadidhia watoto wetu kuwa kulikuwa na bonde lilikuwa linaitwa ngorongoro lilikuwa na wanyama wa kila aina.
 
Umeeleza vzr [emoji1490][emoji1490][emoji1490]
 
Back
Top Bottom