G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Big NoUkimtazama Prof wetu ICSID unaweza kuhamasika kulipa hiyo M40 kama unayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big NoUkimtazama Prof wetu ICSID unaweza kuhamasika kulipa hiyo M40 kama unayo.
Bro nenda kafanye upya uchunguzi wako ndio urudie ulichosema. Kwanza main campus ya Braeburn ipo arusha na tawi tu ndio lipo dar es salaam. Huwezi kusema Ada mtoto wa IST ni sawa na kusomesha watoto kumi shule kama UWC , KENNEDY HOUSE , AMA HATA ST COSTANTINE achilia mbali BRAEBURN.Gharama ya kusomesha mtoto mmoja dar braeburn na IST unasomesha watoto kumi kwenye hizo shule ulizotaja
Ukanda huo wa Arusha international schools zipo nyingi je zina quality na standard ya Kimataifa? Tanzania shule ni tatu au nne zenye international standards
1.IST
2. Braeburn
3. HOPAC
4. DIA
Ulevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardwareHâta Usa ulevi upo Lkn Tanzania haiwez kuifikia
Huko wanakochangia maji na mifugo ndiko unakokimbilia kila siku.usijifariji nenda kaonee huruma watu kule kwenu usukumani wanachangia Maji na mifugo
Makazi Bora ya popo,njoo uishi Kama ni makqzi Bora.Nb
Si unaona unaishi Kilimanjaro mambo Safi makazi bora,
Usafi huujui. Ngoja nikae kimya tu.usafi ,
Watoto hakuna. Wenye Watoto mmekimbilia mijini.miundombnu Safi hakuna watoto kurundikana madarasan,
Nakuuliza Tena wewe mlevi, Kilimanjaro MJINI ni wapi?mijengo ya kisasa Vijijin,
Nimeshakujibu kuwa hakuna nyumba za nyasi, hata Handeni hakuna.Yan nimekupa assignent ya kutafuta nyumba ya nyasi hâta Moja tu Hadi Sáhv sioni hutaki 5m mkuu?
Uchaggani Kuna mashamba😂😂😂Kiangazi uchagan ni kifupi kwasababu wanalima misimu miwili kwa mwaka
Kwenye kiagazi ni usukumani maana wamefyeka miti yote
Hizo ni shule za necta hakuna international school hata moja.... hizo ni kajamba nani kwaufupiMleta mada mbona hujaitaja Kembos na Kaizilayege za kule Bukoba au zenyewe sio intaneshino?
Hapana zinafuata mitaala tofauti ipo Cambridge na IBUmeanza wanga wewe
Internacional schools zote zinafuata mtaala mmoja hakuna ilyo bora kuliko nyingine[emoji3][emoji3][emoji3] wivu utakuua
Sisi tuko busy na ujenzi wa vyuo vikuu...mambo ya shule tushatoka huko...Mikoa maskini lazma ichukie mikoa tajiri hyo ni kawaida
Hebu nikusaidie...maana hawa Jamaa kwa misifa wamezidi Hadi wahaya siku hiz...na mbaya wanajisifia uongo ...Ulevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardware
Huko wanakochangia maji na mifugo ndiko unakokimbilia kila siku.
Kaa kwenu Kama ni kuzuri
Makazi Bora ya popo,njoo uishi Kama ni makqzi Bora.
Usafi huujui. Ngoja nikae kimya tu.
Watoto hakuna. Wenye Watoto mmekimbilia mijini.
Kwahiyo unatarajia msongamano gani wakati Watoto wa kichagga wanasoma huko mikoani kwenye kusababisha msongamano
Nakuuliza Tena wewe mlevi, Kilimanjaro MJINI ni wapi?
Ili tutofautishe mjini na VIJIJINI
Nimeshakujibu kuwa hakuna nyumba za nyasi, hata Handeni hakuna.
Ila nyumba kibao za TOPE na nyingine za Mbao.
Ukihitaji utapata hata picha 3,000
Sisi vyuo vikuu tushakuwa navyo tangu kitambo nyie ndio kwenu kunakucha?Sisi tuko busy na ujenzi wa vyuo vikuu...mambo ya shule tushatoka huko...
Kagera kwenye elimu ishafika peak...kilichobaki ni kuwafanya wasomi warudi kwao...na kweli wameanza kurudisha neema kwao....
View attachment 2698527View attachment 2698528
Yani weee ni mshamba Hadi mwishoHebu nikusaidie...maana hawa Jamaa kwa misifa wamezidi Hadi wahaya siku hiz...na mbaya wanajisifia uongo ...
Nyumbani kwa shirima huko Moshi
luambo makiadi View attachment 2698534
Ulevi hâta ulaya upo nimeishi Eindhoven, Rotterdam watu wanapombeka na maendleo yapoUlevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardware
Huko wanakochangia maji na mifugo ndiko unakokimbilia kila siku.
Kaa kwenu Kama ni kuzuri
Makazi Bora ya popo,njoo uishi Kama ni makqzi Bora.
Usafi huujui. Ngoja nikae kimya tu.
Watoto hakuna. Wenye Watoto mmekimbilia mijini.
Kwahiyo unatarajia msongamano gani wakati Watoto wa kichagga wanasoma huko mikoani kwenye kusababisha msongamano
Nakuuliza Tena wewe mlevi, Kilimanjaro MJINI ni wapi?
Ili tutofautishe mjini na VIJIJINI
Nimeshakujibu kuwa hakuna nyumba za nyasi, hata Handeni hakuna.
Ila nyumba kibao za TOPE na nyingine za Mbao.
