luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Sasa uliwahi sikia njaa uchagan ? Ila njaa IPO usukumani,mwaka Jana nimewapelekea tenda mahindi ya serikali ya kupunguza makali ya njaaUchaggani Kuna mashamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uliwahi sikia njaa uchagan ? Ila njaa IPO usukumani,mwaka Jana nimewapelekea tenda mahindi ya serikali ya kupunguza makali ya njaaUchaggani Kuna mashamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo sio nÿumba ya makazi,ni makumbusho ya MTu anakumbuka nÿumba hiyo si tangazo linaonekana? Huoni na gari kapaki hapo?Umeanza kujitetea sasa ni nyumba gani kama hizo zimejaa huko vijijini ndani ndani...
Hyo nÿumba ya Mzee ni Sawa na zile zenu za nyasi kule itilima? Maskini WA Kilimanjaro ana ahueni mara 70 ya WA usukumaniNdio maana Mimi huwa nawaambia wakitaka picha,tutapiga mnooo.
Ona kwa mzee huyu anakoishi[emoji116][emoji116]
Kila Mahali ni mjiniKilimanjaro mjini ni wapi?
Njoo tunywe supu, Sisi Wachaga ni nyama,ndizi,ndio maana akili mingiSubiri hangover ikuishe kwanza
Nÿumba ya Mzee Ina tofali,siment na banda lá mbuzi Huyu huwez mfananisha na maskini WA kule kwenu usukumani anaelala Jumba la nyasi,anae share maji lamboni na ngombe it's quite differNdio maana Mimi huwa nawaambia wakitaka picha,tutapiga mnooo.
Ona kwa mzee huyu anakoishi[emoji116][emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Nÿumba za mbao hâta Finland zipo
Nilikuwa Helsinki niliziona
Alafu nyumba ya mbao Kilimanjaro ina sakafu,ina bati,ina umeme,ina maji kwani nini mbaya? Huyo kwa Kilimanjaro ndio maskini
Ila ukija kwenu usukumani maskini ni yule hohehahe kbs analala nyumba ya nyasi,ana share maji na ngombe kwahyo huwez kuwaweka kundi Moja maskini Hawa
Njaa ipo ya kutosha Kilimanjaro.Sasa uliwahi sikia njaa uchagan ? Ila njaa IPO usukumani,mwaka Jana nimewapelekea tenda mahindi ya serikali ya kupunguza makali ya njaa
Si Ni Kweli mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
Kilimanjaro haiwez kuwa na njaa asilanNjaa ipo ya kutosha Kilimanjaro.
Hata hivi karibuni, tumepokea mahindi ya msaada.
Watoto wamepata udumavu kwa Lishe mbovuuu. Watu wazima wakamka asububi, wanashindwa mgombani, saa 4 wanapata bohora la mbege ndio imetoka KULA mpaka usiku.
Hao ni Necta shule zinatumia mifumo ya kina Ndalichako, ndoto za wanafunzi kupata divisheni 1 ya kukariri definitions na kusomea udsm, wategemee mshahara hadi uzeeni, hawafikirii nje ya hapoMleta mada mbona hujaitaja Kembos na Kaizilayege za kule Bukoba au zenyewe sio intaneshino?
Mkuu achana nae huyo, ukiendelea kumsemeza uzi huu utajaa mabishano nje kabisa ya lengo la uzi huu.Nÿumba ya Mzee Ina tofali,siment na banda lá mbuzi Huyu huwez mfananisha na maskini WA kule kwenu usukumani anaelala Jumba la nyasi,anae share maji lamboni na ngombe it's quite differ
Maskini WA uchagan ana ahueni mara 70 ya WA usukumani
OkMkuu achana nae huyo, ukiendelea kumsemeza uzi huu utajaa mabishano nje kabisa ya lengo la uzi huu.
