Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Gharama ya kusomesha mtoto mmoja dar braeburn na IST unasomesha watoto kumi kwenye hizo shule ulizotaja

Ukanda huo wa Arusha international schools zipo nyingi je zina quality na standard ya Kimataifa? Tanzania shule ni tatu au nne zenye international standards

1.IST
2. Braeburn
3. HOPAC
4. DIA
Aisee! Tutafute pesa kwa kweli
 
Maisha yanahitaji uwe karibu na watu na kujuana.
Hizo ni fikra zako tu. Watu wenye mawazo ya kmasikini ndiyo huwaza kugongwa.
Maisha ni kusaidiana, unaweka kitu mezani n mwingine anaweka.

Maisha ya kutegemea upande mmoja ni uchawa wa kishoga.
 
Bro nenda kafanye upya uchunguzi wako ndio urudie ulichosema. Kwanza main campus ya Braeburn ipo arusha na tawi tu ndio lipo dar es salaam. Huwezi kusema Ada mtoto wa IST ni sawa na kusomesha watoto kumi shule kama UWC , KENNEDY HOUSE , AMA HATA ST COSTANTINE achilia mbali BRAEBURN.
Nenda kwenye pages zao utaona tuition fees maaana wenzetu hawafichi Ada. Gharama za mtoto kwenye hizi shule zinatofautiana kwenye grades mtoto aliyopo. Mfano mtoto wa grade 2 hawezi kulipa Sawa na wa grade 6 vivohivo kwa watoto hadi wa high school.

Mfano hii ni fees ya watoto wa primary pale st Constantine

st, Constantine utafananisha na IST au braeburn . ? Hiyo nayo ni shule Labda shule ya matajiri wa lcheza Vikoba Huko moshi 🥵🥵🥵🥵
 
Attachments

  • IMG_9759.jpeg
    IMG_9759.jpeg
    319.2 KB · Views: 8
st, Constantine utafananisha na IST au braeburn . ? Hiyo nayo ni shule Labda shule ya matajiri wa lcheza Vikoba Huko moshi 🥵🥵🥵🥵
Hakuna tofauti yeyote kati ya st Constantine na braeburn, wote wanafanya Cambridge curriculum. Hata Ada wametofautiana sio pakubwa ki hivyo. Na wasiwasi kama unauelewa mpana kuhusu hizi shule ungekuwa nao usingesema mtoto mmoja wa Braeburn anasomesha watoto 10 wa St Constantine. Upande wa IST ni kweli wanafanya mfumo tofauti kidogo na huu wa Cambridge ndio maana bei zao zipo juu kuliko shule zingine za Cambridge .
NB sio kila mnayemuona anakaa arusha ama moshi ni mchaga. Take a chill pill ...
 
Hakuna Mchagga, Mmasai, Mmeru, Mpare, Mwarusha anaeweza kusomesha mtoto ktk hizo shule, huko Moshi na Arusha jtk hizo shule wapo watoto wa kuhundi, kizungu labda na Waarabu.
Mchagga wa kumpeleka mtoto shule mill 85 hajazaliwa, Mchagga anaijua pesa, Mchagga anamuandaa mtoto wake kuwa mfanyabiashara na sio teller.
 
NENDA katembelee Hizo shule alafu uje hapa
Inaonekana unazimgumzia vitu ambavyo huna uhakika navyo
 
Mimi sitaki kuamini mkuu.

Hebu cheki Nape alikosoma plus matokeo yake alafu leo anaenda kumpokea Rais wa Sao Tome, Carlos Vila Nova unadhani ni koneksheni ya shule hiyo 😢!.
Mshahara wa NAPE aufiki zaidi ya 15m mpaka marupurupu pamoja na uwaziri wake hata akimpokea rais wa US kama mfukoni hakusomi vyema .Kuna mashirika hapa Tz yanalipa mpaka 15-40m na ni mtu wa kawaida tu ila ana exposure kubwa sana
 
Back
Top Bottom