Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Kennedy House International School

Jaffery international school

Tanganyika Junior School

Braeburn School

Arusha Meru Int.School Primary School

UWC East Africa — Arusha Campus

St. Constantine's International School

Litletreasure and blossom internatio

Zote ulizozitaja hazifiki 40mil. Ni IST braebun na HOPAC tu inayofikia hiyo gharama
 
Kweli kuna ndugu yangu anafanya kazi shule moja ya awali ipo mikocheni inaitwa alexia, nilijitia kihelehele kutaka kumpeleka mwanangu akaniambia hii shule ada yake huiwezi kwanza wanaosoma hapo ni watoto wa mabalozi, mawaziri na madoni kucheki ada nursery tu ni usd 3500 kwa mwaka halafu ni day, nikasema kweli hii shule siiwezi ila hao wanafunzi wao wa miaka 5 wanafanya vitu mtoto wa darasa la pili au latatu wa english medium schools za milioni 2 hadi 4 kwa mwaka hawezi kufanya maana nilienda kwenye mahafali na exhibition ya shule yao. Tuzidi kutafuta hela kwa bidii kubwa
Shule zetu zinajenga watu kukariri mitihani na kujibu maswali.

Shule zao zinajenga uelewa kwa watoto na kujitambua
 
Niko kwenye hayo mashirika na hatuna watu wa hivyo, tuna Kayumba tu na wana akili mbaya, shirika moja niliwahi kua na hao wa ada za milion40 wawili, kitu walikua wanajua ni kunyoosha kingereza, kutaka mafanikio kwa pupa, na wote waliangukia pua
Uko kwenye mashirika mangapi mkuu...sema ukweli ni kwamba kayumba hana qualification worldwide, Cambridge ndio elimu inayotambulika dunia nzima. Wanaosoma Cambridge hawaombwi mambo mengi linapokuja suala la kuapply vyuo huko duniani na ni rahisi kupata scholarships kuliko wewe unaetoka kayumba, kwa wewe kupata scholarship ulaya na marekani labda ukasome masters au phd, lakini watoto waliopiga Cambridge ni wachache sana wanaolipa ada ulaya. Watu hawaangalii akili nyingi wanaangalia exposure, mtu unaakili nyingi wakati hata kiingereza hujui kuzungumza na unataka kufanya worldwide companies, mwenzio hana akili sana lakini anazungumza lugha tatu tofauti na zote ni international, chuo kasoma MIT, kazi kafanya 1st world countries yupo updated kwenye ufanisi na technologies, hiyo project yake tu sio poa wewe wa UDSM huna nafasi. Labda public health WHO kigoma hukooo.
 
Hizo shule ni watu wa moshi ndio waliojaa zaidi nje ya wazungu ma wahindi, sijasema kwamba hakuna wengine, ila tatizo wengine hao hata kama pesa ipo wakisikiaga tu bei milioni 40 wanaona hakuna tofauti na shule hizi za Necta wanasomeshea huko feza na saint francis,

Hakuna aliebisha kwamba wahindi na waarabu kwa hapa Tz ndio wana uchumi mkubwa, hapa tunajizungumzia sisi makabila yenye asili ya hapa Tanzania, naona umekosa kabisa kabila lingine umekimbilia kwa wahindi

Kanywe maji usipaniki
IST wabongo ni wachache sana mkuu sio cha wachaga wala nn wengi ni wahindi, wazungu na watoto wa mabalozi wa nchi za ulaya na viongozi wabunge na mawaziri wachache sana wafanyabiashara .ngozi nyeusi ni wachache sana na wengi ni scholarship. Kwenye darasa wabongo unakuta hawafiki hata kumi. Tuende mbele turudi nyuma 40mil sio masikhara kwa mtanzania hata awe na mshahara wa 10 mil kwa mwezi.
 
