Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Hapo kichapo kitembee wiki nzima ikifika saa kumi na mbili kila mtu awe ndani
 
Matatizo kama hayo hayamalizwi kwa vipigo. Jeshi haliwezi kuwa kama komandoo yoso. Zaidi wanazidisha tatizo. Hii siyo zile karne za zamani za kumaliza kila jambo kwa vipigo.
mkuu kenge hasikii mpaka atoke damu kwenye masikio, ingekuwa hawa mbwa wanasikia hakika ajali za bodaboda zingekuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa kama siyo kwisha kabisa kwa elimu wanayopewa kila uchao, ila nakuapia ingekuwa boda akiendesha boda kwa mwendo hatarishi anakula viboko 20 hadharani usingekuwa unasikia ajali za boda kila siku,
 
Mnabidi mpewe lecture za kutosha wengi wenu bichwa zenu hazielewi kitu kuhusu Jeshi, ndio maana Serekali inajitahidi mkimaliza six at least muende mkapewe lecture angalau muelewe Jeshi ni nini
Na huku kitaa mtazidi kuchinjwa kama pigs mkiendeleza huo ushamba na uzezeta wenu kujiona ninyi ndio watu nchi hii wengine takataka , nguruwe maji ninyi
 
Na huku kitaa mtazidi kuchinjwa kama pigs mkiendeleza huo ushamba na uzezeta wenu kujiona ninyi ndio watu nchi hii wengine takataka , nguruwe maji ninyi
Wewe ilibidi uwe mfano kwa wengine, siku moja utajaa tu kwenye 18 kisha utasimulia endelea kuvimba
 
Walete heshima mtu na mtu sio kuitana kama kikudi cha waasi na kupiga wasiohusika, wewe ni mwanajeshi umeletewa undava onyesha umwamba wako on the spot ili upewe heshima hapohapo ground sio kukimbilia camp kukusanya wahuni wenzio.
 
Hili neno serikali imetumia pesa nyingi kumtengeneza kanali ni la kijinga sana.Labda nikueleweshe serikali inasomesha watu wake katika kila sekta tena kwa pesa nyingi sana.Imagine Dr bingwa anasomeshwa nchi kama marekani ni ngapi inatumika,au machemica engineer ni pesa ngapi inatumika? Hili neno nalisikia mara kwa mara na wanajeshi mnapenda sana kulitumia kuwa serikali imewagharamia sana.Labda mnashindwa kuelewa hzo pesa zinatokana na kodi za wananchi hawahawa mnaowapiga ovyo sababu ya kuexpress hasira zenu.Lakini pia kama unajijua serikali imekugharamia sana lazima ujue thamani yako.Kanali kupaki gari vibaya barabarani tena akiwa amevaa kuraia na kuanza kupigana na watu wa chini wasio na cha kupoteza ni kutojua thamani yake.All in all nawapa pole wafiwa na marehem apumzike kwa amani.
 

Heshima haitafutwi kwa mabavu. Hao wanajeshi wataendelea kufa kizembe hivyohivyo wasipojitathmini. Wananchi sio midoli nao wanachoshwa na tabia za kitemi na dharau. Kifo cha huyo luteni kikawe fundisho kwa wanajeshi wote.
 
Sawa alitafuta heshima.
Aliipata?
Angeweza kupiga simu MP wangekuja kumkamata boda/Bajaj wangemkabidhi kwa polisi angefikishwa mahakamani.

Alidhania imeisha wakati kampiga mtu?

Kama mnasimamia msemo wa kila mtu ashinde mechi zake basi endeleeni uvunjaji sheria lakini ipo siku raia watashinda mechi zao kama hiyo iliyopita Bajaj kashinda Kanali kapoteza. Mmepiga raia lakini hiyo haijarudisha uhai wa kanali.
 
Baada ya kushiba supu ya dagaa chuku chuku tumbo likavimba ukaona uje Kuhara hapa Jf
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Watu wameshachoka kuonewa halafu huwa mnajiona ndiyo kila kitu.
Kwa mfano itokee vita na nchi za jirani, hawa hawa wananchi mnaowapiga leo, hawatakuwa na nyinyi kwasababu meshapanda chuki ya muda mrefu sana. Mtakuwa mnapewa sumu kwenye maji au vyakula huku wananchi wapo upande wa adui.
Huyo jamaa ni mfano hai wa kutumia mabavu.
 
Lejesheni Heshima ila msiwaumize,msiwaue...tunawaomba wakuu
Mkuu achana na mleta mada, yeye anaangalia upande wa mwanajeshi tu kana kwamba wao ni miungu hawawezi kukosea.

Mtetezi wa haki za waliopigwa bila sababu nilikuja kuwasemea wale wasiokuwa na sauti (raia wema)
 

Attachments

  • Screenshot_20231029-183621.png
    45.1 KB · Views: 2

wewe sasa ndio umeeleza vizuri sasa nimeelewa watu walikuwa wanawalaumu wanajeshi kumbe bangi za vijana zinawasumbua ngoja waonyeshwe
 
Sawa!

Sasa ndiyo mnanyooshwa!
 
Una ushahidi? Alaf dharau ni kosa kwa mujibu wako na nani mwingine?
Kuna mwanaume yeyote atakayekubali umletee dharau mbele ya familia yake?

Alienda kufuata kisu cha nini? Na kwa nini alimchuma na kisu? Mazoea yamezidi?

Sasa lazima mstari uchorwe uifahamu nafasi yako!
 
Kuna mwanaume yeyote atakayekubali umletee dharau mbele ya familia yake?

Alienda kufuata kisu cha nini? Na kwa nini alimchuma na kisu? Mazoea yamezidi?

Sasa lazima mstari uchorwe uifahamu nafasi yako!
Wewe ni mjinga

Sasa kwa akili yako unaona aliyepata hasara zaidi ni watu waliopigwa au kanali aliyekufa
 
Nchi hii ni geto hata wanajeshi wako juu ya katiba..

Hakima mama anayo haki ya kuisoma katiba na kuielewa kama alivyotuambia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu
 
Wewe ni mjinga

Sasa kwa akili yako unaona aliyepata hasara zaidi ni watu waliopigwa au kanali aliyekufa
Wewe huelewi kinachofanywa hata nikizungumza hapa hitonielewa!
 
Mm nafikir kwanza mzizi wa tatizo ni ubovu wq mipango miji yetu , ivi kwa ile barabara ya kawe parking ni changamotl. Sana maana vijumba vyenyewe vipo karibu mno ma barabara

Sasa kam ugombi wao ulianzia kuhusu parking basi kosa ni holo issue ya upangaji miji

Lkn vile vile ivi kuweka makazi ya watu karibu kabisa na mkambi wa jesjhi pia ni tatizo.... Alafu na jeshi nao ule mradi wao wa ma frame pia mm naona wamekosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…