Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Gharama ya kusomesha mtoto mmoja dar braeburn na IST unasomesha watoto kumi kwenye hizo shule ulizotaja

Ukanda huo wa Arusha international schools zipo nyingi je zina quality na standard ya Kimataifa? Tanzania shule ni tatu au nne zenye international standards

1.IST
2. Braeburn
3. HOPAC
4. DIA
Umeanza wanga wewe
Internacional schools zote zinafuata mtaala mmoja hakuna ilyo bora kuliko nyingine[emoji3][emoji3][emoji3] wivu utakuua
 
Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania.

Katika top 10. Weusi wapo wanne tu. Na hao weusi wote ni wachaga.

6 waliobaki wote ni weupe.

Wachaga wanatisha

The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange
Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) with his net worth valued at $23.5 million according to latest ranking of the wealthiest Tanzanian investors on the DSE done by Billionaires.Africa

The data used for this analysis is sourced from our data provider, S&P Global Market Intelligence, as well as publicly available documents and disclosures.

The valuation of their shares is determined by the prices recorded at the close of trading on June 26, with the valuations converted to U.S. dollars at the prevailing exchange rates.

It is important to note that Billionaires.Africa focuses on individual ownership rather than multi-generational family fortunes. In cases where the breakdown of ownership among siblings or couples is unclear, we attribute the fortune to the most prominent and visible member of the family.

Here are the 10 individuals who currently hold the highest stock ownership positions on the DSE.
1. Patrick Schegg

Net worth on the DSE: $23.5-million

Holdings: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC

Patrick Schegg, a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange. He holds a 1.94-percent stake in commercial bank CRDB and a 0.99-percent stake in NMB Bank. His shares in both banks are worth $ 23.5 million.

2. Aunali Rajabali

Net worth on the DSE: $23.4-million

Holdings: NMB Bank PLC

The Tanzanian tycoon founded Plasco Tanzania, a manufacturer of HDPE and UPVC pipes and fittings. Aunali and his brother, Sajjad Rajabali, own a 3.1-percent stake in NMB Bank.

3. Sajjad Rajabali
Net worth on the DSE: $23.4-million

Holdings: NMB Bank PLC

Sajjad Rajabali, like his brother Aunali, owns a 3.11 percent stake in NMB Bank PLC.

4. Hans Macha

Net worth on the DSE: $6.4-million

Holdings: CRDB Bank

Hans Aingaya Macha, a Tanzanian entrepreneur in the hospitality sector, is one of the largest shareholders of CRDB Bank PLC. His 1.25-percent stake is worth $6.4-million.

5. Ernest Massawe

Net worth on the DSE: $5.3-million

Holdings: TOL Gases Limited

Ernest Massawe is the founder and former managing partner of what is now EY Tanzania and former chairman of the Tanzania Association of Accountants. He owns a 32.49-percent stake in TOL Gases Limited. His stake is worth $ 5.3 million.

6. Murtaza Nasser

Net worth on the DSE: $2.7-million

Holdings: Tanzania Portland Cement

Murtaza Nasser owns 0.9% of Tanzania Portland Cement. His shareholding has a current value of $ 2.7 million.

7. Sayed Kadri

Net worth on the DSE: $2.1-million

Holdings: Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited

Tanzanian entrepreneur Sayed Kadri has a stock portfolio on the Dar es Salaam bourse that includes 0.59 percent of Tanzania Portland Cement, 0.5 percent of Swissport Tanzania, and 0.004 percent of Tanzania Cigarette Public Limited.

8. Said Bakhresa

Net worth on the DSE: $1.5-million

Holdings: Tanzania Portland Cement

Bakhresa, one of Tanzania’s wealthiest men, owns a 0.51% stake in Tanzania Portland Cement worth $ 1.5 million.