Kama vipi mtafutane PM,
Naona uzi umegeuka kuwa MoseKing vs luambo makiadiSubiri hangover ikuishe kwanza
Sasa ndugu yangu mbona hao wachaga wana hela za kawaida mno ebu acha kuwapa masifa sana basi. Mtu anamiliki $720k tayari unampa vyeo vyote hivyo. Hiyo si ni bei ya nyumba kariakoo?Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania.
Katika top 10. Weusi wapo wanne tu. Na hao weusi wote ni wachaga.
6 waliobaki wote ni weupe.
Wachaga wanatisha
The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange
Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) with his net worth valued at $23.5 million according to latest ranking of the wealthiest Tanzanian investors on the DSE done by Billionaires.Africa
The data used for this analysis is sourced from our data provider, S&P Global Market Intelligence, as well as publicly available documents and disclosures.
The valuation of their shares is determined by the prices recorded at the close of trading on June 26, with the valuations converted to U.S. dollars at the prevailing exchange rates.
It is important to note that Billionaires.Africa focuses on individual ownership rather than multi-generational family fortunes. In cases where the breakdown of ownership among siblings or couples is unclear, we attribute the fortune to the most prominent and visible member of the family.
Here are the 10 individuals who currently hold the highest stock ownership positions on the DSE.
1. Patrick Schegg
Net worth on the DSE: $23.5-million
Holdings: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC
Patrick Schegg, a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange. He holds a 1.94-percent stake in commercial bank CRDB and a 0.99-percent stake in NMB Bank. His shares in both banks are worth $ 23.5 million.
2. Aunali Rajabali
Net worth on the DSE: $23.4-million
Holdings: NMB Bank PLC
The Tanzanian tycoon founded Plasco Tanzania, a manufacturer of HDPE and UPVC pipes and fittings. Aunali and his brother, Sajjad Rajabali, own a 3.1-percent stake in NMB Bank.
3. Sajjad Rajabali
Net worth on the DSE: $23.4-million
Holdings: NMB Bank PLC
Sajjad Rajabali, like his brother Aunali, owns a 3.11 percent stake in NMB Bank PLC.
4. Hans Macha
Net worth on the DSE: $6.4-million
Holdings: CRDB Bank
Hans Aingaya Macha, a Tanzanian entrepreneur in the hospitality sector, is one of the largest shareholders of CRDB Bank PLC. His 1.25-percent stake is worth $6.4-million.
5. Ernest Massawe
Net worth on the DSE: $5.3-million
Holdings: TOL Gases Limited
Ernest Massawe is the founder and former managing partner of what is now EY Tanzania and former chairman of the Tanzania Association of Accountants. He owns a 32.49-percent stake in TOL Gases Limited. His stake is worth $ 5.3 million.
6. Murtaza Nasser
Net worth on the DSE: $2.7-million
Holdings: Tanzania Portland Cement
Murtaza Nasser owns 0.9% of Tanzania Portland Cement. His shareholding has a current value of $ 2.7 million.
7. Sayed Kadri
Net worth on the DSE: $2.1-million
Holdings: Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited
Tanzanian entrepreneur Sayed Kadri has a stock portfolio on the Dar es Salaam bourse that includes 0.59 percent of Tanzania Portland Cement, 0.5 percent of Swissport Tanzania, and 0.004 percent of Tanzania Cigarette Public Limited.
8. Said Bakhresa
Net worth on the DSE: $1.5-million
Holdings: Tanzania Portland Cement
Bakhresa, one of Tanzania’s wealthiest men, owns a 0.51% stake in Tanzania Portland Cement worth $ 1.5 million.
9. Arnold B.S Kilewo
Net worth on the DSE: $1.1-million
Holdings: 5.68-percent of TOL Gases, 0.013-percent in Tanzania Breweries
10. Harold Temu
Net worth on the DSE: $$720,000
Holdings: TOL Gases.
Uwc ni zaidi ya 40UWC east Africa ni chini ya 40m?
Ni kweliUwc ni zaidi ya 40