Ukihitaji utapata hata picha 3,000
Umeanza kujitetea sasa ni nyumba gani kama hizo zimejaa huko vijijini ndani ndani...Yani weee ni mshamba Hadi mwisho
Sasa hapo huoni ni kama makumbusho ya MTu aliyefanikiwa Sasa anaamua kukumbuka? Hyo poster hapo si inajieleza? Huoni na gari IME pack hapo?
Unachekesha
Hko si tunaenda kununua mpunga wao Sasa bila Sisi kwenda si watakufa njaa?Ulevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardware
Huko wanakochangia maji na mifugo ndiko unakokimbilia kila siku.
Kaa kwenu Kama ni kuzuri
Makazi Bora ya popo,njoo uishi Kama ni makqzi Bora.
Usafi huujui. Ngoja nikae kimya tu.
Watoto hakuna. Wenye Watoto mmekimbilia mijini.
Kwahiyo unatarajia msongamano gani wakati Watoto wa kichagga wanasoma huko mikoani kwenye kusababisha msongamano
Nakuuliza Tena wewe mlevi, Kilimanjaro MJINI ni wapi?
Ili tutofautishe mjini na VIJIJINI
Nimeshakujibu kuwa hakuna nyumba za nyasi, hata Handeni hakuna.
Ila nyumba kibao za TOPE na nyingine za Mbao.
Ukihitaji utapata hata picha 3,000
Hela IPO tunaotesha mahekalu ya mamilion wewe maskini utaweza?Ulevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardware
Huko wanakochangia maji na mifugo ndiko unakokimbilia kila siku.
Kaa kwenu Kama ni kuzuri
Makazi Bora ya popo,njoo uishi Kama ni makqzi Bora.
Usafi huujui. Ngoja nikae kimya tu.
Watoto hakuna. Wenye Watoto mmekimbilia mijini.
Kwahiyo unatarajia msongamano gani wakati Watoto wa kichagga wanasoma huko mikoani kwenye kusababisha msongamano
Nakuuliza Tena wewe mlevi, Kilimanjaro MJINI ni wapi?
Ili tutofautishe mjini na VIJIJINI
Nimeshakujibu kuwa hakuna nyumba za nyasi, hata Handeni hakuna.
Ila nyumba kibao za TOPE na nyingine za Mbao.
Ukihitaji utapata hata picha 3,000
Moshi ni mojawapo ya miji Safi miaka n'a miaka,Vijijin pia makazi yamepamgiliwa vizuri kwa usafi WA Hali ya juuUlevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardware
Huko wanakochangia maji na mifugo ndiko unakokimbilia kila siku.
Kaa kwenu Kama ni kuzuri
Makazi Bora ya popo,njoo uishi Kama ni makqzi Bora.
Usafi huujui. Ngoja nikae kimya tu.
Watoto hakuna. Wenye Watoto mmekimbilia mijini.
Kwahiyo unatarajia msongamano gani wakati Watoto wa kichagga wanasoma huko mikoani kwenye kusababisha msongamano
Nakuuliza Tena wewe mlevi, Kilimanjaro MJINI ni wapi?
Ili tutofautishe mjini na VIJIJINI
Nimeshakujibu kuwa hakuna nyumba za nyasi, hata Handeni hakuna.
Ila nyumba kibao za TOPE na nyingine za Mbao.
Ukihitaji utapata hata picha 3,000
Ndio maana Mimi huwa nawaambia wakitaka picha,tutapiga mnooo.Hebu nikusaidie...maana hawa Jamaa kwa misifa wamezidi Hadi wahaya siku hiz...na mbaya wanajisifia uongo ...
Nyumbani kwa shirima huko Moshi
luambo makiadi View attachment 2698534
Kilimanjaro Kila mahali ni mjini hatuna ushamba WA kutembea kilometa 200 kwenda kupata huduma kama nyie kule nzelaUlevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardware
Huko wanakochangia maji na mifugo ndiko unakokimbilia kila siku.
Kaa kwenu Kama ni kuzuri
Makazi Bora ya popo,njoo uishi Kama ni makqzi Bora.
Usafi huujui. Ngoja nikae kimya tu.
Watoto hakuna. Wenye Watoto mmekimbilia mijini.
Kwahiyo unatarajia msongamano gani wakati Watoto wa kichagga wanasoma huko mikoani kwenye kusababisha msongamano
Nakuuliza Tena wewe mlevi, Kilimanjaro MJINI ni wapi?
Ili tutofautishe mjini na VIJIJINI
Nimeshakujibu kuwa hakuna nyumba za nyasi, hata Handeni hakuna.
Ila nyumba kibao za TOPE na nyingine za Mbao.
Ukihitaji utapata hata picha 3,000
Kilimanjaro mjini ni wapi?Moshi ni mojawapo ya miji Safi miaka n'a miaka,Vijijin pia makazi yamepamgiliwa vizuri kwa usafi WA Hali ya juu
Imagine hapa ni kijijinView attachment 2698545
Subiri hangover ikuishe kwanzaKilimanjaro Kila mahali ni mjini hatuna ushamba WA kutembea kilometa 200 kwenda kupata huduma kama nyie kule nzela
Sisi Kila kitu kipo Kila Mahali kuanzia Banks, supermarkets, na hospitals
Wilaya ya Rombo pekee Ina matawi zaidi ya sita ya bank just imagine
Nÿumba za mbao hâta Finland zipoUlevi wa Kilimanjaro ni next level. Biashara ya pombe ni kila mtu anafanya mpaka muuza hardware