9. Arnold B.S Kilewo

Net worth on the DSE: $1.1-million

Holdings: 5.68-percent of TOL Gases, 0.013-percent in Tanzania Breweries

10. Harold Temu

Net worth on the DSE: $$720,000

Holdings: TOL Gases.
Duh kumbe ndio maana watu Wana wivu na Wachaga Kila mahali huwakosi
 
Umeanza wanga wewe
Internacional schools zote zinafuata mtaala mmoja hakuna ilyo bora kuliko nyingine[emoji3][emoji3][emoji3] wivu utakuua

Husiweke shule za matajiri group moja na hizo za kwetu

Standard za hizi shule , kikubwa ni walimu wawe wa kimataifa kweli unafungua black ryno unatoa walimu Kenya unaiita shule yako Cambridge or international school , IST Mpaka Wapishi wazungu na ndio maaana school fees hailipiki kwa watanzania wengi ni kubwa hili kuweza kulipa mishahara na maintenance ya standard zao
 
Attachments

  • IMG_9734.jpeg
    IMG_9734.jpeg
    271.2 KB · Views: 6
Mimi nakaa Uchaggani. Wenye Mafanikio ni wale wa "old money"

Waliofanikiwa kupiga enzi hizo. Hawa walevi wa Sasa hivi tunakula nao sahani moja.
Wivu utakuua
Hâta usa maskini wapo
Uchagan família nyingi zina uwezo
Uchagan ukipita Karibu Kila nyumba Kuna wasomi
Dalili ya kwanza ya maisha bora ni makazi bora,huwezi ukamiliki Jumba kubwa alafu ukawa na maisha finyu
Kwahyo hâta ukitembelea uchagan yote hutojiuluza utajua tu watu hawa wana uwezo tofauti na ninyi wengine ambao Hadi MDA Huu makwenu mnatumia maji ya lamboni na mifugo,wakati uchagani Karibu Kila nyumba Ina maji Safi ya bomba na umeme
 
Wachagga walikuwa Zamani bana.

Enzi hizo wazee wetu hawajui kitu.

Wachagga wakawa wanakimbia njaa huko Kilimanjaro wanaenda kuchukua kila kitu kizuri kazi, ardhi na vyeo.

Leo mpaka Masai anaijua pesa. Competition imekuwa kubwa.

Jamii za kichagga zimeingiwa kwenye wimbi la ulevi na mirungi.

Vijana hawana Jipya, wamebaki kutafuna MKOKAA na kujisifia Mimi mchagga,Mimi mchagga, Uchaggani kuko hivi Mara vile. Kimario ana pesaaa[emoji23][emoji23].

Choka mbayaaaa
Bado wivu utakuua
Kumbe unakiri zamani mlikuwa hamjui kitu Wachaga wakawapiga gap
Sasa kama tangu Zaman tumewapiga gape je Sáhv ndo mtatufikia?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uchagan ushaona watu wanatumia maji ya lambo na mifugo kama kwenu msalala?
Aisée aliyetangulia katangulia tu
 
View attachment 2697860

Shule hizi kwa miji ya Arusha na Moshi zipo kama International School of Moshi, Arusha Meru international school, Sunflower international school, ccis, Tanganyika schools, Jaffery academy, Braeburn, Kennedy House, St Constantine, n.k.

Shule hizi kwa nchi nzima zinaweza zisifike 30, Kwa Dar zipo nyingi, inayofahamika zaidi ni Internationa school of Tanganyika ada milioni 85 imejaa wazungu, waarabu na wahindi ngumu sana kukuta mtz wa asili, lakini nje ya hapo sehemu pekee yenye idadi ya kuridhisha ni katika miji inayokaribiana ya Arusha na Moshi, nje ya hapo ni nadra sana na ni zipo mikoa michache tu, Mwanza ipo Isamilo International na Mwanza international. Iringa ipo iringa international, Morogoro ipo Morogoro international.

Ni shule zenye mifumo yao inayofanana, hata uende Marekani ama nchi za Ulaya kuna shule za serikali na private ambazo watoto wengi huenda lakini huwa kuna international schools za wachache tu (ni gharama kubwa ) zinafuata mfumo moja bila kujali nchi, hata mtu anesoma international school huko Marekani akihamia leo Tanzania, kesho anaendelea na shule, hapa Tanzania hawaingiliani na Necta iwe ni mitihani, Likizo, masomo, n.k. Mtaala wanaotumia ni Cambridge unatambulika dunia nzima, ni rahisi kupenya vyuo vizito kama Havard na hawaombwi mambo mengi linapokuja suala la kuapply vyuo na ni rahisi kusoma hata kwa kufadhiliwa (scholarships)

hizi shule huwa zinajaa watoto wa mabalozi wa nchi za ulaya wanaolipiwa na bajeti za serikali zao lakini nje ya hapo mzazi inabidi awe na mpunga wa maana, hapa wazazi wengi huwa matajiri wa kizungu, wahindi na waarabu wanaoishi hapa Tanzania mfano kina Mo na bakhresa, n.k. lakini pia kuna matajiri wa Moshi waliojaa pia Arusha wenye mwamko wa kielimu huwa wanasomesha watoto wao huku, wengine walishasomeshwa hizo shule wanaendeleza utamaduni kusomesha watoto wao, nimeshuhudia pia huwa kuna nafasi chache sana za kudhamini kusomesha watanzania bure, huwa wanawapigia connection watoto wao ama ndugu zao.