Mtu akisema hizi shule zimejaa wachaga nakataa kiufupi darasa halina wanafuzi hata kumi ngozi nyeusi angalia hiyo attachment hapo chini 2019 IST graduation
 
Attachments

  • Screenshot_20230724-184436_Chrome.jpg
    Screenshot_20230724-184436_Chrome.jpg
    215.9 KB · Views: 21
Wanakaririshwa amini hivyo usiwaamini sana, jiongeze kwa kumpa maarifa mengine ya kujitambua na kuelewa zaidi. Lengo la shile zetu ni watu wafaulu kwa mbonu zote
Mkuu kwa hiyo wewe ndio unamjua vizuri kuliko mimi na walimu wake? Acha hizo bro. Kumpa maarifa mengine ni obvious hata kwa asiyekaririshwa kwa sababu school hawezi kufundishwa kila kitu.

Kama kukaririshwa ni hao wa kwako, dont generalise
 
Kennedy House International School

Jaffery international school

Tanganyika Junior School

Braeburn School

Arusha Meru Int.School Primary School

UWC East Africa — Arusha Campus

St. Constantine's International School

Litletreasure and blossom international school
Safi, kama unawapenda watoto wako ni lazima upambane ili wapate elimu ya uhakika huko
 
Mkuu kwa hiyo wewe ndio unamjua vizuri kuliko mimi na walimu wake? Acha hizo bro. Kumpa maarifa mengine ni obvious hata kwa asiyekaririshwa kwa sababu school hawezi kufundishwa kila kitu.

Kama kukaririshwa ni hao wa kwako, dont generalise
Usijidanganye Mkuu, hakuna maarifa yoyote huko kwenye St. Kayumba, rejea AIBU aliyotupatia Prof. Mruma huko kwa Mabeberu.
 
Kweli kuna ndugu yangu anafanya kazi shule moja ya awali ipo mikocheni inaitwa alexia, nilijitia kihelehele kutaka kumpeleka mwanangu akaniambia hii shule ada yake huiwezi kwanza wanaosoma hapo ni watoto wa mabalozi, mawaziri na madoni kucheki ada nursery tu ni usd 3500 kwa mwaka halafu ni day, nikasema kweli hii shule siiwezi ila hao wanafunzi wao wa miaka 5 wanafanya vitu mtoto wa darasa la pili au latatu wa english medium schools za milioni 2 hadi 4 kwa mwaka hawezi kufanya maana nilienda kwenye mahafali na exhibition ya shule yao. Tuzidi kutafuta hela kwa bidii kubwa
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3526]
 
Mtu akisema hizi shule zimejaa wachaga nakataa kiufupi darasa halina wanafuzi hata kumi ngozi nyeusi angalia hiyo attachment hapo chini 2019 IST graduation
Mkuu hapo IST ada zimepanda sana saizi ni milioni 85, wengi wamehamishiwa zingine.

kwa sasa ngozi nyeusi kwa ujumla wapo wachache sana
 
Yaani unataka kulinganisha kusoma Feza, International school Tanganyika, havard, na kusoma udom temeke secondary!?
We jamaa acha utani,hizo shule na vyuo vya kishua vina miundombinu Bora na waalimu wenye weredi. Mtoto anapata mafunzo kwa vifaa Bora,
Sisi tulijifunza practical physics, chemistry kwa nadharia tu, chemical hakuna, huwezi kulinganisha na wanaosoma na vifaa duni.
Ukiwa DIT,practicals unafanya na mashine za kizamani zilizotolewa msaada na Soviet Union, ukienda field tanesco,unaishia kufunga service line, harafu unataka Uwe engineer kama aliyetoka havard!
Mfano dogo yule Benjamin Fernandez alieanzisha "Nala"money transfer,amesoma IST,chuo kasoma Havard,huyo master Jay na Majani Hawa malejendi prodyuza wamesoma IST baadae master Jay akaenda mamtoni hukooo karudi kaanza mishe,ukija Kwa Ruge hakusoma IST lakini kuishi US kulimsaidia Sanaa
Exposure ni muhimu Sanaa ktk maisha
 
Back
Top Bottom