Niulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?
Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.
Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?
Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.
Cc:
Msanii