Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Mnabidi mpewe lecture za kutosha wengi wenu bichwa zenu hazielewi kitu kuhusu Jeshi, ndio maana Serekali inajitahidi mkimaliza six at least muende mkapewe lecture angalau muelewe Jeshi ni nini
Dogo na u-private wako chunga sana acha kutumia hisia tumia akili
 
Dr Manyau nyau nawe umekuwa soldier sikuiz ? Mbona sielewi mambo ya hii nchi ? Alafu kurudisha adabu ni kupiga watu randomly ? Tuwapeleke gaza frontline kama nyie miamba basi…mtu kaua mwanajesh solution yake ni kupiga watu mtaani ? Aisee we need more schools in TANZANIA….
 
Yani unamaanisha umshike mjeda tako akae kimya
 
Tatizo kubwa la nchi yetu ni watu kutojua kusoma kwa ufahamu na pia kufikiri nje ya box. Ni wapi nimesema boda kuua ni sawa? Umesikia ujinga uliofanywa na hao wanajeshi baada ya tukio? Twende kwa hoja: 1. Mtu tena mwanajeshi mwenye cheo anayetakiwa kuwa mfanomakitukanwa sheria inasema amzabe aliyemtukana vibao? Huoni ujinga aliofanya marehemu ndiyo umesababisha kifo chake? Angekuwa amechukuwa hatua kulingana na sheria leo si angekuwa mzima? 2. Mhuni mmoja akimuua mwanajeshi sheria inasema wanajeshi watoke kambini na kutembeza kipigo kwa kila raia? Unjinga mwingien nashindwa kujua hata watu mnatumia nini kuwaza.
 
Natamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
badala ya kuomba mema unajiombea mabaya! Ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Wewe ndio mpumbavu unakaa mitandaoni kudharau Jeshi la Nchi yako, kichwa chako kimejaa funza tena una bahati ilibidi udakwe uwe mfano hai kwa wengine wenye kichwa km chako
Angalia akili zako zilivyo matope. Jeshi linalotembeza vipigo kwa raia? Unjaishi karne gani wewe mpaka unakuwa na hulka kama ya sokwe mtu? Dunia imestaarabika siku hizi wanajeshi hawatoki tena kambini kupiga raia hovyo. Mtu mjinga kama wewe ndiye anayedhani mwanajeshi anaruhusuwa kupiga raia bila kufuata sheria. Kwa taarifa yako mimi ni namba nyingine na siwezi kudakwa wala kupigwa na wanajeshi kwa sababu niko level nyingine. Wewe unayeishi huko uswazi ndiyo una shida na vitu kama hivyo..
 
Tatizo kubwa la nchi yetu ni watu kutojua kusoma kwa ufahamu na pia kufikiri nje ya box. Ni wapi nimesema boda kuua ni sawa? Umesikia ujinga uliofanywa na hao wanajeshi baada ya tukio?
kipigo kinachotembezwa ni wake up call, ili hao mbwa wasije kujiona wababe na wanaweza kufanya lolote wakti wowote na watu wakawakalia kimya.
 
kipigo kinachotembezwa ni wake up call, ili hao mbwa wasije kujiona wababe na wanaweza kufanya lolote wakti wowote na watu wakawakalia kimya.
Matatizo kama hayo hayamalizwi kwa vipigo. Jeshi haliwezi kuwa kama komandoo yoso. Zaidi wanazidisha tatizo. Hii siyo zile karne za zamani za kumaliza kila jambo kwa vipigo.
 
Kweli rejesheni heshima na hawo ndio panyaroad wakubwa chapa chapeni kadri muwezavyo hiyo inshu asiingilie mtu kiuharisia aliyefanya tukio anataikiwa mrudishiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada bwana mjeda..

Unaambiwa ukiwa mwanajeshi, mwili wako ni mali ya serikali..

Wewe una miliki roho tuu...

#MunaAlikuwanaMakosa
Na cheo chote ukagombane na vitoto mpaka vikuchome kisu ufe. Serikali ipate hasara familia ibaki na matatizo kwajili ya ubabe wakipumbavu tuu. Alomchoma ye hana chakupoteza unakuta ndo wale watu washajichokea. Amejisababishia kifo cha aibu na chakujitakiaa

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Sasaa umepiga kibao. Mwenzako kakuchoma kisu umeaga sasa iko kichapo mnachotembeza ndo kitamfufua boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jifunzen adabu muache na ulevi wakiboyaaa la sivyo vijana washachafukwa

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sifaa za kijinga na uonevu koplo unauliwa na boda kwakisuu. Huko vitani siwatakimbiaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Magari wanajua kuendesha kwenda mbele tuu nakukanyaga brake lesen zao huwa ni kofia wanaeka kwenye dashboard afuu wanaenda mikoani njian humo nivituko hata tair kutoa hawaez

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Serikali ilishapata hasara tayari kwa kuna na Lt Col wa aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…