Wanafunzi wa hizi shule tangu watoto lugha za Kiingereza, Kifaransa, n.k, huwa ni kama kunywa maji, najua kuna hizi english medium za bei nafuu ila huku kiingereza ni kile cha kufundishwa kuandikia essay, kusomea vitabu, kujibia mitihani ama kutoa speech ambayo ilishaandikwa, lafudhi ya hizi shule za english medium imekazwa sana imekaa kibantu bantu, kutamka neno "the" mtu anasema "ze", temperature akiitamka anakaza sana ulimi, na ndio mana hata walimu wa hizi shule wanapata wakati mgumu wakikutana na mzungu wa marekani ama uingereza, ukitaka kuamini nachosema muite mwanafunzi wa hizo english medium muwekee mziki hata wa chris brown aandike mashairi yote mpe hata dakika 10 arudie rudie, akimaliza ingia google usechi hayo mashairi anza kumsahisha.

Wengi wakimaliza shule wanapata njia nyepesi kuingia moja kwa moja vyuo vikubwa kidunia kama Havard, Oxford, Cambridge, n.k. huku wanazidi kuongeza connection na uzito wa status.

wakihitimu vyuo wanapata wepesi wa kuaminiwa na mashirika ya Kimaifa kama UN, UNHCR, UNICEF, connection huwa zinawasaidia sana lakini pia hizi shule mtu anaweza awe na uwezo wa kawaida darasani lakini anazungumza lugha tatu tofauti na zote ni kimataifa, chuo kasoma huko oxford, field kafanya mashirika makubwa huko ulaya na marekani, hapa kupenya inakuwa fasta. na sidhani kama kuna hasara endapo mtoto akisoma shule hizi na akaja kupata ulaji hapa hapa Tanzania sehem kama benki kuu, bandarani, ikulu, tanapa, n.k.

Kibiashara hasa biashara za familia inasaidia pia, Watanzania wengi huwa tukiona mtu kwao wakiwa na utajiri wa kipimo flani mfano familia ina biashara za kuwafanya wawe wanatembelea v8 na range tunaanza kuwaita mambo safi na pengine mtu wa familia hio anaridhika lakini mtoto akienda hizi shule akipata exposure ya kuwajua wenzake wahindi, waarabu na wazungu anaona wenzake kwao zipo Ferarri, Lambogini, n.k, anaanza kujiona ule utajiri wa nyumbani ambao wabongo tunauita mambo safi, si kitu kwa familia za marafiki zake, hii itampa moto wa kutaka kuimarisha zaidi biashara ya familia iwe hata kimataifa, kama mihogo walikuwa wanawauzia wahindi elf 10 lwa debe wao wanaenda kuuza laki 2 huko ulaya, connections zinaweza kumsaidia ajue namna ya kuuza moja kwa moja ulaya.

Pia kupata mambo kama wawekezaji, hizi huwa washajenga utandu wa connections inakuwa rahisi pamoja na kupata idea mpya za biashara. mfano kama huyu Fenandes mwenye App ya Nala, ashapitia huko ana connections na kujua mambo yanaendaje upate wawekezaji wakubwa wa marekani, ulaya, n.k.
Mleta mada mbona hujaitaja Kembos na Kaizilayege za kule Bukoba au zenyewe sio intaneshino?
 
Wachagga walikuwa Zamani bana.

Enzi hizo wazee wetu hawajui kitu.

Wachagga wakawa wanakimbia njaa huko Kilimanjaro wanaenda kuchukua kila kitu kizuri kazi, ardhi na vyeo.

Leo mpaka Masai anaijua pesa. Competition imekuwa kubwa.

Jamii za kichagga zimeingiwa kwenye wimbi la ulevi na mirungi.

