Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

Kusingekuwa na maswali lakini ukosoaji ungekuwepo.
 
Binafsi lukuvi ndo kaniuma, alikuwa mchapa kazi ila huyo kabudi wenge sana mzee wa juis ya madagasc

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Ila hawa wazee wawili wameonewa sana, wamefanya kazi kubwa zilizotukuka halafu ndiyo wamedharauliwa hivi?! Hapana, hii si sawa
 
Kusingekuwa na maswali lakini ukosoaji ungekuwepo.
Maswali ni muhimu zaidi kuliko kukosoa.kwasababu maswali yanahitaji majibu.Ni kweli watu wangekosoa ila ingebaki kua ndani ya maamuzi yake kupuuzia au kutolea ufafanuzi tofauti na jinsi ambavyo watu waliuliza maswali hadi ikamlazimu kuja na spin aliyoifanya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati unakuwa na akili nyingi kuliko hata Mheshimiwa Spika wetu Mtarajiwa, ndugu Mwijaku. Kwa nyuzi za aina hii haki ya nani nitapambana na yeyote ataye kuchafua kwa kukuita Popoma.

Yaani umeandika madini tupu! Hakuna hata chembe moja ya pumba au mchanga.
 
Vetting System ilianza kufeli kipindi awamu ya 5 na awamu hii ya 6 ni Muendelezo,kwahyo tutegemee wenye sifa kukosa teuzi na wasio kupata.
 
Lukuvi na Kabudi wanakimbilia miaka 65 hawa sio watoto wadogo wa jana na juzi. Lukuvi ni sehemu ya umoja wa vijana wa kundi moja na Kikwete na Kinana.

Hata JPM aliwaambia wasahau kuhusu kuwa marais. JPM mlimuanzishia uzi wa masimango na matusi kama huu?.
 
Tatitizo kubwa la huyu mama ni washauri wake waliyo mzunguka ... hi aina ya watu wa ovyo, sana
Na ivyo itampelekea kushindwa Kwake mapema vilivyo.....
Acha kusingizia Washauli, inawezekana anashauliwa vizuri tu, Yeye akifika mbele ya camera anayatupa,Mama yenu anauwezo ndogo sana,sanasana alibebwa na uzanzibar, Maana kule Zanzibar wanawake wachache wanaoingia kwenye siasa.sasahivi ni Kama Mama mwenye nyumba afariki, alafu nyumba iongozwe na house girl,kila kitu ndani ya nyumba lazima kiparaganyike.Tanganyika tumeanza safari isiyonamatumaini ya kufika tunako takiwa kufika.
 
Watanganyika tutapata taabu sana kama hatutokaa na kujipanga na kuja na aina mpya ya muungano ili tanganyika ipate nafasi nzuri ya kuongozwa na mtanganyika mwenyewe.
 
Eti Raisi Samia hana mizizi ndani ya ccm[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Siasa za ndani ya ccm umeanza kuzifuatilia leo?

Kumbuka wakati yupo Nyerere alienda na mkapa, baada mkapa kuwa Raisi akatengeneza mizizi yake

Na ndio maana mkapa ili kuendeleza miziz unayoisema alitaka kikitwe asiwe Raisi atakae mpokea

Lakini wakina kikwete (wanamtandao) wakamzidi maarifa mkapa

Baada ya kikwete kuingia akatengeneza mizizi na ccm

Magufuli kuingia ilikuwa ni bahati tu baada ya mgogoro wa wanamtandao kuwa na watu wawili kwa (lowasa+membe)

Sasa magufuli hayupo, mkapa hayupo Ina maana wanamtandao ndiyo wanajitawala na Raisi Samia yupo upande wa wanamtandao haitaji mizizi wakati ilishawekwa na waasisi wa wanamtandao wenyewe

Futa hiyo kauli kwamba Samia hana mizizi ndani ya ccm ila watu wanaangalia ndani ya ccm upo kundi gani
 
Mzee lukuvi, jiandae kuchukua fomu ya Urais.
Halafu nyinyi. Wahusika kiutendaji ya chama changu, acheni tabia ya kuprinti fomu moja ya kugombea uraisi.
 
Siyo teuzi. Kinachoshangaza ni kwamba kila anayepigwa chini lazima awe mkristo. Ni hicho mimi sijazungumzia uteuzi.
 
Tukubali tukatae Tanzania ilikuwa bado sana kuwa na Rais Mwanamke, America ina zaidi ya miaka 200 ya Uhuru na haijawahi kuwa na Rais Mwanamke, kwa nini Kristo Yesu ktk Thenashara 12 aliochangua hakuwa na mwanamke au kwa nini Mtume Muhammad (s.a.w) ktk maswahaba wake hakuwa na swahaba Mwanamke hata mmoja? Daaaah 2025 kama Taifa tutafika tumechoka sana, inahitaji katiba mpya au hii hii ifanyiwe marekebisho, itamke Rais aliyepo madarakani akifariki dunia baada ya miezi kadhaa uitishwe uchanguzi.
 
Mama kafeli mapema sana. Hana dira, hana maono na hana mwelekeo. Kwenye vikao vyake sio ajenda yoyote anayoisimamia. Ni vijembe tu na mafumbo ya pwani ndivyo vilivyotawala.

Hata bado Kama unaungua ndani kwa ndani dawa tafuta kilozoni unywe ni dawa mujarabu kwa watu Kama nyinyi
 
Siyo teuzi. Kinachoshangaza ni kwamba kila anayepigwa chini lazima awe mkristo. Ni hicho mimi sijazungumzia uteuzi.
Ni kwa sababu hawana elimu , vyeti vya kugaiwa makanisani vitaangamiza nchi
 

Hivi alipochaguliwa makamo mlikuwa mumelala usingizi gani? Mtavuna mlichopanda
 

Zile ni Pumba wacha wakanywe juisi waliyochukua kutoka Madagascar , mwehu hao
 
Sawa HILDA NEWTON umesomeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…