Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Aisee! Tutafute pesa kwa kweli
 
Maisha yanahitaji uwe karibu na watu na kujuana.
Hizo ni fikra zako tu. Watu wenye mawazo ya kmasikini ndiyo huwaza kugongwa.
Maisha ni kusaidiana, unaweka kitu mezani n mwingine anaweka.

Maisha ya kutegemea upande mmoja ni uchawa wa kishoga.
 


st, Constantine utafananisha na IST au braeburn . ? Hiyo nayo ni shule Labda shule ya matajiri wa lcheza Vikoba Huko moshi 🥵🥵🥵🥵
 

Attachments

  • IMG_9759.jpeg
    319.2 KB · Views: 8
st, Constantine utafananisha na IST au braeburn . ? Hiyo nayo ni shule Labda shule ya matajiri wa lcheza Vikoba Huko moshi 🥵🥵🥵🥵
Hakuna tofauti yeyote kati ya st Constantine na braeburn, wote wanafanya Cambridge curriculum. Hata Ada wametofautiana sio pakubwa ki hivyo. Na wasiwasi kama unauelewa mpana kuhusu hizi shule ungekuwa nao usingesema mtoto mmoja wa Braeburn anasomesha watoto 10 wa St Constantine. Upande wa IST ni kweli wanafanya mfumo tofauti kidogo na huu wa Cambridge ndio maana bei zao zipo juu kuliko shule zingine za Cambridge .
NB sio kila mnayemuona anakaa arusha ama moshi ni mchaga. Take a chill pill ...
 
Hakuna Mchagga, Mmasai, Mmeru, Mpare, Mwarusha anaeweza kusomesha mtoto ktk hizo shule, huko Moshi na Arusha jtk hizo shule wapo watoto wa kuhundi, kizungu labda na Waarabu.
Mchagga wa kumpeleka mtoto shule mill 85 hajazaliwa, Mchagga anaijua pesa, Mchagga anamuandaa mtoto wake kuwa mfanyabiashara na sio teller.
 
NENDA katembelee Hizo shule alafu uje hapa
Inaonekana unazimgumzia vitu ambavyo huna uhakika navyo
 
Mimi sitaki kuamini mkuu.

Hebu cheki Nape alikosoma plus matokeo yake alafu leo anaenda kumpokea Rais wa Sao Tome, Carlos Vila Nova unadhani ni koneksheni ya shule hiyo 😢!.
Mshahara wa NAPE aufiki zaidi ya 15m mpaka marupurupu pamoja na uwaziri wake hata akimpokea rais wa US kama mfukoni hakusomi vyema .Kuna mashirika hapa Tz yanalipa mpaka 15-40m na ni mtu wa kawaida tu ila ana exposure kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…