Vijana hawana Jipya, wamebaki kutafuna MKOKAA na kujisifia Mimi mchagga,Mimi mchagga, Uchaggani kuko hivi Mara vile. Kimario ana pesaaa[emoji23][emoji23].

Choka mbayaaaa
Hâta Usa ulevi upo Lkn Tanzania haiwez kuifikia usijifariji nenda kaonee huruma watu kule kwenu usukumani wanachangia Maji na mifugo
Nb
Si unaona unaishi Kilimanjaro mambo Safi makazi bora,usafi , miundombnu Safi hakuna watoto kurundikana madarasan,mijengo ya kisasa Vijijin, Yan nimekupa assignent ya kutafuta nyumba ya nyasi hâta Moja tu Hadi Sáhv sioni hutaki 5m mkuu?
 
Bado wivu utakuua
Kumbe unakiri zamani mlikuwa hamjui kitu Wachaga wakawapiga gap
Gap waliwapiga wazee wetu Kwasababu ya uungwana wao. Silaha kubwa ya Mchagga ni WIZI na UNAFIKI.
Sasa kama tangu Zaman tumewapiga gape je Sáhv ndo mtatufikia?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
GAP la Sasa labda ni ULEVI, MIRUNGI na KITIMOTO.
Uchagan ushaona watu wanatumia maji ya lambo na mifugo kama kwenu msalala?
Aisée aliyetangulia katangulia tu
Kilimanjaro huwezi hata kuchimba kisima, Kwasababu eneo limekaa tenge kutoka milimani.

Ndio maana wakategesha mabomba kutoka huko juu kuleta maji. Ingawa Kuna maeneo maji ni ya shida kupindukia.

Hata maeneo yenye mabomba bado wakati wa ukame hakuna maji. Upumbavu mtupu
 
Gap waliwapiga wazee wetu Kwasababu ya uungwana wao. Silaha kubwa ya Mchagga ni WIZI na UNAFIKI.

GAP la Sasa labda ni ULEVI, MIRUNGI na KITIMOTO.

Kilimanjaro huwezi hata kuchimba kisima, Kwasababu eneo limekaa tenge kutoka milimani.

Ndio maana wakategesha mabomba kutoka huko juu kuleta maji. Ingawa Kuna maeneo maji ni ya shida kupindukia.

Hata maeneo yenye mabomba bado wakati wa ukame hakuna maji. Upumbavu mtupu
Maskini hakosi sábabu
Nchi nzima Wachaga wamejaa na wanamiliki assets Kila Kona hâta vijijin hko ni watu wanaowaza future
Dar wameinunua wamekaribia kuimaliza[emoji3] kariakoo pale ghorofa nyingi ni Zao[emoji3][emoji3]
 
Gap waliwapiga wazee wetu Kwasababu ya uungwana wao. Silaha kubwa ya Mchagga ni WIZI na UNAFIKI.

GAP la Sasa labda ni ULEVI, MIRUNGI na KITIMOTO.

Kilimanjaro huwezi hata kuchimba kisima, Kwasababu eneo limekaa tenge kutoka milimani.

Ndio maana wakategesha mabomba kutoka huko juu kuleta maji. Ingawa Kuna maeneo maji ni ya shida kupindukia.

Hata maeneo yenye mabomba bado wakati wa ukame hakuna maji. Upumbavu mtupu
Kilimanjaro tuchimbe visima vya Nini wakati tuna maji natural ya mlima Kilimanjaro?
Maji ya visima ni hko kwenu usukumani
Sisi Karibu 95% ya Kila nyumba uchagan Ina maji na umeme.
 
Gap waliwapiga wazee wetu Kwasababu ya uungwana wao. Silaha kubwa ya Mchagga ni WIZI na UNAFIKI.

GAP la Sasa labda ni ULEVI, MIRUNGI na KITIMOTO.

Kilimanjaro huwezi hata kuchimba kisima, Kwasababu eneo limekaa tenge kutoka milimani.

Ndio maana wakategesha mabomba kutoka huko juu kuleta maji. Ingawa Kuna maeneo maji ni ya shida kupindukia.

Hata maeneo yenye mabomba bado wakati wa ukame hakuna maji. Upumbavu mtupu
Kiangazi uchagan ni kifupi kwasababu wanalima misimu miwili kwa mwaka
Kwenye kiagazi ni usukumani maana wamefyeka miti yote
 
Back
Top Bottom