Ambros Kiwale
Member
- Oct 30, 2023
- 50
- 70
Wewe ni na wajinga wenzenu hao ni Kenge maji .Wewe ilibidi uwe mfano kwa wengine, siku moja utajaa tu kwenye 18 kisha utasimulia endelea kuvimba
Wewe ilibidi uwe mfano,Wewe ni na wajinga wenzenu hao ni Kenge maji .
Vichwa vikubwa akili kamasi .
Mkishavimbiwa hayo matumbo yenu na mashavu kwa supu za makongoro na gongo zenu hizo mnazokunywa kwa kodi za wananchi mnaona wengine takataka ninyi ndio watu nchi hii
Mbwa ninyi
Mje uraiani bila silaha yoyote zipigwe kavukavu tuone nani atalala na viatu, labda mtawaonea wamama na watoto mazumbukuku nyie.Who said that? Mwanajeshi bado ni askari tena ana nguvu kubw akisheria even uraiani.
Tofauti ni kuwa nguvu hizo zimewekewa mipaka kisheria na hiyo mipaka wanaitii.
Ukitaka ujue hilo waachiwe tu siku moja watakeleze sheria uraia ,watu watalala na viatu
Vp mkuu, ulifanikiwa.?Kesho naenda kambini hapo lugalo huku navuta bangi na kujambajamba hadharani maksudi mbele yao na matusi ya hatarii niking'aka.
Sasa ole wake kenge yoyote athubutu kunisogelea, wadau wote wataacha kufuatilia kinachoendelea huko Gaza kati ya Wateule na waarabu.
Rais Kaingiaje hapa Mkuu?Hii mianajeshi inajikutaga miungu watu,unaweza pita sehemu hawajaweka kibao au hamna taarifa yoyote au unaweza kaa sehemu ,mara wakatokea na kuanza kukurusha mara kukupiga au kukuonea tu.
Uonezi una mwisho ipo siku mtaona mwisho wake utakuwaje........
Hamna lolote mnajificha nyuma ya magwanda,
Inakuwaje ukaenda kuonea wanawake wasio na mafunzo hadi kuwauwa kwani ndo waliofanya tukio....afu pili hapo mmetengeneza doa KWA jamii,
Yani badala ya kuwaheshimu watakuwa wanawadharau....
Tuache kwenda taifa kuishangilia mijeshi ikirukaruka na et tunapiga makelele ni upuuzi.
Tuache kuchagua rais mwanamke ndo athari hizi
Ezekiel Mmbaga banaVp mkuu, ulifanikiwa.?
Mje uraiani bila silaha yoyote zipigwe kavukavu tuone nani atalala na viatu, labda mtawaonea wamama na watoto mazumbukuku nyie.
Hivi Unaanzaje Kujibishana na Bodaboda, Sijui Bajaji, Watu Wana MudaNa siyo mwanajeshi tu,mtu yoyote mwenye akili timamu mkuu
Ova
Angekuwepo mwanangu sana anko magu,huu ufala uxngekuwepoRais Kaingiaje hapa Mkuu?
HahahaNatamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
Pole Sana najuwa ulikozwakozwa Ila hamia mikocheni kwa wariobaNiulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?
Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.
Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?
Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.
Cc: Msanii
Wale Walioingia na Mtutu Pale Clouds ilikua Zama Za Uncle Nani? Tena Usijaribu Kufananisha Kabisa, Hakuna Zama Unyama Ulitamalaki hapa Nchini kama Awamu ya TanoAngekuwepo mwanangu sana anko magu,huu ufala uxngekuwepo
Waliua nan wale? Waliua wanawake??Wale Walioingia na Mtutu Pale Clouds ilikua Zama Za Uncle Nani? Tena Usijaribu Kufananisha Kabisa, Hakuna Zama Unyama Ulitamalaki hapa Nchini kama Awamu ya Tano
Vingi ni timu upande pwani,lengo ni kupaka mavi kaz nzuri sanaWale Walioingia na Mtutu Pale Clouds ilikua Zama Za Uncle Nani? Tena Usijaribu Kufananisha Kabisa, Hakuna Zama Unyama Ulitamalaki hapa Nchini kama Awamu ya Tano
Mmefoji vyeti ndio maana hamna akiliTusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Niulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?
Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.
Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?
Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.
Cc: Msanii